Kauli ya Rage kwa wanasimba ilikuwa sahihi?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Hawa wanamsimbazi hawaishiwi matatizo.....

Walianza na slogan ya hatumtaki Robertinho baada ya kufanya vibaya then akatumbuliwa.

Wakaja na slogan ya hatumtaki Mangungu , hapa Mangungu alikaza ( aling'ang'ania).

Then wakaja na slogan ya hatumtaki Try Again, nae alikaza kung'atuka .

Jana wameandamana hawamtaki Ramadhani Kayoko, refa wa mechi ya Jana. Sasa hii ni akili kweli? au kauli ya Rage ilikuwa sahihi kwamba mashabiki wa Simba ni Mbu Mbu mbu.

IMG-20231124-WA0002.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sahihi ni mashabiki wa Yanga hawana akili...
Ukitaka kujua hilo angalia thread zilivyoanzishwa na mashabiki wa uto toka jana...ndo utajua kuwa akili zipo finyu...
 
Back
Top Bottom