Kauli ya Martine Luther juu ya marais wenye upara/baldin/uwaraza

Status
Not open for further replies.
Nchi yoyote inatakayoongozwa na rais mwenye kipara/baldin/uwaraza lazima nchi hiyo ipatwe na mabalaa kama ukame,vurugu,majanga ya mafuriko makubwa na umwajikaji damu kwa wingi, basi martine luther alipomaliza kutoa kauli hii watu wenye vipara walimpiga jiwe huko chicago mwaka 1967.

Sasa turudi kwenye mifano ya nchi zilizotawaliwa/zinazotawaliwa na marais wenye vipara

1. Omar al Bashir wa Sudan nadhani nyinyi wenyewe ni mashahidi

2. Yoweri Museveni nadhani mnaweza kujiridhisha hali ilivyo kwa Uganda waasi hawaishi na mauaji ya wanasiasa hayaishi.

3. Mwai Kibaki nadhani mtukumbuka jinsi Kenya ilivyopitia wakati wa umwagaji damu mkubwa na njaa kali kabisa kiasi cha hata mifugo kukosa chakula .

4. Jacob Zuma nadhani nyinyi wenyewe mnajua kilichowapata ndugu zetu kule, pia imekuwa nchi ya pili duniani kwa uhalifu baada ya Afghanstan .

5. Bejamin Mkapa nadhani watanzania wengi hawatasahau mvua za el ninyo na mauaji ya Zanzibar pia mauaji ya mwembe chai ni kipindi ambacho nchi ilimwaga damu kwelikweli huku njaa ikiongezeka na hata takwimu za magonjwa zilijuwa juu kabisa, ajalu ya treni, meli ya MV Bukoba, nakadhalika.

Watanzania ikifika october 25 nyie ndio wakuamua mnataka kulipeleka taifa kwenye taabu au raha.
huogopi kutekwa
 
Itabidi tuwapake au tusimamie wapakwe SHEA BUTTER
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom