Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

Bukanga

nastahili kumuunga mkono lowasa ukoo wa mwapacho mlikuwa mnabebwa na lowasa serikalini baada ya kupigwa chini ukoo wenu haupo hewani
 
Last edited by a moderator:
Hawa ndio wanazuoni tunaowataka. wao kwao beleshi sio kijiko kikubwa bali ni beleshi
Bukanga
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Amb. Juma Mwapachu - Resume [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

CURRICULUM VITAE OF
AMBASSADOR JUMA VOLTER MWAPACHU
LLB; DIP. International Law; D.Lit; FCMI.


........

Pole ndugu, Mwapachu hajawahi kudeliver lolote la maana! Leo hii anakuja na maelezo ya kusikilizwa kweli? Hii ni familia iliyodandia umaarufu wa wazazi ktk michango ya nchi hii, lakini wao kama wao hakuna kitu. Hata huko EAC hakuna kitu. It is just another failing institution.
 
tafadhali tukumbushe alikuwa na wadhifa gani kipindi cha Mwalimu?
Edward Ngoyai Lowassa Alizaliwa Agosti 26, 1953,na kukulia Katika Kijiji Cha Ngarash huko Monduli,akiwa ni mtoto Mkubwa wa Kiume Kwa Mzee Ngoyai Lowassa.



Alisoma Shule Ya Msingi Ya Monduli (1967-1971), Shule ya Sekondari Arusha Kwa Kidato Kwa Kwanza hadi cha nne (1967-1971) na Shule ya Sekondari Milambo kwa kidato cha Tano Na Sita (1971-1973).


Ana Shahada ya Elimu na Sanaa kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es
Salaam Aliyohitimu Mwaka 1977, Na Shahada ya Uzamivu Katika Maendeleo kutoka Chuo Kikuu Cha
Bath Nchini Uingereza aliyohitimu Mwaka 1984 Kwa udhamini Wa British Council.


Ni Mume wa Regina Lowassa na Wamejaliwa Watoto Watano, watatu wa Kiume Na wawili wa Kike.


Kikazi, Lowassa amekulia na kufanya kazi zaidi ndani ya CCM Na Serikali yake. Mara Baada ya Kumaliza Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam aliajiriwa na CCM Kama Katibu Msaidizina baadaye Katibu
wa Wilaya. Alipata kuwa Msaidizi wa Mzee Rashidi Mfaume Kawawa, Daudi Mwakawago Na Horace Kolimba.


Alifanya kazi pia Jeshini Sambamba na Rais Jakaya Kikwete Pamoja Na Abdulrahman
Kinana na Aliondoka Jeshini akiwa Na cheo cha Luteni.


Jambo moja ambalo watu Wengi hatukulijua kabla ni kwamba Lowassa Ni Miongoni mwa Wanasiasa Wanajeshi waliopigana Vita nchini Uganda mwaka 1978/1979.


Aliingia katika Siasa za serikali mwaka 1985
alipoteuliwa kuwa Mbunge kupitia Umoja Wa vijan UVCCM sambamba
na Anne Makinda na Jenerali Ulimwengu.


Akiwa bado Mbunge mwaka 1989 aliteuliwa kuwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Cha Arusha (AICC) ambako alidumu hadi Mwaka 1990 alipochaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Monduli hadi leo.

NOTE;NYERERE ALITOKA MADARAKANI MWAKA 1985
 
Siamini ni mzee mwapachu aliyesema haya. Tunamwelewa ni mzee mwenye kuelewa mengi na kumbukumbu ya hali ya juu. Mwalimu alistaafu 1985 wakati Lowasa kama alivyokuwa kikwete akiwa mtumishi wa chama. Kama ni kutengeneza pesa huenda alianza baada ya kuongoza aicc. Siamini ghafla mzee mwapachu ameanza kupoteteza kumbukumbu hasa katika suala lililowazi
 
Bwana Mwapachu unahak kutoa hoja yako. Je tukubaliane na utaratibu wa kutofuata taratibu? Moja ya malalalamiko ya Lowasssa kuhusu kutoswa kwake ni kuwa taratibu zilifinyangwa. Turejee huko alikohamia je taratibu za chama husika zimefuatwa au kwa kuwa zimelalia kwake ni sawa? Mbona imekuw kama mnada wa nyumba wa mdaiwa na Benki dalali anapotoa tooop kuzuia watu wengine kubidi? Kama kweli tumesoma, tuheshimu taratibu na katiba na desturi kwanza za vyama na pili za nchi. Binafsi siungi uteuzi huu wa CHADEMA
 
Hilo andiko sina shaka lolote kuandikwa na JV Mwapachu. Hakuna ubishi kuwa Mwapachu ni mmoja wa wana-teamlowasa waandamizi. Maelezo yake ni sahihi kwa mtu ambaye anauelewa muelekeo wa siasa za Tanzania kwa sasa na baadaye. Sio ubishani wa chuki usio na manufaa kwa Taifa na Wa-Tanzania.
 
Yaani Mwapachu anadiriki kusema Nyerere ni muongo ili tu ahalalishe kitendo cha Lowassa kununua nafasi ya kugombea urais Chadema na kumtosa Slaa. Yaani Edo kutoswa CCM kaonewa ila Slaa kutoswa Chadema ni sawa.

Kweli pesa mwanaharamu...
Kwani Nyerere alikuwa Malaika?. Na unadhani Kwa dhati kabisa kwamba mwalimu hakuwahi kudanganya hata kidogo ktk kipindi chote alichoongoza nchi hii ili kupitia sera aligoma a zinafaa Kwa Mitazamo yake binafsi?
 
Back
Top Bottom