Kauli ya Lowassa siyo sawa, inahamasisha vurugu

Kura lazma zilindwe, kama inahamasisha uchochezi itafahamika ila kulindwa ni lazma
 
Ndugu Mhariri, nikiwa mzalendo wa nchi napenda kuwapongeza Watanzania jinsi wanavyoshiriki kwa utulivu kwenye mikutano ya kampeni kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu nchi nzima.Nawapongeza sana kwani wameonesha ukomavu wa kisiasa naamini hata uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na kuwakubali viongozi watakaochaguliwa kihalali katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais.

Hata hivyo, napenda kuipinga kauli ya mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA), Edward Lowassa aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni huko Arumeru Mashariki ambapo aliwataka wanachama wao kuhakikisha wanakesha kwenye vituo vya kupigia kura wakizilinda ili zisiibwe.Kauli hiyo ya Lowassa ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara inakwenda kinyume na maagizo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo inawataka watu wote wakishapiga kura warudi majumbani kusubiri matokeo kutangazwa na mamlaka husika ambayo ni tume hiyo.

Binafsi nawashauri wananchi kutosikiliza kauli za mgombea huyo ambaye nina wasiwasi anazitoa kutokana na hofu ya kushindwa katika uchaguzi huo badala yake wafuate maelekezo ya tume kwani kubaki kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuzilinda ni mwanzo wa kuleta vurugu ambazo

Watanzania hatuzihitaji.

kitutun kya nyoko
 
Maagizo ya tume ya uchaguzi hayana nguvu kuliko sheria ya tume ya uchaguzi ambayo imetoa mwongozo kwamba watu wakae mita 100 kutoka kituoni.
 
sijaona tatizo la watu kukaa umbali wa mita 200 toka kituo cha kupigia kura. hofu ni ya nini? dalili za wazi zinaonyesha kwamba chanzo cha vurugu kwenye uchaguzi huu zitaletwa na jeshi la polis........chondechonde polis wetu msituvurugie utulivu wa nchi yetu.
 
Maelekezo ya tume yanasema watu wakae umbali wa mita 100 kama sio 200. Sijabahatika kumsikia Lowassa akisongelea hilo la kulinda kura japo nilimsikia kupitia vyombo vyahabari akiwataka wananchi kumpigia kura kwa wingi.

hilo la hofu ya kushindwa nalo alilisema au unamsemea wewe, na kama unamsemea kwanini nisiamini kwamba hata hili la kuwaambia watu wakeshe nalo unamsemea?

Shukrani

#HapaGizaTu
#KidumuKimetoboka
#Sera1😛ushUp
#Sera2:Matusi
#sera3😛ropaganda
#sera4:Wasanii
#sera5:Malori
 
"......mtu akikuambia ukipiga kura ubaki kituon kulinda kura..mwambie mzee baki na tulinde wote hizo kura.."
Col. Kinana

kuna taarifa zisizo rasmi inasemekana lengo la ccm kushirikiana na tume kupinga suala la kulinda kura ni kuisaidia ccm. kivip? ni kwa kuwa kituoni hakutakuwa na watu mawakala wa upinzani wanaweza kuhujumiwa ama hata kuhongwa. ofu ya ccm ni kwamba kama watu watabaki vituoni itakuwa ni ngumu kupenyeza watu au kura kwenye kituo cha kipigia kura....
 
Ndugu Mhariri, nikiwa mzalendo wa nchi napenda kuwapongeza Watanzania jinsi wanavyoshiriki kwa utulivu kwenye mikutano ya kampeni kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu nchi nzima.Nawapongeza sana kwani wameonesha ukomavu wa kisiasa naamini hata uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na kuwakubali viongozi watakaochaguliwa kihalali katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais.

Hata hivyo, napenda kuipinga kauli ya mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA), Edward Lowassa aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni huko Arumeru Mashariki ambapo aliwataka wanachama wao kuhakikisha wanakesha kwenye vituo vya kupigia kura wakizilinda ili zisiibwe.Kauli hiyo ya Lowassa ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara inakwenda kinyume na maagizo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo inawataka watu wote wakishapiga kura warudi majumbani kusubiri matokeo kutangazwa na mamlaka husika ambayo ni tume hiyo.

Binafsi nawashauri wananchi kutosikiliza kauli za mgombea huyo ambaye nina wasiwasi anazitoa kutokana na hofu ya kushindwa katika uchaguzi huo badala yake wafuate maelekezo ya tume kwani kubaki kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuzilinda ni mwanzo wa kuleta vurugu ambazo

Watanzania hatuzihitaji.

Wewe ndiye una hofu ya kushindwa ndiyo sababu unazugusha akundo yako hapa JF. Unatusihi turudi nyumbani kwani sisi ni wake zako tukakuandalie chakula?
 
Sheria inasema mita 100,tutakaa mita mia kulinda kura zetu,wasiwasi wako nini?mtu kasema analinda mali yake kwa mujibu wa sheria wewe unapinga!
 
Kwani kuna tatizo mtu akiamua kulinda haki yake???
 
Ndugu Mhariri, nikiwa mzalendo wa nchi napenda kuwapongeza Watanzania jinsi wanavyoshiriki kwa utulivu kwenye mikutano ya kampeni kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu nchi nzima.Nawapongeza sana kwani wameonesha ukomavu wa kisiasa naamini hata uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na kuwakubali viongozi watakaochaguliwa kihalali katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais.

Hata hivyo, napenda kuipinga kauli ya mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA), Edward Lowassa aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni huko Arumeru Mashariki ambapo aliwataka wanachama wao kuhakikisha wanakesha kwenye vituo vya kupigia kura wakizilinda ili zisiibwe.Kauli hiyo ya Lowassa ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara inakwenda kinyume na maagizo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo inawataka watu wote wakishapiga kura warudi majumbani kusubiri matokeo kutangazwa na mamlaka husika ambayo ni tume hiyo.

Binafsi nawashauri wananchi kutosikiliza kauli za mgombea huyo ambaye nina wasiwasi anazitoa kutokana na hofu ya kushindwa katika uchaguzi huo badala yake wafuate maelekezo ya tume kwani kubaki kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuzilinda ni mwanzo wa kuleta vurugu ambazo

Watanzania hatuzihitaji.

Sheria inasemaje kuhusu hili..hasa pale inapotaka watu wakae angalau mita 200 kutoka vituoni?
 
mimi ni mfuasi wa ccm ila nakoment kama mtanzania.
masuala ya kulinda kura wakati tume imeweka askari ni ulofa na uchochezi wa vurugu. na mkae mkijua vurugu si lazima vita, ila hata makelele ni vurugu. na ninaamini jeshi lipo vizuri na watakao jifanya wazalendo kwa kuleta fujo watapata kichapo mpaka wakome.. TOKA LINI TUMESHINDWA KULIAMINI JESHI LA POLISE AU JESHI LA WANANCHI???? tambueni kauli za mdomo huleta madhara makubwa, tusichezee amani asee...
ILA NARUDIA KUSEMA, WATAKAOLETA FUJO KICHAPO HAKITATOKA POLICE, KITATOKA KWA ASKARI WENYE KIAPO NA ASKARI WAADILIFU.
tuache kuropoka ropoka kuhusu amani yetu.. hii ni tunu ambayo duniani kote wanaitafuta hawaipati
 
'experience teaches wisdom' - Mwanafilosofia wa Jamaica.
Kwani kura haziibiwagi!? Kama unabisha hebu kawaulize Dr. Mahanga, Masha na Mnyika pale Ubungo 2010. Kama dada Regia Mtema (R.I.P) angelikuwa hai pia angelikupa facts juu ya hili.
Hivi kuna ubaya gani kukaa mita 100 kutoka kituoni ukisubiri matokeo na hasa pale katibu mwenezi alipokwisha declare kuwa watake wasitake goli la mkoni ni lazima!?????
 
Hizo ndio kauli za wapinzani siku zote. Tume haiko huru wafanyeje?

nani alikuambia tume haipo huru???
watueleze undani wake, sio kuchochea wananchi then tunaishia kufanya mambo yanayokuja kutuumiza sisi wenyewe
 
Kulinda kura ni lazima hata nani apinge, tunazuia goli la mkono, na hili lazima lifanyike kwa nguvu na weledi wa hali ya juu sana. Wameshaapa (CCM) kuwa hawataachia Ikulu kwa vyovyote sasa sisi tunajua wanachofanya na dawa ni nguvu ya uma. Tutavizunguka vituo vya kupigia kura mpaka matokeo yatangazwe. Kuvizingira ina maana kuzuia zile kura za magumashi ambazo huwa zinaingizwa watu wakiwa majumbani. Hatutoki, mita 100 kutoka kituoni kama sheria inavyosema, huku macho yetu yote yakiwa kituoni. Safari hii CCM hawatoki. Nimemsikia jana Kinana analalamika watu kukaa mita mia kulinda kura, kama si mipango ya wizi yeye inamhusu nini?

Hao wapuuzi tu. Ni ndni ya sheria ya uchaguzi kukaa umbali uliokubaliwa, kelele za nini? Kama si mipango dhalimu ambayo wanaona itashindikana kama kuna ulinzi, ni nini hasa?

Wao wameahidi goli la mkono. Wao wameapa kutokabidhi ikulu kwa wapinzani. Tume imesema ni kauli za kisiasa. Inapokuja suala la kulinda kura kwa mujibu wa sheria, watu wanaambiwa wataleta vurugu.

Kama watu wapo mita 100 au 200 kutoka kituoni, watasababishaje vurugu kama hakuna kianzilishi kingine cha vurugu kilichoingilia ulinzi huo?
 
Back
Top Bottom