Kauli ni kitu cha muhimu sana katika mahusiano

Kauli ni kitu cha muhimu sana katika mahusiano

Sasa mkuu inamaana nyumbani mnaishi kibabe babe design.
Yani mmi siamini katika kubembeleza ni nguvu. Ubabe na maamuzi magumu tu ndio yanapaswa kuendesha nyumba. Kipa siku mtu hatakiwi kujua utaamka na lipi...
 
Achilia mbali kauli...hakuna tabia mbaya inayoweza kukuharibia mahusiano kama KUJIKWEZA
 
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa,mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi,wengine muda sio mrefu.Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake.Majibu yalikuwa hivi:

1. Unaota au?❓❓

2. Umekumbwa na nn?❓❓

3. ??!! Makubwa!❗❗❗

4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani❗❗

5. Leo sikusamehi najua kuna kitu.

6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?❗❓❓

7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.

8. Wewe sema unachotaka.

9. Leo hunipati ng'o!❗❗

10. Nani mwenzangu❓❓

Mwanamke yupi alitisha hapo?

Habari za leo wapendwa,

Kauli ni kitu cha muhimu sana katika mahusiano, si mahusiano kati ya mume na mke au na mpenzi wake tu bali kati ya mtoto na wazazi, ndungu jamaa na marafiki, hata watu unaofanya nao kazi, unaopanda nao basi, unaokutana nao katika biashara na hata wanaokusaidia kazi nyumbani na kwingine.

Unaamka asubuhi una hasira na mke wako, unakwenda kazini bila kumuaga, saa nne unapigiwa simu, mke wako alipata ajali yuko ICU Muhimbili, unafika unamkuta na mipira, plaster kila mahali, unaanza kulia. Au ulimuelezeza mume wako una shida ya pesa, unaamka asubuhi bila hata salamu, "na ile 50,000 leo usiniambie umesahau, kama huna niambie" bila hata salamu, baba A umeamkaje, unaweza kukuta baba A alipata heart attack wakati amelala, unaamka bila salamu kumbe baba A anakoroma wewe umeshikilia upewe 50,000.

Kauli yako inapokuwa mbaya hata mke wako anashindwa kukueleza matatizo yake, na kama kuna mtu anaemsikiliza vizuri huko nje, kwanini asipewe na zawadi ya andazi. Ukifahamu mke anabanjuliwa unakuja JF unalia, mwanamke hana shukrani, nimesomesha, nilimkuta amemaliza form four sasa ana degree, unashindwa kuelewa si pesa inayoweka mahusiano, kauli ni kitu cha msingi pesa ni matokeo.

Asubuhi mnapoagana ni muhimu kutakiana siku njema, hata kama mna ugomvi wa kufa mtu na unyumba uligoma. Ile tu "mama B mimi ndiyo ninatoka" mama B anajibu "siku njema baba B", haichukui hata dakika 5.

Wale wa uzunguni wasema "have a nice day, I love you babe/honey".

Hivyo hata mmoja akipata ajali, mliagana kwa Amani.
 
Hii ni kama virus ndani ya famili nyingi zimeadhirika kabisa, zipo ndembe ndembe
 
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa,mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi,wengine muda sio mrefu.Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake.Majibu yalikuwa hivi:

1. Unaota au?❓❓

2. Umekumbwa na nn?❓❓

3. ??!! Makubwa!❗❗❗

4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani❗❗

5. Leo sikusamehi najua kuna kitu.

6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?❗❓❓

7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.

8. Wewe sema unachotaka.

9. Leo hunipati ng'o!❗❗

10. Nani mwenzangu❓❓

Mwanamke yupi alitisha hapo?
hahahahaha hayo majibu y wanawake wa kibongo haha
 
lol! hahahahaha baadhi hawana mazoe ya kuambiwa I love you/Nakupenda wanajua tu nyuma ya neno hilo kuna kitu kinafuata, "Mie leo nina genye za kufa mtu hivyo ni mimi na wewe, wewe na mimi mpaka majogoo yawike"

hahahahaha hayo majibu y wanawake wa kibongo haha
 
lol! hahahahaha baadhi hawana mazoe ya kuambiwa I love you/Nakupenda wanajua tu nyuma ya neno hilo kuna kitu kinafuata, "Mie leo ni genye za kufa mtu hivyo ni mimi na wewe, wewe na mimi mpaka majogoo yawike"
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]aaaaa wakishaambiwa hvyo hapo roho zao kwatu[emoji108][emoji108]hahahaha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa,mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi,wengine muda sio mrefu.Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake.Majibu yalikuwa hivi:

1. Unaota au?❓❓

2. Umekumbwa na nn?❓❓

3. ??!! Makubwa!❗❗❗

4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani❗❗

5. Leo sikusamehi najua kuna kitu.

6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?❗❓❓

7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.

8. Wewe sema unachotaka.

9. Leo hunipati ng'o!❗❗

10. Nani mwenzangu❓❓

Mwanamke yupi alitisha hapo?
Number 9 ametisha mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie naona namba 8 na 9 wanashindana, nadhani 9 ni bingwa hapo. 8 alitaka kuchangamkia fursa akidhani ni mchepuko.
Hizi ndoa bwana, Mungu tu atunusuru, unakuta mtu mume amelala yeye anatext mchepuko, tena anauambia kabisa "I miss you" wakati mume amejikumbatia masikini.
 
We acha tu hii technology imeleta mambo makubwa sana ndani ya ndoa. Mke/Mume anaweza kuwa anachat na mchepuko wake na mwenzie yuko hapo hapo pembeni wala asistukie kabisaaaa. Mchepuko nao unajibu I miss you too darling.

Wakati hiyo sentence uliisikia kutoka kwa mke wako mkiwa honey moon miaka hiyooo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unakuta mke

1) ana kiburi yaani hataki umwambie kitu kama kumkosoa au kumsahihisha
2)mchafu na mvivu
3) hapendi ndugu wa Mume na anawadharau
4)ishu yoyote ana muhusisha mama yake

We unazani kuna suluhu hapo ????
Mwenye tatizo hapo mwanaume we ulioa jitu la hovyo hivyo kwanini?! Muda wa uchumba utumike vyema kuchunguza na kosa kubwa ni kupuuza dalili za mamba afanyayo wewe huyapendi kisa upendo.
 
Back
Top Bottom