Kauli ya kisasi ya JK yaibua mapya; Baregu asema JK ageuke na kuomba radhi na hila dhidi ya SALIM

Huyu Jamaa huwa simpendi na sijui ni nani ambaye huwa anampa airtime ni lijitu linaloongea ujinga ujinga sana..... halina tofauti na Shetani Yaani uchafu wote unaoendelea Nchini halizungumzii kazi yake ni kusifia CCM tu.... huyu anayempa airtime nadhani ni mjinga pia... yeye ni nani katik nchi hii kila siku kuzungumzia kauli za watu.... kwanini hawaambii wanawe huko kwake.... lijitu halina solution ya maendeleo kama ni mwanasiasa aache kazi ya serikali akajiunge na chama cha siasa....

Joka la mdmu & group at work
 
Mkuu kibaraghashia hakitakiwi tena Ikulu, mtatumalizia Makanisa yetu!

Je sasa tunachagua rais kwasababu ya dini? kama ni hivyo 2015 hatutakaa tupate rais mzuri bali itakuwa majanga. Punguza udini ndugu rais ajaye tena atakuwa kibarakashia wewe subiri utaona.....
 
Ni Kweli JK aombe radhi
kama wewe utakavyoomba radhi kwa zitto, kwa kumtukana kutomheshimu, na kutaka kumuua kwa kasumu kalikokuwa kwenye ile chupani hivi, zitto anarudi, atakuwa kiongozi wako, na utahama chadema umechoreka sana dogo
 
Hivi huyu Dr Benson Bana ana maslahi gani na CCM? Na Kikwete? Maana naona kila mara anaacha kabisa kuainisha mambo kwa upeo wake wa ki-Dokta na kutoa hoja zenye mashiko, amebaki kubusu-makalio (kissing @sses) tu!

mkuu umeniwahi hili zee mngese sana nahisi ana njaa kali sana
 
Kikwete anajua alivyolipiza kisasi wakati wa utawala wake. Wapo viongozi wazuri tu walioachwa kwenye serikali yake kwa sababu ya kulipa visasi. Lakini uraisi una mwisho wake. Akikumbuka kwa dhati ya moyo wake jinsi alivyotekeleza visasi vyake anaogopa akiacha uraisi wapo aliowanyanyasa watakaoingia madarakani wanaoweza kuhitaji kumlipizia kisasi. Ndiyo maana anatumia nafasi ya msiba wa Mandela kijikingia ngao. Mwalimu hawezi kufundisha somo asilolijua. Kutolipa kisasi Kikwete hajui.Kikwete hajui kusamehe, hajui kusahau neno baya alilotendewa. Atafundishaje? Kama yeye anasema amejifunza mengi kutoka kwa Mzee Madiba, mbona alilipa na bado alipa kisasi kwa watu wasioafikiana naye. Tusemeje sasa au alijifunza kinyume chake? Ni kama Shehe anayekataza kula nyama ya nguruwe huku yeye mwenyewe akiwa anaila.

wewe unajua Maana ya Kisasi? Fuatilia Historia ya ANC ujue kitu gan kiliwalazimisha kuhamisha Shughul kuu za Chama chao kutoka Dsm mpaka Lusaka 1969, jifunze historia ya Kina Kambona,Kaselabantu,Tewa Said Tew ujue Maana ya Kisasi, Rudi kwenye History ujue kilichosababisha Kufutwa kwa Uchifu baada ya kutofautiana na Utawala
Jk angekuwa Mtu wa Visas watu kama Warioba,Butiku wasingekuwepo kwenye Tume ya Katiba. Mwandosya,Mwakyembe, Kigoda na Mary Nagu wasingenusa Kwenye Cabinet. Hata Jk alifanyiwa Rafu nyingi sana ila kwa kuwa yeye ndiye Mshindi sasa kila Mtu anajua rafu za kambi yake peke yake. Kambi ya Mwandosya ilimfanyia mambo mengi mabaya Jk hata mengine nje ya Rafu za Kisiasa!
 
Oh YEAH... Kweli kabisa; Walimfanyia VISA SALIM SALIM... NDIE angekuwa Rais wetu sasa hivi... TUACHE UNAFIKI !!!
Kule kanisani padri alinifundisha ungamo la kweli litawezekana iwapo mwizi atatubu kweli ameiba, kwani yule mwizi wetu wa kiwira alishatubu?
 
wewe na huyo beregu wako hamjui maana ya neno kisasi na neno kisa au mkasa.
kikwete ingawa alikoseshwa urais 1995 lakini hajamfanyia kisasi mkapa.
tuoni ufafanuzi wewe, beregu na wengineo ni kisasi kipi alicho kilipa kikwete baada ya kupata urais.

"kikwete ni raisi wa watu hata mnyika anajuwa"

Mkuu je ya dokta Uli?
 
wewe unajua Maana ya Kisasi? Fuatilia Historia ya ANC ujue kitu gan kiliwalazimisha kuhamisha Shughul kuu za Chama chao kutoka Dsm mpaka Lusaka 1969, jifunze historia ya Kina Kambona,Kaselabantu,Tewa Said Tew ujue Maana ya Kisasi, Rudi kwenye History ujue kilichosababisha Kufutwa kwa Uchifu baada ya kutofautiana na Utawala
Jk angekuwa Mtu wa Visas watu kama Warioba,Butiku wasingekuwepo kwenye Tume ya Katiba. Mwandosya,Mwakyembe, Kigoda na Mary Nagu wasingenusa Kwenye Cabinet. Hata Jk alifanyiwa Rafu nyingi sana ila kwa kuwa yeye ndiye Mshindi sasa kila Mtu anajua rafu za kambi yake peke yake. Kambi ya Mwandosya ilimfanyia mambo mengi mabaya Jk hata mengine nje ya Rafu za Kisiasa!

Sasa kama hao wote wasingekuwepo kwenye cabinet yake, nani angekuwepo? Lusinde kibajaji na tall water au?
 
Je sasa tunachagua rais kwasababu ya dini? kama ni hivyo 2015 hatutakaa tupate rais mzuri bali itakuwa majanga. Punguza udini ndugu rais ajaye tena atakuwa kibarakashia wewe subiri utaona.....

Kwa hilo nakubaliana na wewe,JK mjanja sana
 
Hivi huyu Dr Benson Bana ana maslahi gani na CCM? Na Kikwete? Maana naona kila mara anaacha kabisa kuainisha mambo kwa upeo wake wa ki-Dokta na kutoa hoja zenye mashiko, amebaki kubusu-makalio (kissing @sses) tu!
Mkuu, kuna andiko kwenye Biblia linasema hivi, "Mwanangu, usipokee rushwa, rushwa hupofusha macho ya wenye akili" Ndicho kinachomtokea Profesa Benson Bana, macho yake yameisha pofuka kabisa, sababu ni hi, yeye ndiye anayelipwa na Kikwete kwakua ndie mshauri wake wa siasa, hawezi kuona ubaya hata kidogo wa anaemshauri!
 
Wanasikitisha sana hawa....
 
muoneni huyu naye kwahyo hapo na ww unasema umefikiri kabla ya kusema au kuandika. hyo dhambi itakutafunakweli, na nidalili za kufirisika kimawazo.
 
Back
Top Bottom