Young Tanzanian
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,736
- 293
huyu dogo akpona na yeye aache papara acheze kwa step kama mbowe,mnyka na zto asiendee kwa papara kwenye siasa ataumia akna lowasa si level zake ni master mndr wa siasa wapo ktambo kwenye game ataumia aache papara itamcost dogo nasari...