Kauli ya kisasi ya JK yaibua mapya; Baregu asema JK ageuke na kuomba radhi na hila dhidi ya SALIM

Dr Salim haswaa ndie alitakiwa kuwa kiongozi wa nchi hii ila kwa kampeni za ubaguzi wamempiga chini
 
wewe na huyo beregu wako hamjui maana ya neno kisasi na neno kisa au mkasa.
kikwete ingawa alikoseshwa urais 1995 lakini hajamfanyia kisasi mkapa.
tuoni ufafanuzi wewe, beregu na wengineo ni kisasi kipi alicho kilipa kikwete baada ya kupata urais.

"kikwete ni raisi wa watu hata mnyika anajuwa"

Familia ya Babu Seya Yote inozea kule Segerea, hivyo siyo Visa Vya Rahisi wako?
 
baregu chama chake kimemshinda kinavuja yeye anaanza kudandia ya watu amalize kwanza ya chadema yake.
 
Hajui kuwa wa-South Africa wanamiliki migodi hapa Tanzania yeye anabaki kukenua mimeno kwa jina kutajwa la kwanza msibani

migodi gani unayosema kukurupuka kwingine kubaya kweli wewe umekurupuka hata hujui unachosema.
 
Kikwete anajua alivyolipiza kisasi wakati wa utawala wake. Wapo viongozi wazuri tu walioachwa kwenye serikali yake kwa sababu ya kulipa visasi. Lakini uraisi una mwisho wake. Akikumbuka kwa dhati ya moyo wake jinsi alivyotekeleza visasi vyake anaogopa akiacha uraisi wapo aliowanyanyasa watakaoingia madarakani wanaoweza kuhitaji kumlipizia kisasi. Ndiyo maana anatumia nafasi ya msiba wa Mandela kijikingia ngao. Mwalimu hawezi kufundisha somo asilolijua. Kutolipa kisasi Kikwete hajui.Kikwete hajui kusamehe, hajui kusahau neno baya alilotendewa. Atafundishaje? Kama yeye anasema amejifunza mengi kutoka kwa Mzee Madiba, mbona alilipa na bado alipa kisasi kwa watu wasioafikiana naye. Tusemeje sasa au alijifunza kinyume chake? Ni kama Shehe anayekataza kula nyama ya nguruwe huku yeye mwenyewe akiwa anaila.

hii ni dhahiri kabisa, anayeelewa haitaji kueleweshwa juu ya hili, wako wapi wakina PAPI KOCHA na baba yake BABU SEA.
 
Hivi huyu Dr Benson Bana ana maslahi gani na CCM? Na Kikwete? Maana naona kila mara anaacha kabisa kuainisha mambo kwa upeo wake wa ki-Dokta na kutoa hoja zenye mashiko, amebaki kubusu-makalio (kissing @sses) tu!

Huyu jamaa huo uDokta wake ana u-under utilize sana,masuala ya uchambuzi na upembuzi yakinifu kama Dokta ameachilia mbali,amebakia kuwa mkereketwa.
 
Hawajanifanya kitu, ila kuna kundi la wapuuzi wachache wewe ukiwa ni miongoni mwao mnaoharibu taswira yao nzuri.

Wewe ni kaburu tu. Huwapendi wachaga as a whole acha unafiki wako hapa. You are just a simple hater with pain in azz
 


Mhadhiri wa kitivo cha siasa kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM),
Dk. Benson Bana alisema kauli ya Rais Kikwete imewafumbua macho wananchi kwamba kukiwapo na kiongozi mwenye mrengo wa kulipiza kisasi hatapata kamwe kura za Watanzania.


Huyu Jamaa huwa simpendi na sijui ni nani ambaye huwa anampa airtime ni lijitu linaloongea ujinga ujinga sana..... halina tofauti na Shetani Yaani uchafu wote unaoendelea Nchini halizungumzii kazi yake ni kusifia CCM tu.... huyu anayempa airtime nadhani ni mjinga pia... yeye ni nani katik nchi hii kila siku kuzungumzia kauli za watu.... kwanini hawaambii wanawe huko kwake.... lijitu halina solution ya maendeleo kama ni mwanasiasa aache kazi ya serikali akajiunge na chama cha siasa....
 
Na kubaliana dr bana,kwa sababu kwa kipindi alichokaa madarakani asingeweza kumaliza matatizo ya wananchi wa afrika kusini ukilinganisha na ukubwa wa mataizo aliyo yakuta na ukubwa wa nchi yenyewe.ila tukiangalia vipaumbele vya wananchi wa afrika kusini alivifanyia kazi.kubwa zaidi nikuwaunganisha wananchi walio ishi katika mazingira ya uhasama mkubwa,pia kuinua utu wa mtu mweusi ,kuthaminika mbele ya wazungu .lingine ninamna alivyo shughulikia matataizo hayo na mengineyo bila kuathiri uchumi wa nchi yao ambao nimoja ya utambulisho wa nguvu za taifa barani afrika na duniani kwa ujumla.
 
Ni Kweli JK aombe radhi

Naamini ujumbe huu Jk amemlenga Benard Membe na makuwadi wake aliyesema ana maadui 11 wawili waandshi wa habari na 9 wanasiasa ambao alisema live Itv ktk kpndi cha dakika 45 kuwa akpata uraisi atahakikisha wanakmbia nchi...swali kwa huyu fsadi na kilaza membe a.k.a joka la mdmu mla kodi za balozi zetu ana uadui na wanasiasa wenzake 9 hivi si kama wanasiasa wote tu wa Tz ana uadui nao sjui jk hiki kilaza alkpata wap akakpa uwazri ili kweli joka la mdmu 2015 lirudi mtwara kuvolunteer kwenye vtalu vya gesi hafai ata kuwa mwkt wa mtaa...altegemea kupewa urais na frst lady upepo umebadlka anatbu presha duh
 
Back
Top Bottom