Ni uchu tu wa madaraka kutoka kwa wana CCM wanao ama kambi na zinazokubalika na opportunist viongozi wa CDM, uwezi kutoka chama ambacho achilia mbali hizo shutuma za ufisadi walizokuwa wakipokea wote hao wamekuwa wakisimama na sera na itikadi za CCM za kitaifa kwa miaka yote tofauti kabisa na nyingi ya sera za CDM kipi kimebadilika tumeona tayari mifano ya watu waliolelewa na CCM na kuama kwa hasira kama Shibuda, Hamad Sharif, Mrema, Leticia Nyerere na wengine waliondoka na kurudi CCM wenyewe wengi wakiwa nje hawakuwai kutupa itikadi zao licha ya kuwa nje ya CCM na walipiga kura na CCM bungeni kwenye hoja za kitaifa kulingana na misimamo ya CCM.
Huyo Lowassa misimamo ya itikadi kabadilisha lini? baaada ya kukosa nafasi ya kuteuliwa kuwa raisi, huku ni kujidhalilisha tu kwa watu kama akina Tundu Lissu, Mnyika na Dr.Slaa, afadhali ata huyo Mbowe na mwezie Lema si vinara sana wa hoja za muungano tofauti na wabunge wao wengi.
Wafuasi wa CDM ni bendera kufuata upepo tu wao ilimradi Mbowe kaamua, vipi ingekuwa tofauti Dr.Slaa ndio kaamua kumpokea bwana Lowassa na Mbowe kapinga bado wange-support.
CDM ni useless the only reason this people have this much support kwa sababu siasa zenyewe za CCM kwa sasa pia ni ovyo mwenyekiti hayupo kuongoza chama for the most part kukitetea wala kutoa direction akitoka kwenye vikao sanasana anabaki kama raisi tu this is a major problem as if somebody else has that duty publicly ya kukiongoza chama.