Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

Yaani Mwapachu anadiriki kusema Nyerere ni muongo ili tu ahalalishe kitendo cha Lowassa kununua nafasi ya kugombea urais Chadema na kumtosa Slaa. Yaani Edo kutoswa CCM kaonewa ila Slaa kutoswa Chadema ni sawa.

Kweli pesa mwanaharamu...

Acha kuongea kishabiki wapi umehakikishiwa kuwa Dr.Slaa katoswa...?,wapi umeambiwa Nyerere mwongo...? Bure kabisa wewe.
 
Mzee wewe acha kupotosha watu. Ni watu kama nyie mmelifana taifa letu likose sincerity. Kumuunga mkono ndumila kuwili ni jambo la ajabu kulisikia kutoka kwako. Nyie mmepewa dhamana kubwa huko nyuma, lakini hamkutupeleka popote. Hapa unachoelezea ni uswahiba wako na huyu jamma. Tumewashuhudia walafi wa madaraka kama vile Savimbi. Leo tunaona Savimbi wanajitokeza kwetu. Savimbi alikuwa ni ndumila kuwili.

Huyu jamaa naye ni ndumila kuwili. Nyoka wa aina yake, anayeuma mbele na nyuma. Jana yuko chama hiki, kesho yuko chama kingine. Ndio sababu watu kama Dr. Slaa, tunamuelewa msimamo wake. hataki unafiki katika siasa. Siamini kama asingeahidiwa kugombea uraisi, angeenda UKAWA. Hii ni nini kama sio askari u-mamluki na u-nafiki??

Amesema CCM sio baba yake wala mama yake. Je angefika hapo alipo kama sio CCM?

Huyu, hakuona chochote zaidi ya kuwa Rais. Amenunua hadi makontainer ya sare hata kabla ya vikao kuanza. Nchi hii inayo inteligensia. Iliyaona yote haya.
 
Mkuu..

Kwahiyo CCM ni Baba/Mama yake...??
 
Yaani Mwapachu anadiriki kusema Nyerere ni muongo ili tu ahalalishe kitendo cha Lowassa kununua nafasi ya kugombea urais Chadema na kumtosa Slaa. Yaani Edo kutoswa CCM kaonewa ila Slaa kutoswa Chadema ni sawa.

Kweli pesa mwanaharamu...

Ni vema unaposoma uwe unasoma na kuelewa sio unasoma na kuingiza ushabiki, Mwapachu alichouliza kama Lowasa hakuwa msafi mbona Nyerere hakumchukulia hatua kama vile kutompa nafasi ndani ya Serikali au kumpeleka mahakamani? pia swali kama hili linawaendea pia Mkapa na Kikwete kwani baada ya kumkata jina lake na kuhama chama eti ndio anaonekana fisadi ilikuwaje hapo awali hawakuyaona hayo?
 
L✌wasa ndo presida acheni watu wahangaike tu Mungu alimpa nafasi hiyo toka enzi na enzi.
 
Mwapachu unasema Nyerere Muongo! Hakia Mungu laaana ikushukie!

Nyie ndio wale wa "ZIDUMU FIKRA LA MWENYEKITI WA CCM" yaani hata akiongea ujinga nyie mnakubali tu kwa kuwa mlivishwa ujinga
 
Bukanga

mbona huwa hamtokei mapema mpaka system ziwatupilie mbali?
 
Last edited by a moderator:
Yaani Mwapachu anadiriki kusema Nyerere ni muongo ili tu ahalalishe kitendo cha Lowassa kununua nafasi ya kugombea urais Chadema na kumtosa Slaa. Yaani Edo kutoswa CCM kaonewa ila Slaa kutoswa Chadema ni sawa.

Kweli pesa mwanaharamu...

pesa umeiona wap? Kwan slaa ameipoke???? Kama imeandikwa kuwa lowasa atakuwa raisi basi wewe binadam kaa kimya. La sivyo nyuso zenu hapo october mtazificha kwenye chupa.
 
wewe sijui chris lukosi ibin mikosi si ktk wanazuoni mahari wa aina ya Juma Mapwachu ... msome na umsome tena then utamuelewa ... Deliverables za Lowasa za miaka 2 tu as PM zinaonekana katika kila kona ya Tanzania... Zengwe la Richmond limejibiwa kwa mapana na marefu ... Mhusika wa Escrow ndo yule yule .... UKAWA ndo habari ya mujini kwa sasa ... CCM must go ... Hakuna namna tena ...
Chadema ishauzwa, sasa ni team Edo. Dr. Slaa kafukuzwa kama mpangaji asiyelipa kodi!!!
 
Mzee wewe acha kupotosha watu. Ni watu kama nyie mmelifana taifa letu likose sincerity. Kumuunga mkono ndumila kuwili ni jambo la ajabu kulisikia kutoka kwako. Nyie mmepewa dhamana kubwa huko nyuma, lakini hamkutupeleka popote. Hapa unachoelezea ni uswahiba wako na huyu jamma. Tumewashuhudia walafi wa madaraka kama vile Savimbi. Leo tunaona Savimbi wanajitokeza kwetu. Savimbi alikuwa ni ndumila kuwili.

Huyu jamaa naye ni ndumila kuwili. Nyoka wa aina yake, anayeuma mbele na nyuma. Jana yuko chama hiki, kesho yuko chama kingine. Ndio sababu watu kama Dr. Slaa, tunamuelewa msimamo wake. hataki unafiki katika siasa. Siamini kama asingeahidiwa kugombea uraisi, angeenda UKAWA. Hii ni nini kama sio askari u-mamluki na u-nafiki??

Amesema CCM sio baba yake wala mama yake. Je angefika hapo alipo kama sio CCM?

Huyu, hakuona chochote zaidi ya kuwa Rais. Amenunua hadi makontainer ya sare hata kabla ya vikao kuanza. Nchi hii inayo inteligensia. Iliyaona yote haya.
Kwani ccm ndio iliyo mzaaa tumia akili kufikiri!!
Ccm siyo mama yake wala baba yake ingekuwa mama yake ingemzaa!!
Watanzania tunataka mabadiliko kama hamtaki kuamini tutawaminisha kwa nguvu mungu mbariki kiongozi wetu lowassa
 
Back
Top Bottom