Kauli ya Lowassa siyo sawa, inahamasisha vurugu

Ndugu Mhariri, nikiwa mzalendo wa nchi napenda kuwapongeza Watanzania jinsi wanavyoshiriki kwa utulivu kwenye mikutano ya kampeni kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu nchi nzima.Nawapongeza sana kwani wameonesha ukomavu wa kisiasa naamini hata uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na kuwakubali viongozi watakaochaguliwa kihalali katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais.

Hata hivyo, napenda kuipinga kauli ya mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA), Edward Lowassa aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni huko Arumeru Mashariki ambapo aliwataka wanachama wao kuhakikisha wanakesha kwenye vituo vya kupigia kura wakizilinda ili zisiibwe.Kauli hiyo ya Lowassa ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara inakwenda kinyume na maagizo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo inawataka watu wote wakishapiga kura warudi majumbani kusubiri matokeo kutangazwa na mamlaka husika ambayo ni tume hiyo.

Binafsi nawashauri wananchi kutosikiliza kauli za mgombea huyo ambaye nina wasiwasi anazitoa kutokana na hofu ya kushindwa katika uchaguzi huo badala yake wafuate maelekezo ya tume kwani kubaki kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuzilinda ni mwanzo wa kuleta vurugu ambazo

Watanzania hatuzihitaji.

Tusipoangalia safari hii CCM ndio itasema wameibiwa kura na kuleta vurugu maana hawatoamini kinachoenda kutokea
 
Umeandika vizuri kama vile unazijua sheria za nchi hii. Kabla hujaandika thread jaribu kuuliza watu au omba ushauri.
 
Jisomee mwenyewe

NO LAW BARS WAITING AFTER VOTING, THIS IS ACCORDING TO NIGERIAN LAWS. Which law in Tanzania bars people from waiting after Voting??? This question is directed to Hon, Lubuva J, THE CHAIRMAN OF NEC and To IGP? otherwise we will wait for the results at the polling station 100 meters. if it is crime please tell us the law.

Jega faults IGP, says no law bars waiting after voting

The Inspector-General of Police, Mr. Suleiman Abba, and the Chairman, Independent National Electoral Commission, Prof. Attahiru Jega, on Friday clashed over the police chief’s “vote and go home order.”

While the IGP had warned voters to go back to their homes after casting their votes on election days, Jega said the electoral law did not state that voters could not or should not wait to watch and ensure that their votes count.

The IGP, who addressed accredited observers for the forthcoming general elections in Abuja, said the possibility of committing electoral offence was very high if voters stayed back at the polling booths for votes to be counted.
ADVERTISEMENT

He said that each polling unit would have at least two or three policemen to protect votes cast by the electorate.

“We will go on to protect the electorate. Every eligible voter should feel safe enough to cast his votes. We will be there to protect the votes and make sure no one disrupts the process,” Abba said

But Jega disagreed with the police chief.

The INEC chairman, who appeared as a guest on Channels Television’s Sunrise Daily on Friday, said there is no part of the Electoral Act that forbids voters from waiting at the polling booths, adding that the law was only against loitering.

Also, Jega’s Chief Press Secretary, Mr. Kayode Idowu, stressed the position of the commission’s boss, adding that no law bars voters from staying around polling centres.

He said, “Jega did not contradict the IGP; he did not contradict anything that is in the law and what the IGP said. What the IGP said was that this regulation of INEC that says people can stay back in polling units, that he is uncomfortable about it because the Electoral Act provides that anybody who loiters around the polling units or commits an electoral offence can be prosecuted.

“He said if you stay at the polling unit, there is a very high chance that you will commit an electoral offense. People who loiter within the polling units do not have legitimate business.

“That was exactly what Jega said, that if you want to stay, you must stay on the condition that your conduct will not constitute an electoral offense. You will not abuse people, you will not be aggressive towards people, you will be calm and you will not be unruly. As such, the security agents will not apprehend you.”

However, the All Progressives Congress tackled the IGP over the “unlawful order.”

In a statement in Lagos by its National Publicity Secretary, Alhaji Lai Mohammed, the party asked voters to rather listen to Jega and stayed behind to protect their votes after casting their ballots.

The statement read, “According to Jega, who appeared on Channels TV on Friday morning, the electoral law says anyone that has no business with the electoral process at the polling booths but desires to monitor events should stay at least some metres away from the polling agents and completely away from the ballot box after casting their votes.

“‘The INEC Chairman further clarified that all registered voters have businesses with the process and can therefore not be classified as people that don’t have businesses at polling units.

“Therefore, the IGP has no constitutional right or powers under the constitution or Police Act to rewrite the electoral law. The role of the police is to maintain law and order or such other assistance as may be sought from the police by INEC.”
 
Kura lazma zirindwe kwani tume sio huru haiaminiki
 
Kulinda kura zetu n muhimu sana mwaka uhuu maana Bila kufanya hivyo CCM wataiba kura zetu kwa kuingiza mabox yenye kura feki. Ulizia ilikuwaje 2010 jimbo la LINDI MJINI Bila wananchi kukesha na kulinda kula pale almashauri palikuwa hapatoshi
 
Ndugu Mhariri, nikiwa mzalendo wa nchi napenda kuwapongeza Watanzania jinsi wanavyoshiriki kwa utulivu kwenye mikutano ya kampeni kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu nchi nzima.Nawapongeza sana kwani wameonesha ukomavu wa kisiasa naamini hata uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na kuwakubali viongozi watakaochaguliwa kihalali katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais.

Hata hivyo, napenda kuipinga kauli ya mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA), Edward Lowassa aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni huko Arumeru Mashariki ambapo aliwataka wanachama wao kuhakikisha wanakesha kwenye vituo vya kupigia kura wakizilinda ili zisiibwe.Kauli hiyo ya Lowassa ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara inakwenda kinyume na maagizo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo inawataka watu wote wakishapiga kura warudi majumbani kusubiri matokeo kutangazwa na mamlaka husika ambayo ni tume hiyo.

Binafsi nawashauri wananchi kutosikiliza kauli za mgombea huyo ambaye nina wasiwasi anazitoa kutokana na hofu ya kushindwa katika uchaguzi huo badala yake wafuate maelekezo ya tume kwani kubaki kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuzilinda ni mwanzo wa kuleta vurugu ambazo

Watanzania hatuzihitaji.

Nikweli tatizo huyo lowasa nguvu anayotumia kutaka uraisi ni kubwa sana alitumia katka kura za maoni na wajumbe hakupata akaujua kaonewa na katika kwenda ukawa katumia nguvu kubwa nako anahisi kujirudia kukosa tena ndo maana anatengeneza njia ya huruma kwa kutoa hayo maneno ya viashiria vya fujo.Ajipange kukubali tu bila vurugu maana hata akifanya bado hatafanikiwa.
 
Ndugu Mhariri, nikiwa mzalendo wa nchi napenda kuwapongeza Watanzania jinsi wanavyoshiriki kwa utulivu kwenye mikutano ya kampeni kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu nchi nzima.Nawapongeza sana kwani wameonesha ukomavu wa kisiasa naamini hata uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na kuwakubali viongozi watakaochaguliwa kihalali katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais.

Hata hivyo, napenda kuipinga kauli ya mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA), Edward Lowassa aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni huko Arumeru Mashariki ambapo aliwataka wanachama wao kuhakikisha wanakesha kwenye vituo vya kupigia kura wakizilinda ili zisiibwe.Kauli hiyo ya Lowassa ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara inakwenda kinyume na maagizo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo inawataka watu wote wakishapiga kura warudi majumbani kusubiri matokeo kutangazwa na mamlaka husika ambayo ni tume hiyo.

Binafsi nawashauri wananchi kutosikiliza kauli za mgombea huyo ambaye nina wasiwasi anazitoa kutokana na hofu ya kushindwa katika uchaguzi huo badala yake wafuate maelekezo ya tume kwani kubaki kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuzilinda ni mwanzo wa kuleta vurugu ambazo

Watanzania hatuzihitaji.

Jidanganye
 
kwan kulinda kura nikosa kisheria kama kosa sawa ila kama si kosa basi wacha walinde kwa sababu ni haki yao ili mradi wasivunje sheria elekezi..
 
Ndugu Mhariri, nikiwa mzalendo wa nchi napenda kuwapongeza Watanzania jinsi wanavyoshiriki kwa utulivu kwenye mikutano ya kampeni kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu nchi nzima.Nawapongeza sana kwani wameonesha ukomavu wa kisiasa naamini hata uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na kuwakubali viongozi watakaochaguliwa kihalali katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais.

Hata hivyo, napenda kuipinga kauli ya mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA), Edward Lowassa aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni huko Arumeru Mashariki ambapo aliwataka wanachama wao kuhakikisha wanakesha kwenye vituo vya kupigia kura wakizilinda ili zisiibwe.Kauli hiyo ya Lowassa ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara inakwenda kinyume na maagizo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo inawataka watu wote wakishapiga kura warudi majumbani kusubiri matokeo kutangazwa na mamlaka husika ambayo ni tume hiyo.

Binafsi nawashauri wananchi kutosikiliza kauli za mgombea huyo ambaye nina wasiwasi anazitoa kutokana na hofu ya kushindwa katika uchaguzi huo badala yake wafuate maelekezo ya tume kwani kubaki kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuzilinda ni mwanzo wa kuleta vurugu ambazo

Watanzania hatuzihitaji.

Hivi raisi wa Libya anaitwa nani jamani tusaidiane,hapa
1.Osama
2.Sadam husein
3.Obama
 
tumechoka kuchakachuliwa .itabidhi kukesha kwenye vituo vyetu ili kudhibiti uchakachuaji
 
Tatizo sio mlinzi, tatizo ni mwizi...Na EL anatahadharisha wezi kwa kuhimiza ulinzi...hapo kosa ni lipi?

Magufuli ameanza kuunda jopo lake la kazi, hilo huoni ndio baya zaidi linaleta uchochezi Na kuvuruga Amani? Nani amemwambia ameshashinda?

Ndio maana aliepewa hekima EL, anasema tufanye kampeni za Amani mkihakikisha MNALINDA kura zenu baada ya uchaguzi kwa sababu....ccm wanasema kwa matendo yao hawakubali kushindwa ndio maana Na mgombea wao keshaunda baraza huku raisi wake akiwa bado madarakani, sorry, bosi wake! Teh

Tutazilinda tu kwa kweli...mwizi ndo ataleta fujo.
 
Back
Top Bottom