Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,027
- 33,007
- Thread starter
- #41
Hapana chezea hizo peopleChezea Mbu Mbu Mbu FC.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapana chezea hizo peopleChezea Mbu Mbu Mbu FC.
Wanahitaji counseling nzitoMbumbumbu fc ni kama mitoto ya mwisho yani kuzira haijambo kuna kipindi ilitishia kwenda Zambia na Kuna kipindi pia ilitaka kwenda kucheza ligi ya Kenya.
Hizo People ni habari nyingine.