Kiu ya Magufuli kwa Watanzania

Mwanz

JF-Expert Member
Aug 18, 2015
220
53
1: NIA NA KIU KUBWA YA WATANZANIA NI MABADILIKO

2: SHIDA NA MATARAJIO YENU NINAYAJUA NA NINA UWEZO WA KUYATATUA

3: NAJUA MNAHITAJI MAISHA MAZURI, AMANI, USALAMA, KUKOMESHWA RUSHWA WIZI NA UBADHILIFU.
HAYO NDIYO MABADIRIKO NA NIMEJIANDAA KWA HILO.

4: MNATAKA HUDUMA ZA ELIMU NA AFYA

5: MNATAKA AJIRA. UMASIKINI UMEPUNGUA KUTOKA 36-24.2%

6: MNATAKA MSIKOPESHE SERIKALI, KUONDOA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI

7: MASILAHI MAZURI KWA WAFANYAKAZI, HAKI KWA WASANII NA WANAMICHEZO.
SITAWATUMIA WAKATI WA SIASA TU BALI KWA AJILI YA MAENDELEO.

8: NINAOMBA URAIS ILI KULETA MABADIRIKO YA KWELI KWA WATANZANIA

9: UMOJA WA KITAIFA, NA UMOJA WA WATANZANIA, HAKUNA UKABILA, HAKUNA UKANDA.

10; NITAJENGA UTANZANIA NA MUUNGANO.

11: DOSALI NDOGONDOGO TUTAZIONDOA

12 : BUNGE LITASIMAMIA SERIKALI

13: MAHAKAMA HAITAINGILIWA.
MAFISADI NA MAJIZI YATAKUWA NA MAHAKAMA YAO. NITAKULA NAO SAHANI MOJA WAJUE TZ NI MAHALI PA MAENDELEO YA WANYONGE

14: MAWAZO YA VYAMA VINGINE NITAYAHESHIMU.

15: NITAIMARISHA MAJESHI NA KUWAPATIA ZANA ZA KISASA. NITABORESHA MISHAHARA NA NYUMBA ZAO.

16: NITAIMARISHA UTAWALA WA SHERIA

17: KODI ILIPWE NA WOTE , WAKUBWA NA WADOGO.

18: AJIRA ITAONGEZEKA.

19: KUIMARISHA SEKTA YA VIWANDA ILI IONGEZE AJIRA KAMA VYA SAMAKI ILI KUDHIBITI WIZI WA SAMAKI. TUTABORESHA HUDUMA KWA WAWEKEZAJI WANAOSUMBUA
WAWEKEZAJI WATAFUTE MAHALI PA KUISHI.

20: TANZANIA YA MAGUFULI ITAKUWA YA VIWANDA.
WASIOENDELELEZA VIWANDA WAJIANDAE KUVIRUDISHA

21: TUTAENDELEZA KILIMO. BENKI IMEANZA, TUTAWALETEA PEMBEJEO KWA KUWA TUTAKUWA NA VIWANDA VYA KUTENGENEZA ZANA NA PEMBEJEO.

22: SEKTA YA MIFUGO ITAJENGEWA VIWANDA VYA NYAMA NA MAZIWA.

23: VIWANDA VYA UVUVI VITAJENGWA

24: MADINI NA WACHIMBAJI WADOGOWADOGO. TUTAFAIDI TANZANITE YETU.
TUTANGALIA TUNDU LA UPENYO WA KUPOTEZA MAPATO YA MADINI.

25: AFYA NA MAJI VITAIMARISHWA.WATU TOKA NJE WAJE KUTIBOWA HAPA.

26: ELIMU BURE TANGU DRS1 - kidato cha4, NA TUTAJENGA nyumba za WALIMU NA WATUMISHI WOTE.
Hapa Shemeji unatuachaje itaisha

27: MIKOPO KWA WANAFUNZI INAWAHIASHWA.WANAOKOPA WASIFANYE BIASHARA BALI WASOME.
MASLAHI YA WALIMU HAKI ZA MADEREVA LAZIMA ZILINDWE.

28: NISHANI YA GESI ITATUSAIDIA KUJENGA VIWANDA VYA MBOLEA.

29: BARABARA: FLYOVER ZITAJENGWA, BARABARA YA NJIA SITA MPAKA MORO NA FLY OVER SABA.

30: WANAHABARI WATAKUA NA CHOMBO CHAO.

31: DAR ITABADILISHWA. RELI YA DAR ITAJENGWA, RELI YA KATI ITABORESHWA.

32: VIWANJA VYA NDEGE VITAIMARISHWA
UTALII UTAIMARISHWA.

33: CHINA INAHESHIMIKA KWA MABADIRIKO . IMEFIKA HAPO BILA KUBADIRISHA CHAMA CHA KIKOMUNISTI

34: TUTATENGENEZA SERIKALI YA WATU. SIYO SERIKALI YA KUTENGENEZA MCHAKATO
WAZIRI ATAKAYECHAKATA ATAPOTEZA UWAZIRI.

""NAOMBA KURA ZENU NA MUNGU AWABARIKI SANA" .

Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya upumbavu Kwa kusema hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI STUPIDITY, LACK OF KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"
Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana kukosa maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.

Hivyo UKAWA wote ni wapumbavu kwasababu zifuatazo

1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.

2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.

3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi waliolelewa na mfumo wa CCM.

4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku mmoja.

5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende mahakamani na kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka Lowassa kama anaonewa aende mahakamani.

6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na kauli zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.

7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na kukemea ajenda ya siri iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na Mtei na 2012 kusimamia na Mpumbavu Joshua Nassari.

8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia misingi ya uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA yaani Prof. Lipumba na Dr. Slaa.

9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha kuficha wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.

10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali kuburuzwa kama "mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka lini? Slaa, Mbowe, Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008 na 2015.

Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu Kwa kushindwa kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari na wa walanguzi kumpeleka Lowasa ikulu.

Acha kuwa mpumbavu na lofa.

UKAWA NI

U - UMOJA
KA - KAMILI WA
WA - WAPUMBAVU

KARIBU CCM MPE KURA YAKO MAGUFULI
#TEAMTINGATINGA
#HAPAKAZITU
#SITAWAANGUSHAA
#MAGUFULI
#CCM

UMOJA NI USHINDI UNGANA NA CCM TEAM YA USHINDI

BY MTANZANIA MZALENDO
INNOCENT MBILINYI MAGUFULI
MTOTO WA SAMIA SULUHU NA MJUKUU WA DR SHEIN PIA NI KITUKUU CHA CCM IMARA NA ZALENDO.

#TUKUTANE OCTOBER 25
 
Mimi kwa hali ya siasa iliyopo hivi sasa nahisi kuvurugwa, ningetamani kuwapa kura UKAWA lakini wao ndio wamenivuruga kabisa, nimeshuhudia wimbi la wanafiki na waroho wa madaraka wakifanya kila namna ya kuhama vyama ili tu wapate madaraka, japo wengi wao hawana vigezo. Kwa hali hii hata kama sitapiga KURA ni bora CCM iendelee kutawala mpaka mwisho, na kama nikipiga kura kura yangu nitampa MAGUFULI
 
Kwa hoja zilizotolewa jana na wagombea kupitia CCM sidhani kama UKAWA watakuja na jipya, naamini katika walioanza maana najua wakija wapya watakuja KUHARIBU
 
Hivi kila mtu ni mbaya akitoka CCM but akiwa CCM ni Malaika. Akitoka tu ni FISADI ni Mpumbavu kwa kuwa CCM ndio iliyolea mafisadi na wapumbavu hadi wamefikia walipo sasa hatuna sababu Tena ya kuwa na Chama cha kulea na kukuza wapumbavu. Leo nchi Ina wala unga na vibaka wengi waliozalishwa na CCM kila mahali pa shina la Wakereketwa wa CCM ni kituo cha bangi na unga. Watu wakitaka mambo Yao yasiguswe wanasimamisha bendera ya CCM hapo chini yake wanaendelea na uharamia
 
Kwa hoja zilizotolewa jana na wagombea kupitia CCM sidhani kama UKAWA watakuja na jipya, naamini katika walioanza maana najua wakija wapya watakuja KUHARIBU

Mmmh.... hoja zilipaswa kuwa, tumejenga barabara, tumepunguza umasikini, tumetengeneza ajira, tumejaza dawa mahosipitalini, tumekomesha rushwa na ufisadi, wanafunzi hawakai chini tena,,,,.....n.k. kinyume chake hoja zilikuwa, tutakomesha rushwa na ufisadi, tutatoa elimu bure hadi kidato cha nne, tuta......, tuta......, matuta yamewachosha watu!!!!!!
 
Duuuuh wapumbavu....hata mm namuunga mkono Mzee mkapa kweli wapumbavu tena wapumbavu wakubwa.
 
[8/23/2015, 20:42] Baraka: MAGUFULI:

1: NIA NA KIU KUBWA YA WATANZANIA NI MABADIRIKO

2: SHIDA NA MATARAJIO YENU NINAYAJUA NA NINA UWEZO WA KUYATATUA

3: NAJUA MNAHITAJI MAISHA MAZURI, AMANI, USALAMA, KUKOMESHWA RUSHWA WIZI NA UBADHILIFU.
HAYO NDIYO MABADIRIKO NA NIMEJIANDAA KWA HILO.

4: MNATAKA HUDUMA ZA ELIMU NA AFYA

5: MNATAKA AJIRA. UMASIKINI UMEPUNGUA KUTOKA 36-24.2%

6: MNATAKA MSIKOPESHE SERIKALI, KUONDOA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI

7: MASILAHI MAZURI KWA WAFANYAKAZI, HAKI KWA WASANII NA WANAMICHEZO.
SITAWATUMIA WAKATI WA SIASA TU BALI KWA AJILI YA MAENDELEO.

8: NINAOMBA URAIS ILI KULETA MABADIRIKO YA KWELI KWA WATANZANIA

9: UMOJA WA KITAIFA, NA UMOJA WA WATANZANIA, HAKUNA UKABILA, HAKUNA UKANDA.

10; NITAJENGA UTANZANIA NA MUUNGANO.

11: DOSALI NDOGONDOGO TUTAZIONDOA

12 : BUNGE LITASIMAMIA SERIKALI

13: MAHAKAMA HAITAINGILIWA.
MAFISADI NA MAJIZI YATAKUWA NA MAHAKAMA YAO. NITAKULA NAO SAHANI MOJA WAJUE TZ NI MAHALI PA MAENDELEO YA WANYONGE

14: MAWAZO YA VYAMA VINGINE NITAYAHESHIMU.

15: NITAIMARISHA MAJESHI NA KUWAPATIA ZANA ZA KISASA. NITABORESHA MISHAHARA NA NYUMBA ZAO.

16: NITAIMARISHA UTAWALA WA SHERIA

17: KODI ILIPWE NA WOTE , WAKUBWA NA WADOGO.

18: AJIRA ITAONGEZEKA.

19: KUIMARISHA SEKTA YA VIWANDA ILI IONGEZE AJIRA KAMA VYA SAMAKI ILI KUDHIBITI WIZI WA SAMAKI. TUTABORESHA HUDUMA KWA WAWEKEZAJI WANAOSUMBUA
WAWEKEZAJI WATAFUTE MAHALI PA KUISHI.

20: TANZANIA YA MAGUFULI ITAKUWA YA VIWANDA.
WASIOENDELELEZA VIWANDA WAJIANDAE KUVIRUDISHA

21: TUTAENDELEZA KILIMO. BENKI IMEANZA, TUTAWALETEA PEMBEJEO KWA KUWA TUTAKUWA NA VIWANDA VYA KUTENGENEZA ZANA NA PEMBEJEO.

22: SEKTA YA MIFUGO ITAJENGEWA VIWANDA VYA NYAMA NA MAZIWA.

23: VIWANDA VYA UVUVI VITAJENGWA

24: MADINI NA WACHIMBAJI WADOGOWADOGO. TUTAFAIDI TANZANITE YETU.
TUTANGALIA TUNDU LA UPENYO WA KUPOTEZA MAPATO YA MADINI.

25: AFYA NA MAJI VITAIMARISHWA.WATU TOKA NJE WAJE KUTIBOWA HAPA.

26: ELIMU BURE TANGU DRS1 - kidato cha4, NA TUTAJENGA nyumba za WALIMU NA WATUMISHI WOTE.
Hapa Shemeji unatuachaje itaisha

27: MIKOPO KWA WANAFUNZI INAWAHIASHWA.WANAOKOPA WASIFANYE BIASHARA BALI WASOME.
MASLAHI YA WALIMU HAKI ZA MADEREVA LAZIMA ZILINDWE.

28: NISHANI YA GESI ITATUSAIDIA KUJENGA VIWANDA VYA MBOLEA.

29: BARABARA: FLYOVER ZITAJENGWA, BARABARA YA NJIA SITA MPAKA MORO NA FLY OVER SABA.

30: WANAHABARI WATAKUA NA CHOMBO CHAO.

31: DAR ITABADILISHWA. RELI YA DAR ITAJENGWA, RELI YA KATI ITABORESHWA.

32: VIWANJA VYA NDEGE VITAIMARISHWA
UTALII UTAIMARISHWA.

33: CHINA INAHESHIMIKA KWA MABADIRIKO . IMEFIKA HAPO BILA KUBADIRISHA CHAMA CHA KIKOMUNISTI

34: TUTATENGENEZA SERIKALI YA WATU. SIYO SERIKALI YA KUTENGENEZA MCHAKATO
WAZIRI ATAKAYECHAKATA ATAPOTEZA UWAZIRI.

""NAOMBA KURA ZENU NA MUNGU AWABARIKI SANA" .
[8/23/2015, 23:40] +255 675 416 247: Halllo wana siasa mmelalalal coll mmechoka mbaya kwa 2 day
[8/23/2015, 23:42] +255 675 416 247: Hahahahahahahahahahhahaahhahahahahahahaahhahahahhahahaahahhahaahhahahahahahahahahaha✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌
[8/24/2015, 09:05] Hamisa: UKIWA UKAWA WEWE NI MPUMBAVU.

Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya upumbavu Kwa kusema hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI STUPIDITY, LACK OF KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"
Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana kukosa maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.

Hivyo UKAWA wote NI wapumbavu kwasababu zifuatazo

1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.

2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.

3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi waliolelewa na mfumo wa CCM.

4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku mmoja.

5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende mahakamani na kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka Lowassa kama anaonewa aende mahakamani.

6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na kauli zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.

7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na kukemea ajenda ya siri iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na Mtei na 2012 kusimamia na Mpumbavu Joshua Nassari.

8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia misingi ya uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA yaani Prof. Lipumba na Dr. Slaa.

9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha kuficha wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.

10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali kuburuzwa kama "mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka lini? Slaa, Mbowe, Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008 na 2015.

Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu Kwa kushindwa kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari na wa walanguzi kumpeleka Lowasa ikulu.

Acha kuwa mpumbavu na lofa.

UKAWA NI

U - UMOJA
KA - KAMILI WA
WA - WAPUMBAVU

KARIBU CCM MPE KURA YAKO MAGUFULI
#TEAM TINGATINGA
#HAPA KAZI TUUU
#SITAWAANGUSHAA
#MAGUFULI ✅✅
#CCM ✅✅✅✅

UMOJA NI USHINDI UNGANA NA CCM TEAM YA USHINDI

BY MTANZANIA MZALENDO
INNOCENT MBILINYI MAGUFULI
MTOTO WA SAMIA SULUHU NA MJUKUU WA DR SHEIN PIA NI KITUKUU CHA CCM IMARA NA ZALENDO.

#TUKUTANE OCTOBER 25

ni wapumbavu sana hadi kwenye box la kura tar. 25/10/.
 
Haya anayosema magufuli aliyasema mwinyi akayasema mkapa akayasema Kikwete Tena kwa mbwembwe lipi jipya kwa watanzania toka kwa magufuli?
 
Duuuuh wapumbavu....hata mm namuunga mkono Mzee mkapa kweli wapumbavu tena wapumbavu wakubwa.

kweli eti,,,,.! wapumbavu sana! unajua hawatampa kura Magufuli! duh,,, watukanwe tu hadi watoe kuraaa,,,,,! wrong way......! kwa matusi hayo hata waerevu mtawapoteza!
 
Nimeishasema Magufuli si mwanasiasa hivyo ataweza. Kuhusu swala la ufisadi Lowasa alijua wazi kuwa magufuli hana mchezo ndio maana kakimbilia ukawa ili kujaribu alinde mali zake na marafiki zake.
 
hawa wengine ni makapi tu wazinguaji, mimi naona jau jau, bora ccm waendeleze jahazi tu
 
Nimeishasema Magufuli si mwanasiasa hivyo ataweza. Kuhusu swala la ufisadi Lowasa alijua wazi kuwa magufuli hana mchezo ndio maana kakimbilia ukawa ili kujaribu alinde mali zake na marafiki zake.

Kwa hiyo atafanya kazi peke yake.. kumbuka ccm ni ile ile na watu ni wale wale,,hizo pesa unafikiri atatoa wapi..mfukoni kwake?
 
kweli eti,,,,.! wapumbavu sana! unajua hawatampa kura Magufuli! duh,,, watukanwe tu hadi watoe kuraaa,,,,,! wrong way......! kwa matusi hayo hata waerevu mtawapoteza!
kwa ninavyofahamu mimi matusi yasingewezwa kusemwa kwenye mhadhara kama ulu, yale siyo matusi, bali ndio hali halisi. Kma mmeenda shule, tafuteni kamusi ya kiswahili muone maana ya lofa, na mpumbavu
 
kweli eti,,,,.! wapumbavu sana! unajua hawatampa kura Magufuli! duh,,, watukanwe tu hadi watoe kuraaa,,,,,! wrong way......! kwa matusi hayo hata waerevu mtawapoteza!

Upumbavu si matusi. Ukiangalia kwa umakini hawa Ukawa wanacheza na akili za watanzania.haiwezekani watu mliokuwa mnawaita ni mafisadi leo hii mtuambie ni waadilifu.kwa kigezo kipi?
 
Nyerere alisema " unadhahabu mkononi halafu anakuja tapeli anakuambia wewe hiyo siyo dhahabu, anakuambia chukua hii na wewe unakubali unaenda huku na kule unatamba kama zuzu nina dhahabu". Ukawa dhahabu ilikuwa Dr. Slaa na Prof Lipumba. lowasa siyo dhahabu.
 
Back
Top Bottom