Kauli ya Chagonja juu ya Nassari

Kauli ya Chagonja juu ya Nassari

Kwanza kichwa chake kilivyokaa kinaonesha hamna kitu ubongoni, kwani kuwa wakala wa chama katika uchaguzi ni lazima uwe kwenu?
 
Mungu wangu cha nini vile jina lake!ngoja niangalie kamsi awezwa ponzwa na jina haiwezekani aseme hivyo.
 
Mungu wangu cha nini vile jina lake!ngoja niangalie kamsi awezwa ponzwa na jina haiwezekani aseme hivyo.
 
Mbona Nassar alimkataza Ben Mkapa kufika kwao Arumeru? Ndio kauli ambazo mnazipanda zikiota ndo mnajuwa madhara yake, twendeni tuu polepole ninyi ndo mmechagua matamshi hayo.
 
Yani changoja unatumia nguvu kubwa sana kujibu hoja nyepesi... na kwa alivyo na cheo chake haviendani kabisa, ila tumuache kwani

(Tumeumbwa kwa mavumbi na tutarudi wote mavumbini)

Sasa hivyo navyo si vyeo wanavyochangia na Mbwa!!
 
yeye chagonja anafanya nini arusha?kwake si same?
 
chagonja yuko right, lilimpeleka nn kwenye jimbo la watu kama c kiherehere.
Hapa nilikuwa nasikiliza
radio TRIPLE A FM asubuhi Chagonja kaulizwa swali na mwandishi wa habari
kuhusu kujeruliwa kwa mh. Nassari Chagonja akajibu hivi. Huyo Nassari
alipigwa kwasababu yeye alienda kufanya nini huko na siyo kwao. Swali
langu Lowassa kule ni kwao pia naye si ni mmeru iweje leo watu
tunaongelea swala na makabila? Hawa viongozi watatumaliza Mungu tuepushe
na hili linalo likumba taifa ila Tanzania ya leo siyo ile ya zamani
tunaelewa tulipo toka na tulipo na tunapoenda
 
Siamini kauli kama hii inaweza kutplewa na kamishna wa polisi anayelipwa mshahara kutokana na kodi zetu.
 
Hapa nilikuwa nasikiliza radio TRIPLE A FM asubuhi Chagonja kaulizwa swali na mwandishi wa habari kuhusu kujeruliwa kwa mh. Nassari Chagonja akajibu hivi. Huyo Nassari alipigwa kwasababu yeye alienda kufanya nini huko na siyo kwao. Swali langu Lowassa kule ni kwao pia naye si ni mmeru iweje leo watu tunaongelea swala na makabila? Hawa viongozi watatumaliza Mungu tuepushe na hili linalo likumba taifa ila Tanzania ya leo siyo ile ya zamani tunaelewa tulipo toka na tulipo na tunapoenda

Kumbe mimi Mngoni Nikipigwa Dar es Salaam nitakosa msaada wa Polisi hehehe Hii Harari
 
Haihitaji kua na akili nyingi sana kujua yaliyofanyika arusha yamepangwa na serikali kwa kushirikiana na jeshi la polisi..kama huwez kua great thinker huu mtandao haukuhusu, mambulula facebook inawatosha
 
huyu mzee ni mbumbu,anaropoka tu,haelewi chochote,ila watanzania tuliyataka wenyewe.

Hata ukimwangalia tu huyo Chagonja unaona ni mtu wa namna gani. Mtu ambaye anamtumia eti mkewe kutoa ajira za polisi ni mtu wa namna gani?

ni aibu kuwa na watu wa aina hii eti ndio viongozi wa hilo geshi la porisi!
 
Back
Top Bottom