Kauli ya Lowassa siyo sawa, inahamasisha vurugu

nani alikuambia tume haipo huru???
watueleze undani wake, sio kuchochea wananchi then tunaishia kufanya mambo yanayokuja kutuumiza sisi wenyewe

Sheria inasemaje kuhusu wapi watu wanatakiwa kuwa baada ya kupiga kura? Je, inalazimisha watu warudi majumbani mwao?
 
Wewe ndiye unafanya dhambi ya kutishia watu
 
Hizo ndio kauli za wapinzani siku zote. Tume haiko huru wafanyeje?

nani alikuambia tume haipo huru???
watueleze undani wake, sio kuchochea wananchi then tunaishia kufanya mambo yanayokuja kutuumiza sisi wenyewe
 
Kura yangu ni moja tu na lazma niilinde
 
Ndugu Mhariri, nikiwa mzalendo wa nchi napenda kuwapongeza Watanzania jinsi wanavyoshiriki kwa utulivu kwenye mikutano ya kampeni kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu nchi nzima.Nawapongeza sana kwani wameonesha ukomavu wa kisiasa naamini hata uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na kuwakubali viongozi watakaochaguliwa kihalali katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais.

Hata hivyo, napenda kuipinga kauli ya mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA), Edward Lowassa aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni huko Arumeru Mashariki ambapo aliwataka wanachama wao kuhakikisha wanakesha kwenye vituo vya kupigia kura wakizilinda ili zisiibwe.Kauli hiyo ya Lowassa ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara inakwenda kinyume na maagizo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo inawataka watu wote wakishapiga kura warudi majumbani kusubiri matokeo kutangazwa na mamlaka husika ambayo ni tume hiyo.

Binafsi nawashauri wananchi kutosikiliza kauli za mgombea huyo ambaye nina wasiwasi anazitoa kutokana na hofu ya kushindwa katika uchaguzi huo badala yake wafuate maelekezo ya tume kwani kubaki kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuzilinda ni mwanzo wa kuleta vurugu ambazo

Watanzania hatuzihitaji.
Wewe ni kibuyu unasubiri uingiziwe products umeona ya Lowassa je uoni ya mshenzi mmoja anaitwa Bulembo anayehamasisha vita wewe ni lijitu la wapi wewe umekula maharage ya wapi wewe??Bulembo anasema CCM haiko tayari kugawa ikulu kwa wapinzani hata kama wameshinda...wewe huna akili hata chembe!
 
Huyu katumwa, man kasema kulinda no kura no vurugu
 
mimi ni mfuasi wa ccm ila nakoment kama mtanzania.
masuala ya kulinda kura wakati tume imeweka askari ni ulofa na uchochezi wa vurugu. na mkae mkijua vurugu si lazima vita, ila hata makelele ni vurugu. na ninaamini jeshi lipo vizuri na watakao jifanya wazalendo kwa kuleta fujo watapata kichapo mpaka wakome.. TOKA LINI TUMESHINDWA KULIAMINI JESHI LA POLISE AU JESHI LA WANANCHI???? tambueni kauli za mdomo huleta madhara makubwa, tusichezee amani asee...
ILA NARUDIA KUSEMA, WATAKAOLETA FUJO KICHAPO HAKITATOKA POLICE, KITATOKA KWA ASKARI WENYE KIAPO NA ASKARI WAADILIFU.
tuache kuropoka ropoka kuhusu amani yetu.. hii ni tunu ambayo duniani kote wanaitafuta hawaipati
Hizi ni porojo tu, kwani jeshi la 'polise' lenyewe mbona haliwaamini wapiga kura mpaka waje kuweka ulinzi!??
Hivi kama kweli nilitumia siku tatu nakesha ili nipate kadi ya mpiga kura, na bado tarehe 25/10/2015 ikatangazwa kama siku ya mapumziko kwa ajili ya kupiga kura mpaka baadhi ya Makanisa kuamua kupanga Ibada ziwa Jumamosi ili jumapili wakapige kura.
Iweje nisubiri kuambiwa matokeo ya kura niliopiga mwenyewe mita 500 kutoka nyumbani na TBC au Uhuru iliyopo kilomita mia saba kutoka nyumbani!?
Tukubaliane mwaka huu goli la mkono lipo lakini kwa kiwango cha chini sana. Wanaotaka mageuzi sio EL tu bali wananchi walio wengi!
 
Ndugu Mhariri, nikiwa mzalendo wa nchi napenda kuwapongeza Watanzania jinsi wanavyoshiriki kwa utulivu kwenye mikutano ya kampeni kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu nchi nzima.Nawapongeza sana kwani wameonesha ukomavu wa kisiasa naamini hata uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na kuwakubali viongozi watakaochaguliwa kihalali katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais.

Hata hivyo, napenda kuipinga kauli ya mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA), Edward Lowassa aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni huko Arumeru Mashariki ambapo aliwataka wanachama wao kuhakikisha wanakesha kwenye vituo vya kupigia kura wakizilinda ili zisiibwe.Kauli hiyo ya Lowassa ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara inakwenda kinyume na maagizo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo inawataka watu wote wakishapiga kura warudi majumbani kusubiri matokeo kutangazwa na mamlaka husika ambayo ni tume hiyo.

Binafsi nawashauri wananchi kutosikiliza kauli za mgombea huyo ambaye nina wasiwasi anazitoa kutokana na hofu ya kushindwa katika uchaguzi huo badala yake wafuate maelekezo ya tume kwani kubaki kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuzilinda ni mwanzo wa kuleta vurugu ambazo

Watanzania hatuzihitaji.
Mshauri.mkeo
 
mimi ni mfuasi wa ccm ila nakoment kama mtanzania.
masuala ya kulinda kura wakati tume imeweka askari ni ulofa na uchochezi wa vurugu. na mkae mkijua vurugu si lazima vita, ila hata makelele ni vurugu. na ninaamini jeshi lipo vizuri na watakao jifanya wazalendo kwa kuleta fujo watapata kichapo mpaka wakome.. TOKA LINI TUMESHINDWA KULIAMINI JESHI LA POLISE AU JESHI LA WANANCHI???? tambueni kauli za mdomo huleta madhara makubwa, tusichezee amani asee...
ILA NARUDIA KUSEMA, WATAKAOLETA FUJO KICHAPO HAKITATOKA POLICE, KITATOKA KWA ASKARI WENYE KIAPO NA ASKARI WAADILIFU.
tuache kuropoka ropoka kuhusu amani yetu.. hii ni tunu ambayo duniani kote wanaitafuta hawaipati

wee mpuuzi askari wapo elfu 45, vituo vipo elfu 72, watanzania tupo milion 45 hao askari watafika vituo vyote wataweza
 
Sheria inasemaje kwani? Si kwamba inaruhusu kwa yeyote anayetaka kusubiria matokeo baada kupiga kura ktk kituo chake ili mradi awe umbali wa mita 100?

Kwa hiyo tuambie Lowassa kavunja sheria gani na kipengele kipi basi, au la shut up and go to sleep!!
 
Ndugu Gwamaka aswile wazijua sheria za nchi hii?
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wakurugenzi wanateuliwa na rais. Mwenyekiti huyo aliyeteuliwa na rais akitangaza kuwa fulani ndiye mshindi wa urais, hakuna kupinga wala hakunakwenda mahakamani,
Kwa hyo unaweza kuona refa amechaguliwa na timu moja, Je timu ya upande mwingineifanyeje? Kwa vyovyote ni kutafuta ushahidi wa wazi kuwa matokeo sahihi ni haya na kwenda kwa wananchi kuwalalamikia.
Ukiamini tume moja kwa moja, sawa lakini weka asilimia ya doubt
 
Ndugu Mhariri, nikiwa mzalendo wa nchi napenda kuwapongeza Watanzania jinsi wanavyoshiriki kwa utulivu kwenye mikutano ya kampeni kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu nchi nzima.Nawapongeza sana kwani wameonesha ukomavu wa kisiasa naamini hata uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na kuwakubali viongozi watakaochaguliwa kihalali katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais.

Hata hivyo, napenda kuipinga kauli ya mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA), Edward Lowassa aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni huko Arumeru Mashariki ambapo aliwataka wanachama wao kuhakikisha wanakesha kwenye vituo vya kupigia kura wakizilinda ili zisiibwe.Kauli hiyo ya Lowassa ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara inakwenda kinyume na maagizo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo inawataka watu wote wakishapiga kura warudi majumbani kusubiri matokeo kutangazwa na mamlaka husika ambayo ni tume hiyo.

Binafsi nawashauri wananchi kutosikiliza kauli za mgombea huyo ambaye nina wasiwasi anazitoa kutokana na hofu ya kushindwa katika uchaguzi huo badala yake wafuate maelekezo ya tume kwani kubaki kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuzilinda ni mwanzo wa kuleta vurugu ambazo

Watanzania hatuzihitaji.

sasa kura ziikisha hesabiwa zinatangazwa na kubandikwa. kama watu wote wako nyumbani utamtangazia nani? ??????????????
 
We unatakaje kwani.

Yaani tuwaachie Goli wazi kabisa jamani. Hebu kubalini mkabidhi nchi kwa Watanzania kwa amani.
 
nani alikuambia tume haipo huru???
watueleze undani wake, sio kuchochea wananchi then tunaishia kufanya mambo yanayokuja kutuumiza sisi wenyewe
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wakurugenzi wanateuliwa na rais. Hakuna mwenye mamlaka ya kuhoji kwa nini Fulani kateuliwa (rejea uteuzi wa hivi karibuni wa wakurugenzi wapya) Mwenyekiti huyo aliyeteuliwa na rais akitangaza kuwa fulani ndiye mshindi wa urais, hakuna kupinga wala hakuna kwenda mahakamani,
Mchezaji wa upande mmoja anamchagua refa, na refa akisema hilo ni goli hakuna kupinga hata kama mpira umepita nje!
Waonaje uhuru wa tume uko wapi, je timu nyingine itaamini vipi kuwa refa anafanya sawa na hampendelei aliyemteua?
 
Ndugu Mhariri, nikiwa mzalendo wa nchi napenda kuwapongeza Watanzania jinsi wanavyoshiriki kwa utulivu kwenye mikutano ya kampeni kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu nchi nzima.Nawapongeza sana kwani wameonesha ukomavu wa kisiasa naamini hata uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na kuwakubali viongozi watakaochaguliwa kihalali katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais.

Hata hivyo, napenda kuipinga kauli ya mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA), Edward Lowassa aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni huko Arumeru Mashariki ambapo aliwataka wanachama wao kuhakikisha wanakesha kwenye vituo vya kupigia kura wakizilinda ili zisiibwe.Kauli hiyo ya Lowassa ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara inakwenda kinyume na maagizo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo inawataka watu wote wakishapiga kura warudi majumbani kusubiri matokeo kutangazwa na mamlaka husika ambayo ni tume hiyo.

Binafsi nawashauri wananchi kutosikiliza kauli za mgombea huyo ambaye nina wasiwasi anazitoa kutokana na hofu ya kushindwa katika uchaguzi huo badala yake wafuate maelekezo ya tume kwani kubaki kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuzilinda ni mwanzo wa kuleta vurugu ambazo

Watanzania hatuzihitaji.

Kuna ubaya gani mwananchi kulinda kura yake ??

Je kisheria hairuhusiwi??

Na wewe kama nani au ni mzungumzaji wa NEC??

Lowassa yuko sahihi tutalinda kura zetu mpaka kieleweke
 
Vipi zile kauli mbiu za chama twawala za 'tutashinda hata kwa goli la mkono na ile ya hatutakubali kwa hali yoyote kuachia ikulu kwa wapinzani.je kauli hizo ni sawa na salama.msitufanye mazuzu.rais ajae ni lowasa.ukawa oyee!!!
 
Ndugu Mhariri, nikiwa mzalendo wa nchi napenda kuwapongeza Watanzania jinsi wanavyoshiriki kwa utulivu kwenye mikutano ya kampeni kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu nchi nzima.Nawapongeza sana kwani wameonesha ukomavu wa kisiasa naamini hata uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na kuwakubali viongozi watakaochaguliwa kihalali katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais.

Hata hivyo, napenda kuipinga kauli ya mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA), Edward Lowassa aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni huko Arumeru Mashariki ambapo aliwataka wanachama wao kuhakikisha wanakesha kwenye vituo vya kupigia kura wakizilinda ili zisiibwe.Kauli hiyo ya Lowassa ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara inakwenda kinyume na maagizo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo inawataka watu wote wakishapiga kura warudi majumbani kusubiri matokeo kutangazwa na mamlaka husika ambayo ni tume hiyo.

Binafsi nawashauri wananchi kutosikiliza kauli za mgombea huyo ambaye nina wasiwasi anazitoa kutokana na hofu ya kushindwa katika uchaguzi huo badala yake wafuate maelekezo ya tume kwani kubaki kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuzilinda ni mwanzo wa kuleta vurugu ambazo

Watanzania hatuzihitaji.

Kwani sheria zinasemaje?
 
sheria mita 100 then ulinz vurugu cc atuhitah...ni ulinz tu msiogope fisiem
 
Back
Top Bottom