KAULI ya CHADEMA juu ya watumishi wa umma kutoa taarifa katika mikutano ya CCM

Jjm sisiem ni sawa na maiti iliyomochwari huu sio wakati wa kuipa maiti maagizo wala onyo kilichobaki ni kuizika tu!
Chadema pigeni kazi ya elimu ya uraia vijijini 2015 ni kesho tu oohoo!
 
Hivi kuna nini hapa na pia kuna kitu ni paradox katika utendaji wa wizara kati ya wanasiasa na wafanyakazi wa Umma
 
This is just a wrong move kwa CDM wakati mwinginewanaudhi kweli. Sasa wanafikiria rais na CCM watasema wamekosea na wataacha? Grrrrrrrr

Mzee Mwanakijiji,point ya CDM ni kuwa kama nao CCM wanawaita watumishi wa umma kwenye mikutano yao kujibu hoja za wananchi basi vyama vyote vipate hiyo haki hiyo........
 
Nape kila nikimuona kwenye Tv anatoa either hotuba au kitu chochote sijawahi ona cha maana anachosema. Ana mwili mkubwa lakini akili yake ni 20% ya umri wake na mwili wake.
 
Nepi tumhurumie make maneno huwa yanatoka hata bila yeye kuyafikiria.
 
nilishika kichwa changu kwa mshangao siku JK alipo msifia Nape kwa kuwajibu wapinzani,( wakati wa kikao chao kikuu cha ccm) yaani nikajiuliza Nape ana akilil kuliko JK.
 
Back
Top Bottom