Kauli ya Pompeo ni hatari sana

wakatanta

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
2,593
Reaction score
3,161
Alinukuliwa akisema,we cheated, we stole we lied.

Je wameacha hizo tabia?

Huyu aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA, sasa ni waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.

Huyu ndie anaesifiwa na baadhi ya watanzania wenzetu mahasimu wa Magufuli kwamba atawakomboa watanzania .

Ni kujidanganya, tujifunze kwa mataifa mengine,kila walipotia mguu kwa kigezo cha demokrasia mataifa hayo yalisambaratika, wengi kuangamia, tuwe makini.
 
Huyo MBEHA siku zake zinahesabika.hakuna anayegombana na MUNGU akasalimika.
 
bora beberu kuliko mkoloni mweusi!
 
Ukiona jambo lakatazwa na Mungu ujue jambo hilo kila mwanadamu hulifanya.

Kuiba, kuomba, kudanganya, kukopa kwa nia ya kutolipa (kutapeli) nk.

Hata watz tunadanganywa na mshua
 
Nakushukuru mkuu kwa ufafanuzi wako makini sana ,"wanatafuta kwa hali na mali"

"They want us to bleed for them",Malcolm X voice
walidanganya kuhusu uwepo wa silaha za maangamizi, wakamuua sadam wa watu, walidanganya pia kuhusiana na demokrasia kule libya wakamuua Ghadafi. Wanatutafuta kwa hali na mali.
 
Sawa tu Hata sisi tuko tayari kuangamia kama ccm haitatoka madarakani. Watz wanyonge hatuna cha kupoteza
 
Nakusihi tulia tu dawa ikuingie vizuri kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…