Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,385
- 100,492
Hebu tutafakari kauli hizi za JK na Magufuli
Kikwete anasema "Nimewatoa mbali, hadi kuwafikisha hapa mlipo sio kazi ndogo"
Magufuli anasema " Mafisadi na majizi ndio yaliyotufikisha hapa tulipo"
Kauli hizi zimetolewa na watu wawili tofauti wa Chama kimoja, siku moja na katika mkutano mmoja!!
CCM tuoneeni huruma