Huyo naye ni sheitwaan mwingine aliyepewa agawe haki.Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?
View attachment 2023472
Hivi mtu kuhama hii nchi ukaishi Kenya unabonyeza namba ngapi?Kuna muda jaji anajisahau anahisi kama nae ni mwanasheria wa serikali ivo anataka kuweka pingamizi
Sukuma gang wote bado wapo kwenye kampeini ya kulinda legacyHalafu kwa kuwa Jaji mwenyewe anatokea Mwanza ni rafiki yake na Kidando! Hapo kuna kitu!
Mungu yupi unayemuamini wewe? Huyo mungu wako ndo aliyekufundisha kushuhudia watu UONGO?Toka tumboni mwa mama yake and he thought he will get away with it but uovu una mwisho hapa duniani kabla ya hukumu ya haki mbele ya Mungu wake.
Watapanga mioango yao yoote lkn mwisho wa siku haitakaa ifanye kazi ya kumdhuru mh Mbowe.Wadau wengi sana wamejitokeza kuhoji uadilifu wa Jaji anayeendesha kesi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu , kauli aliyoitoa Mahakamani iliyojaa uongo ya Kwamba Shahidi aliyekuwa anahojiwa na Mawakili wa Utetezi Mbele yake na mbele ya umati wa watu.
Komando Ling'wenya huenda alipewa majibu ya maswali aliyokuwa anaulizwa , imeleta Taharuki kubwa na imethibitisha mashaka ya siku nyingi kwamba huenda Jaji Tiganga yuko upande wa Jamhuri .
View attachment 2023342
Umenijibu bila kusoma nilichoandika- sishangai ndivyo wanaharakati mlivyo. Ungesoma ungegundua kwamba nimeandika atahukumiwa na Mungu wake SIYO wanguMungu yupi unayemuamini wewe? Huyo mungu wako ndo aliyekufundisha kushuhudia watu UONGO?
Wewe ni zao la shetani kama sabaya na makonda tu ndugu.
Mbona baba ako halipwi? taaluma yake ndiyo inamuweka townKibatala analipwa ngapi na NGO za kijerumani kupitia CHADEMA? Ongeza na michango yenu na mihogo ya kukaanga
Hahhahahahahahahahahhahahahahaha........Kuna muda jaji anajisahau anahisi kama nae ni mwanasheria wa serikali ivo anataka kuweka pingamizi
wazee wa kujitoa ufahamuWasajiwe kabla ya kupanda kizimbani teknlojia iko juu aweza kuwa na kielektronic gadget akiulizwa swali mtu anamwambia yeye anasikia kwenye ki
microphone chake
Jaji Yuko sahihi
Kwa mtazamo mwingine ni kama alikuwa akieeleza kuwa shahidi yuko vizuri kwenye kujibu masswali!!Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?
View attachment 2023472
Aisee, mtu "anasikia kwenye ki microphone chake"Wasajiwe kabla ya kupanda kizimbani teknlojia iko juu aweza kuwa na kielektronic gadget akiulizwa swali mtu anamwambia yeye anasikia kwenye ki
microphone chake
Jaji Yuko sahihi
hahahahha maana anaonekana ana makasiriko sana huyu jamaaaUna hasira sana
Lakini tunakukumbusha tu, ughali wa maisha unaopitia haujasababishwa na chadema
Ushahidi wenyewe unaotolewa ni wa kukamata, kula supu, nyama choma, na kunywa MO energy, hakuna hata dalili ya ugaidi, Sasa hii kesi gani ya ugaidi hata dalili haionyeshi?Mna visingizio sana tulieni dawa iwaingie maana mlitamba sana mama anaupiga mwingi.
Mkome kabisa tabia ya kuingilia mahakama.
Hata Mimi mwanzo nilishitushwa na swali la Jaji, lakini usiku nimetafakari nikaona Jaji alikuwa anawapiga dongo Mawakili wa Serikali walete mashahidi wanaotoa ushahidi unaotiririka wenyewe kama Ling'wenya utadhani anasoma kwenye notebook.Simply jaji haamini shahidi anachoongea, yani kwa maana nyingine jaji kaamua kuweka "objection" kuwasaidia mawakili wa serikali, hii kesi iishe tu, mahakama ya rufaa ndio kimbilio lililobaki
Huyu amefikia mpaka ngazi ya naibu waziri lakini kichwani ni mweupe kuliko mtendaji wa kijiji.Mkuu samahani.....
Mawakili siku zote huwa wanawafundisha wateja wao kujibu kabla ya kwenda mahakamani....
Hoja iliyopo ,je shahidi wa leo alionekana akifundishwa pale kizimbani kwa kusikika maneno ,kwa kuwa na simu anasoma ama kipande cha karatasi anadesa?!!!🤣
Jaji asomewe Albadiri mapema laana zimwandane iwe fundisho kwa wapinda haki kama yeyeShahidi atapewaje majibu na mtu mwingine akiwa kizambani halafu asionekane? Huyo Jaji ni mchawi ni nini? Anaona visivyoonekana!!
Akina mbowe wamkatae mapema kabla hajafanya vituko zaidiHuyu jaji nae ameandaliwa kama wale wengine kwa ajili ya 'mkakati ovu'