KAULI ya CHADEMA juu ya watumishi wa umma kutoa taarifa katika mikutano ya CCM

Hichi ndicho kinachofanya niipende CHADEMA.

Yaani wapo makini sana katika kufanya mambo yao.
Wanafanya UTAFITI , Wanakuja na FACTS halafu wanajenga HOJA, kisha wanaanzisha MJADALA na mwisho wanafanya HARAKATI.
 
Mtumwa wa mawazo wewe, uje hapa nioshe kichwa changu.

Mtumwa ni wewe ambaye huwezi kutofautisha kati ya 'shughuli za chama cha siasa' na 'utumishi wa umma'. Nakushauri uanze kutumia kichwa chako kufikiri, na sio kufugia nywele tu!
 
CCM siku hizi wanafanya siasa za kubahatisha tu, walianza siasa ya 'Kujivua gamba' mambo yakawa magumu, sasa wamekuja na siasa ya 'Chama kuiwajibisha serikali' hali imekuwa mbaya zaidi.

Kuna tetesi wanakuja na nyingine ya 'Kukiuisha Chama'
 
hivi NAPE huwa hayajui haya, au anakurupuka tu kama gurudumu la bajaji?
 
Ilianza taratibu pale CCM ilipoanza kufanya mikutano yake Ikulu. Tukapiga sana kelele hapa lakini watu wengi wakiwemo Chadema hawakusema chochote.

Wengi tulijua nini kitafuata. Na kweli kimetokea. Sio tuu CCM inatumia zana za umma kwa faida za chama bali pia watumishi wa umma.

Kwa kifupi, taarifa ya Chadema imechelewa mno: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/28301-ni-halali-ccm-kufanyia-vikao-ikulu.html


8E9U8729.JPG


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao maalum cha kamati kuu ya halimashauri kuu ya CCM Ikulu jijini Dar Es Salaam

ccccm.JPG


ccccm1.JPG
 
Nilipo msikiliza Nape junior kweli niliona tatizo la msingi la yeye kusoma India. Angesoma Tz kama sie basi DS 100 na 200 inge msaidia kuelewa kwani mashirika yetu ya umma yalikufa. Nape wafanyakazi wa umma wanawajibika kwa katibu mkuu wa wizara wala si kwa waziri ambaye ni mwanasiasa. Waziri kazi yake ni kuangalia sera za chama chake zinatungiwa sheria na kufuatwa na wizara husika. MD au CEO ana wajibika kwa bodi si kwa mikutano ya sisiemu, wao wange mwita Prof. Muhongo kama wana ubavu huo na kumhoji kwani ndo mwanachama wao. Kweli Nape ni kilaza na hajui mipaka ya kazi yake. Poor nape and useless ccm
 
USHAHIDI huu unaonyesha kuwa NAPE NNAUYE au kama anavyofahamika humu kama " Nnauye Junior " uwezo wake ni mdogo mno ! Unajua siku za mwanzo wakati wadau wanamponda mimi nilidhani labda ni wivu tu , kumbe dah ! Kweli nimeamini kuwa cheo sometimes ni bahati tu ! Usishangae siku unamkuta Ritz wa Jf ni katibu mkuu wa CCM , KISA ! Anatoa sana povu Jf hata kwa mambo ya kijinga !
 
hivi NAPE huwa hayajui haya, au anakurupuka tu kama gurudumu la bajaji?

ayajulie wapi ccm wote mbumbu angalia kwenye safu yao ni nani ana mvuto,wote mafisadi,rejea kukamatwa kwa meli inayomilikiwa na kinana yenye meno ya tembo. Wao bado wanaamini watanzania tumelala,eti maagizo ya serikali yanatolewa na chama na ya chama yanatolewa na serikali yaani ovyo kabisa
 
Nilipo msikiliza Nape junior kweli niliona tatizo la msingi la yeye kusoma India. Angesoma Tz kama sie basi DS 100 na 200 inge msaidia kuelewa kwani mashirika yetu ya umma yalikufa. Nape wafanyakazi wa umma wanawajibika kwa katibu mkuu wa wizara wala si kwa waziri ambaye ni mwanasiasa. Waziri kazi yake ni kuangalia sera za chama chake zinatungiwa sheria na kufuatwa na wizara husika. MD au CEO ana wajibika kwa bodi si kwa mikutano ya sisiemu, wao wange mwita Prof. Muhongo kama wana ubavu huo na kumhoji kwani ndo mwanachama wao. Kweli Nape ni kilaza na hajui mipaka ya kazi yake. Poor nape and useless ccm
no wonder mkurungezi wa Tanesco jimbo la nyamagana na yule wa Maji wote hawakutokea, eti waliitwa kutoa taarifa za utekelezaji wa ilani ya uchaguzi wa CCM kwenye mkutano wa dharura -- Aisee hivi hata kinana hili halijui awashauri?

Unamwajibisha mtendaji wa serikali kupitia kikao cha dharura cha CCM? Yule mama naye (a.k.a katibu wa CCM wilaya ya Nyamagana) kapandisha Mori nipeni report kama mtendaji wa serikali hawajibiki mimi na-asign tu ili soo liende mbele -- haha ha mbele wapi? Move za CCM bwana hazina maana ndiyo maana watu wenye akili wanawakimbia kila siku.
 
CCM hawajui wanafanya nini.HIvi kweli bdo hawajui kuwa si kila mfanyakazi ni CCM?Kila siku wao ndio wanachelewa kujua kujua watu wanatambua haki zao na tofauti ya serikali na chama cha kisiasa hata kama kikiwa ndicho tawala.
 
Nilishangaa watu walimsifia kijana mwenzetu nape,nape tangu aanze kulipwa yale mamilioni na lumumba kwa mwezi kapoteza uwezo wa kufikiri, mtumishi wa umma atakayewasikiliza magamba awe tayari kusikiliza tlp,cuf na hata cdm! TANZANIA ni zaidi ya ccm,cuf,cdm nk.
 
This is just a wrong move kwa CDM wakati mwinginewanaudhi kweli. Sasa wanafikiria rais na CCM watasema wamekosea na wataacha? Grrrrrrrr
 
Back
Top Bottom