MKONGWE 12.com
Member
- May 27, 2012
- 15
- 7
Karume:Muungano kama koti likitubana tunalivua. je wanzanzibar bado koti linawatosha?
Lilipoanza kubana yeye alikuwa hai, Kwa nini ASILIVUE??
Yeye Ndie aliepima koti hilo Kwa saizi yake sasa nyie Mtalivuaje na koti si lenu?
Lazima alimrithisha mwanae AMANI, hakuzikwa nalo yy ni Mwislamu.
Na Amani alilivaa kwa miaka KUMI mkamateni yeye ndie mwenye Koti la babie, au bado mnaiogopa hiyo Familia???