Kauli za mastaa wetu

KWANI RITA NI NANI, SALAMA NI NANI! Mtu na akili yako utakaa unaskiliza kritiki za hawa watu? huwa naangalia mara chache sana show hii hasa wife anapong'ang'ania, wakati discovery hakuna kpnd kizuri. ss watanzania ndy tatizo letu, they own BSS....halafu they pretend kujua kila kitu! kwa nini wasiajiri watu kutoka vyuo vya sanaa bagamoyo au butimba? hata hao maproducer hawajasomea music, wamejifunza kutumia fruitloop tu wakapata umaarufu bongo. uzoefu huua

karagabaho
 
katika kuangalia jambo kuna kujifunza, na faida yake ni kukosoa kwa manufaa ya wengi, so hujapoteza kitu ktk kuangalia
 
Kwani Tanzania tunaruhusiwa kutembea na bendera ya Taifa kwa mtu wa kawaida? chadema waliitumia bendera ya Taifa walipigiwa makelele kweli sijui sakata hilo lilifikia wapi

Ujinga wao, huko nchi za mbali kuna makampuni na mashirka binafsi yametundika bendera za nchi kuonyesha uwakilishi wa wafanyakazi raia wa hizo nchi. Bendera ya Tanzania inapepea kama kazi!
 
KWANI RITA NI NANI, SALAMA NI NANI! Mtu na akili yako utakaa unaskiliza kritiki za hawa watu? huwa naangalia mara chache sana show hii hasa wife anapong'ang'ania, wakati discovery hakuna kpnd kizuri. ss watanzania ndy tatizo letu, they own BSS....halafu they pretend kujua kila kitu! kwa nini wasiajiri watu kutoka vyuo vya sanaa bagamoyo au butimba? hata hao maproducer hawajasomea music, wamejifunza kutumia fruitloop tu wakapata umaarufu bongo. uzoefu huua

karagabaho

wale wote hawana akili jamani, kwani kunahitaji digrii kujua mtu mwenye nazo na mbumbumbu? walikua na tabia ya kupanga washindi this time raia wakashtukia, madam rita alikua anamkumbatia calvin hata akichemka lakini haamki na kumkumbatia cassian kila alipofunika, lakini siku ile raia walimforce kuamka, noma noma tu! kama kulikua na underground business ilishindwa hahahahahh
 
KWANI RITA NI NANI, SALAMA NI NANI! Mtu na akili yako utakaa unaskiliza kritiki za hawa watu? huwa naangalia mara chache sana show hii hasa wife anapong'ang'ania, wakati discovery hakuna kpnd kizuri. ss watanzania ndy tatizo letu, they own BSS....halafu they pretend kujua kila kitu! kwa nini wasiajiri watu kutoka vyuo vya sanaa bagamoyo au butimba? hata hao maproducer hawajasomea music, wamejifunza kutumia fruitloop tu wakapata umaarufu bongo. uzoefu huua

karagabaho

hivi discovery chanel mbona mwenzio huwa sipati cha kuangalia hebu nipe ratiba labda nitatry
 
..Kauli kama 'u were born on the wrong part of the world' ambazo zinamaanisha hiyo wrong part ni bongo. Kauli hii imetolewa na madam Rita wakati flani pamoja na salama jana kwenye BSS. ..

Mkuu Mtoto wa Mwisho (kuzaliwa),

Nilikuwepo hapo Ukumbini and by all means means, Rita alikuwa ame-dope. Nadhania alikuwa ametumia kileo fulani kwa kiasi zaidi ya wastani. Ongea yake can prove this.

Alionekana kuwayawaya sana, and probably hayo maneno yalimtoka bila kutarajia although ndani ya moyo wake ndivyo anavyofikiaria I bet.
 
hivi discovery chanel mbona mwenzio huwa sipati cha kuangalia hebu nipe ratiba labda nitatry

http://www.dstv.com/dstvsa/content/en/dstvsa/listings_guide

hapo kuna ratiba ya mwaka mzima

Kuna vipindi kibao tu vya science na invention, kama unapenda machines utafurahia american chopper, how its made, mythbusters na physics kibao. Pia unaweza kuingia National Geographic kuangalia uvumbuzi, ugunduzi, na mambo kibao ya kusisimua. ila ujue inategemea na intrst yako, lama unapendelea muvi za maigizo huku hakukufai.
 
hivi discovery chanel mbona mwenzio huwa sipati cha kuangalia hebu nipe ratiba labda nitatry

Mama hii kitu si ya kila kiumba kuangalia, huko kuna mambo ya sayansi na ugunduzi/uvumbuzi inabidi uwe umesogea kidogo kwenda nayo sawa.

Sisi wengine tuangalie ze comedy tu ndo zetu.

MJ
 
Kauli kama 'u were born on the wrong part of the world' ambazo zinamaanisha hiyo wrong part ni bongo.

Mi NILIFIKIRI anamaanisha dunia ya muziki, ukiweka factors zingine kuwa ni constant variable, ni kweli kuwa wangekuwa sehemu ambazo zina miundombinu mizuri ya kuendeleza muziki wangekuwa mbali kimuziki kuliko hapa bongo, kwamba kwa maendeleo yao na future kimuziki they are in a wrong place.
 
ceteris peribus. Ukweli ni huo. Hawana uwezo wa kuhold other variables kama hali ya uchumi, kipato binafsi, n.k kuwa constant. Walimaanisha kila wanachohisi kilichopo ndani ya tz
 
Tupo pamoja mkuu.
 
mziwanda, uko sahihi kabisa kwa ujumbe wako, wabongo bwana wanajisheua tu kujikweza eti wao matawi ya juu, kama hawawezi ku-construct maneno ya kiingereza si watumie kiswahili tu??? Jaribu kutazama filamu moja ya kitanzania iitwayo Regina utaona madudu ya wasanii wetu humo, ujumbe na maudhui ni mzuri ila awshiriki sasa ndo wanaharibu ile mantiki halisi ya picha hiyo, eti kiswanglish cha kuumia maeneo fulani waliyoyazowea mdomoni, tehe tehe tehe. Anyway ndo mambo yetu hayo ya kibongo ktk kutafuta umaarufu ila mwisho wa siku tutajua nani anachemsha, wamuone mwenzao Kanumba kwenye BBA.
 
sure mzee. Kupitia majukwaa kama hivi watabadilika
 
Mimi nafikiri sisi waafrika hatujithamini kiasi cha kupelekea hata watu wa mabara mengine kuwa na dharau,kwa mfano mchina anaweza akasahau kukusalimia ila akakuuliza wewe ni mtu wapi?ukimjibu unatoka afrika maswali yanakuwa yamekwisha kwangu huwa naona kama dharau.
 
hata wao wanadhauliwa sana huko nje ndo maana hasira zao wanazimalizia kwetu. hata sisi tunawadharau kiasi flani ila sio haki kufanya hivyo
 
mama hii kitu si ya kila kiumba kuangalia, huko kuna mambo ya sayansi na ugunduzi/uvumbuzi inabidi uwe umesogea kidogo kwenda nayo sawa.

Sisi wengine tuangalie ze comedy tu ndo zetu.

Mj

hahahahah wewe kweli mambo jambo, upo right sana tu ila nimependa ulivyotumia lugha yako....hahahahh!
 
Mi naona bomba tu- sioni shida na kauli hiyo.

Anayetakiwa kujilaumu ni wewe kama mpiga kura na wengineo wote walioattempt kupiga kura zile!

Yule kijana Mbate ni kweli hakustahili kuzaliwa hapa, maana nyie mlio wake wala hamjamsupport kwenye kura, hii ikionyesha kwamba he is an alien!

Wanaoelewa lugha ya Kiingereza ndo waliompa kura zile chache, and that is where he belong, na sio huku Bongo ambako kutokana na kutojua lugha aliyokuwa anaimba basi mmemwangusha! Lol!

Nani kakwambia unahitaji kuelewa mistari ndo umkubali mwimbaji...? eti

kingereza..., kwani hakuimba nyimbo za kiswahili kibao tu, haya anakuja

huko mwambieni aende american pop idols.
 
Back
Top Bottom