Kauli ya kisasi ya JK yaibua mapya; Baregu asema JK ageuke na kuomba radhi na hila dhidi ya SALIM

mlitegemea aseme nini wakati anakarbia kumalza muda wake??? Think people, Think!
 
Wameweka headline ya Baregu ili watu wasome vinginevyo ingekuwa na jina la Bansen Baana wala nisingeisoma huyu Dr. ni sawa na Mwepesi wote wamewekwa kwenye pay roll ya CCM
 
Jamani,msiwe mnamleta Bansen Bana kuchangia,mada zinapotoshwa,au ni upeo,sijui?lakini nadhani ni Dr halali.
 
Nani anamkumbuka aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mbeya kabla jk hajawapangua wakuu wa mikoa kwa mara ya kwanza? kisasi cha jk kilifanya kazi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
h haaaa, huku ni kujihami...
mtu analipiza kisasi kwa aliyemkosea.....
huyo mtu anayemsema sijui kama kakosewa na Watanzania wanyonge ambao ataenda kuwaongoza....
wanaanza kunyoosheana vidole. wamekoseana wao sasa wanaona kundi jingine likichaguliwa basi itakula kwao. kama wanalipiziana visasi wao kwa wao sisi yanatuhusu nini? yeye mwenyewe alisema ukila vya watu nawe utaliwa....anaogopa kuliwa? kutesa kwa zamu.
alipewa nafasi yake, akalipiza visasi sana tu, tena vya wazi..... asuburi naye wengine wakichukua wamlipizie.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi huyu Dr Benson Bana ana maslahi gani na CCM? Na Kikwete? Maana naona kila mara anaacha kabisa kuainisha mambo kwa upeo wake wa ki-Dokta na kutoa hoja zenye mashiko, amebaki kubusu-makalio (kissing @sses) tu!
Kwani hujui kuwa huyo Dr, siku zote anatumia ile falsafa inayosema mtumikie kafir upate mradi wako?!

kwani hujui hata ule mradi wake wa "utabiri" wa Redet. unaendeshwa kwa fadhilla za JK, na ndiyo maana utabiri wa Redet siku zote, huwa hauna tofauti na utabiri wa yule Marehemu Sheikh Yahya, kwa kuwa wote huo ni pro-JK kwa asilimia 100, na ndiyo maana hata pale wanapojua JK na CCM yake hawawezi kupata ushindi, wao wanatabiri kuwa watapata ushindi wa kimbunga, kama siyo wa kishindo!!
 
Hatujachelewa yeye ndiye awe candidate wa urais 2015 ana sifa zote.



Umeona wapi CHAMA CHA MABAGUZI kama CCM kitamrudishia HESHIMA Salim Ahmed Salim na kumuambia sasa Unaruhusiwa kugombea URAIS ?

Kuna wengi waliowafanyia hivyo, Je waliwaomba Msamaha au waliwatishia wakiondoka chama wajue ndio MWISHO wa KUBEBWA na MAGARI ya KIFAHARI au TRIPS za KUTEMBELEA BALOZI ZETU zilizojaa watoto wao ??

*** UH LAKINI JINA wanalo tayari;
 
Hivi huyu Dr Benson Bana ana maslahi gani na CCM? Na Kikwete? Maana naona kila mara anaacha kabisa kuainisha mambo kwa upeo wake wa ki-Dokta na kutoa hoja zenye mashiko, amebaki kubusu-makalio (kissing @sses) tu!

Bana ni mchumia tumbo
 
Back
Top Bottom