Kauli za mastaa wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli za mastaa wetu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Raia Fulani, Oct 14, 2009.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kuna kauli za baadhi ya watu maarufu hapa nchini zinaleta kizunguzungu cha mawazo. Najua zitakuwa nyingi ukichanganya na za wale wasio maarufu. Kauli kama 'u were born on the wrong part of the world' ambazo zinamaanisha hiyo wrong part ni bongo. Kauli hii imetolewa na madam Rita wakati flani pamoja na salama jana kwenye BSS. Hivi wazungu wanaposikia kauli kama hizi wanatuchukuliaje. Kauli kama hizi ndio zimemnyima mbati na ntepa ushindi. Kama kazaliwa kuzimu ambako si kwake si aondoke? Angeenda kushiriki pop idol USA! Tusijidharau kiasi hiki. Nini kinaifanya tz au afrika kuwa wrong part of the world? Si ajabu hata hawa watalii tunaowaona kwa wingi wao huwa wanavutiwa na kauli kama hizo kuja kuona. Wrong part. Tubadilike
   
 2. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kasumba hiyo wanayo watu wengi sana not only hao celebrities....ni kutokuwa proud na nchi yako.....

  Mfano:..Kuna watu wako ulaya na USA...Wakiulizwa where are you from utakuta wanakana nchi yao na kusema i am from jamaica or South Africa!....what the Heck?....
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135

  You are right sis. Hapa kuna Mchina ni hataki kabisa umuite kwa jina lake la kichina. Hata ukimuuliza umetoka sehemu gani China lazima akuuliza "WHy are you asking me that?" So nadhani ni tatizo la watu wengi tu siyo tu macelebrity au wabongo.
   
 4. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  MwanaF...Hii kasumba inaelekewa ni ya nchi nyingi za bara la Africa na kwingineko!...Wa-nigeria wengi utakuta wanakwambia they were born in London raised in America...ila his/her parents ndiyo are from Africa hapo ukimuona ana strong accent ya ki-niger....who are you kidding jamani eeh!...kwani ukisema youw ere born and raised in Africa utakufa?...Me i am so proud of my country kiasi kwamba plate number ya gari yangu at the front ina bendera ya tanzania na nyingine inaninginia nje ya gari..... A Proud Tanzania....
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nilisema maceleb na wasio. Ila ndo maana watu maarufu hutumiwa kwenye mambo mengi ya kimaslahi. Sasa kauli ikitolewa na mtu mashuhuri huwa inakuwa na mashiko zaidi au kupingwa sana. Tufike sehem tujikubali sio mwili unakuwa sehem flani afrika na nafsi inakuwa sehem flani ulaya au amerika
   
 6. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Aaaah umejuaje bwana labda alikuwa anaanisha MWANZA badala ya DAR ES SALAAM ambazo zote ziko TANZANIA na AFRIKA.

  Umeenda mbali sana kaka.

  MJ
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mkuu ninaposema bongo namaanisha tz yote, ikibidi na Afrika pia. Huyo aliyesema alitaka huyo msanii azaliwe ulaya au amerika badala ya tz
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  bana eeeh is a cursekuzaliwa linchi kama tanzania ..kila kitu ovyo tu.kama walisema hivyo wako right.hatuwzi kujivunia nchi lililooza kama Tanzania
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Oct 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kila mtu yuko entitled na maoni na mtazamo wake. Watu wanaoona mambo kihivyo wasiwe condemned. Kwa hiyo basi kama kuna mtu anaona kuzaliwa bongo ni kuzaliwa ktk wrong side of the world...poa tu kwani wengine inawahusu nini.
   
 10. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Unauhakika gani kama alikuwa anaongelea ulaya au amerika....labda bugango ni wrong place na ocean road ni right place....au mwanza ni wrong place na dar ni right place.....

  Mbona una judge vipi ambavyo havikusemwa.....
   
 11. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Sasas huyo Rita anafanya nini huko "wrong side of the world"?

  It can't be that wrong if she does not want to get out.Comments kama hizi kwenye nchi zenye media na watu wanaojali kauli ingekuwa lazima aombe radhi kwa Watanzania.
   
 12. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mara ya mwisho ulikwenda lini, au unadhani ile kitu ni kama american idol..kauli kule watu hawazijali na media ni ovyo ovyo...hutakuja kumsikia mtu akiomba radhi kutokana na kauli mbaya aliyotoa.....hakuna anayeuliza...the kinda media you have in Tz is "ink on a paper" kinda media
   
 13. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2009
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  labda ndo anakomaanisha? lol.
   
 14. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  So she is saying this with impunity knowing that nobody is going to be outraged? Especially because her former bf controls a good chunk of the media and nobody would dare cross her readily.

  That is if the available journalists -ones not overly engaged in udaku and ufisadi) have the half of a birdbrain required to see the insult in her comment.

  The ability to analyze even the smallest of things has a snowballing effect that can wreak repercussions of an immense magnitude.This lack of dedication to detail is plaguing our country from the top down. When the country faces famine, we start to pray instead of analyzing environmental issues, when miners die in preventable "accidents" the president does not hesitate to declare that as the work of god, television personalities betray their ignorance by exposing how they subscribe to this inferiority complex that purpots to the effect that Africa is the dark continent (even Conrad wasn't this cynical).

  The comments exposes more about Ms. Rita than about this side of the world.
   
 15. kui

  kui JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  Well said brother!
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kigogo na julius, kuna mambo ambayo kama unaona yanakukera unaweza kujiepusha nayo kwa kuyaepuka. Mfano, kama mdau kachoshwa na jf si lazima apake ndio aondoke. Tena bahati nzuri huku jf unafungiwa. Sasa kwa watu kama Rita na salama wakiona bongo michosho watambae. Ni sawa na kukata tawi ulilokalia. Kumwambia mtu kuwa hakustahili kuzaliwa tz ni kuwatukana watz. Kuna kauli za kulainisha lkn sio kuzitoa kavu hivyo. Bora umwambie mtu, levo yako ni kama flani wa mataifa ya mbele na si vingine
   
 17. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2009
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Mbona nasoma na kusikia viongozi wengi wanakuja na mistari ya ajabu watu wanaona poa tu.
  E.g Malechela anawaambia wapiga kura kule Mwanza kwamba wakimchagua mgombea wa CCM wataleta umeme?
  So anachosema mimi naona ni reflection tu ya society yetu. Na hayo yote unayolalamika hapo juu, you are just underlying the level of inferiority complex within our society. Watu wangapi wanaona kama we unavyoona? I actually think what she says exposes the society itself in general, and the majority dont see the sarcasim in that......and most probably she dont understand the strength of what she just said lol.
  How many times have you heard "Hii nzuri, original kutoka ulaya kabisa"?
   
 18. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  tushazoea hizo kaulu, wengine hudiriki kusema eti bora angezaliwa mbwa uingereza kuliko mtu bongo
   
 19. Robweme

  Robweme Senior Member

  #19
  Oct 15, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hayo ni maoni tu?, kila mtu anaweza kutoa maoni yake.Ni kweli nitajivunia tanzania kwa umasikini wetu na kuibiwa utajiri tulio nao na wageni wa nje, nitajivunia Tanzania kwa viongozi walafi tulionao, hakuna cha kujivunia hapa, lazima watu tuwe wakweli.Tunajua kuna amani and so what? amani haipo kabisa sisi kwa sisi watanzania.Mali zote zinaibiwa alafu tunasema tunajivuunia nilikuwa najivunia enzi za mwalimu kwani nilisoma sekondari bure,shule ya msingi bure na chuo kikuu bureee basi.
   
 20. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Salama mshamba yule.nadhani hakutarajia kama siku moja angekwenda mamtoni. Kutoa comments za kitoto kama hizo ni ulimbukeni wa kupitiliza. Huenda yeye hatorudi tena Tz!!!
   
Loading...