Kauli ya Martine Luther juu ya marais wenye upara/baldin/uwaraza

Status
Not open for further replies.
Hayo mabaya mnayoyatarajia hayatokea kamwe,labda yatawatokea ninyi na familia zenu
Hata wewe lazima yatakuja kukutokea puani hii nchi ilisha uzwa zamani wewe endelea kushanga shangaa humu jf na deni la taifa linazidi kupanda kila siku hivi tunavyo ongea unaweza ukute unadaiwa milion 1 na jiulize hiuo milin 1 utailipa vipi?
 
Kipindi cha baraka tunakianza rasmi kesho.Changamka baraka zitamiminika kila sekta nchini
 
Hamna kitu kama hicho na tena uache kujidanganya angalia mambo yako hii nchi bado sana tuko utumwani bado hatujaweza kujikomboa kisawasawa na ndio maana mambo mengi tunaamuliwa Na wakoloni.
 
Nasikia Dom kimenuka mvua imefumua mabati kaya kibao hazina pa kuishi. Mungu tunaomba uepushe haya.
 
Eeebwana dah???... .. .sasa itakuaje, kwahyo unataka kusema .....mmmmh sijui hata nisemeje. ila poa tu ngoja tusome NO#
 
Nchi yoyote inatakayoongozwa na rais mwenye kipara/baldin/uwaraza lazima nchi hiyo ipatwe na mabalaa kama ukame,vurugu,majanga ya mafuriko makubwa na umwajikaji damu kwa wingi, basi martine luther alipomaliza kutoa kauli hii watu wenye vipara walimpiga jiwe huko chicago mwaka 1967.

Sasa turudi kwenye mifano ya nchi zilizotawaliwa/zinazotawaliwa na marais wenye vipara

1. Omar al Bashir wa Sudan nadhani nyinyi wenyewe ni mashahidi

2. Yoweri Museveni nadhani mnaweza kujiridhisha hali ilivyo kwa Uganda waasi hawaishi na mauaji ya wanasiasa hayaishi.

3. Mwai Kibaki nadhani mtukumbuka jinsi Kenya ilivyopitia wakati wa umwagaji damu mkubwa na njaa kali kabisa kiasi cha hata mifugo kukosa chakula .

4. Jacob Zuma nadhani nyinyi wenyewe mnajua kilichowapata ndugu zetu kule, pia imekuwa nchi ya pili duniani kwa uhalifu baada ya Afghanstan .

5. Bejamin Mkapa nadhani watanzania wengi hawatasahau mvua za el ninyo na mauaji ya Zanzibar pia mauaji ya mwembe chai ni kipindi ambacho nchi ilimwaga damu kwelikweli huku njaa ikiongezeka na hata takwimu za magonjwa zilijuwa juu kabisa, ajalu ya treni, meli ya MV Bukoba, nakadhalika.

Watanzania ikifika october 25 nyie ndio wakuamua mnataka kulipeleka taifa kwenye taabu au raha.

Acha ushirikina.
 
Hamna kitu kama hicho na tena uache kujidanganya angalia mambo yako hii nchi bado sana tuko utumwani bado hatujaweza kujikomboa kisawasawa na ndio maana mambo mengi tunaamuliwa Na wakoloni.
Kaishi kwa wakoloni na wakoloni ili uje ututawale
 
Nchi yoyote inatakayoongozwa na rais mwenye kipara/baldin/uwaraza lazima nchi hiyo ipatwe na mabalaa kama ukame,vurugu,majanga ya mafuriko makubwa na umwajikaji damu kwa wingi, basi martine luther alipomaliza kutoa kauli hii watu wenye vipara walimpiga jiwe huko chicago mwaka 1967.

Sasa turudi kwenye mifano ya nchi zilizotawaliwa/zinazotawaliwa na marais wenye vipara

1. Omar al Bashir wa Sudan nadhani nyinyi wenyewe ni mashahidi

2. Yoweri Museveni nadhani mnaweza kujiridhisha hali ilivyo kwa Uganda waasi hawaishi na mauaji ya wanasiasa hayaishi.

3. Mwai Kibaki nadhani mtukumbuka jinsi Kenya ilivyopitia wakati wa umwagaji damu mkubwa na njaa kali kabisa kiasi cha hata mifugo kukosa chakula .

4. Jacob Zuma nadhani nyinyi wenyewe mnajua kilichowapata ndugu zetu kule, pia imekuwa nchi ya pili duniani kwa uhalifu baada ya Afghanstan .

5. Bejamin Mkapa nadhani watanzania wengi hawatasahau mvua za el ninyo na mauaji ya Zanzibar pia mauaji ya mwembe chai ni kipindi ambacho nchi ilimwaga damu kwelikweli huku njaa ikiongezeka na hata takwimu za magonjwa zilijuwa juu kabisa, ajalu ya treni, meli ya MV Bukoba, nakadhalika.

Watanzania ikifika october 25 nyie ndio wakuamua mnataka kulipeleka taifa kwenye taabu au raha.
Gadda fi, IDD amin, Al Asad, Pol pot, Saddam Hussein, Hitler, Mobutu, etc wote hao wana upara?
Utabiri mwingine ni wa ajabu, una case 4 za majang? lakini dunia ina majang? makubwa toka kwa watu wenye nywele za kumwaga
 
Nchi yoyote inatakayoongozwa na rais mwenye kipara/baldin/uwaraza lazima nchi hiyo ipatwe na mabalaa kama ukame,vurugu,majanga ya mafuriko makubwa na umwajikaji damu kwa wingi, basi martine luther alipomaliza kutoa kauli hii watu wenye vipara walimpiga jiwe huko chicago mwaka 1967.

Sasa turudi kwenye mifano ya nchi zilizotawaliwa/zinazotawaliwa na marais wenye vipara

1. Omar al Bashir wa Sudan nadhani nyinyi wenyewe ni mashahidi

2. Yoweri Museveni nadhani mnaweza kujiridhisha hali ilivyo kwa Uganda waasi hawaishi na mauaji ya wanasiasa hayaishi.

3. Mwai Kibaki nadhani mtukumbuka jinsi Kenya ilivyopitia wakati wa umwagaji damu mkubwa na njaa kali kabisa kiasi cha hata mifugo kukosa chakula .

4. Jacob Zuma nadhani nyinyi wenyewe mnajua kilichowapata ndugu zetu kule, pia imekuwa nchi ya pili duniani kwa uhalifu baada ya Afghanstan .

5. Bejamin Mkapa nadhani watanzania wengi hawatasahau mvua za el ninyo na mauaji ya Zanzibar pia mauaji ya mwembe chai ni kipindi ambacho nchi ilimwaga damu kwelikweli huku njaa ikiongezeka na hata takwimu za magonjwa zilijuwa juu kabisa, ajalu ya treni, meli ya MV Bukoba, nakadhalika.

Watanzania ikifika october 25 nyie ndio wakuamua mnataka kulipeleka taifa kwenye taabu au raha.

fikra duni ndizo zimetawala halmashaur ya ubongo wako...
 
Huyu mleta mada akapimwe akili. Na yoyote atakayekubali upumbav huu naye bila shaka atakua lofa kama sio mpumbavu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom