yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,906
Matatizo hayo ninadhani ni muhimu yapelekwe kwa kungwi wa mke wakati wa harusi, hao waswanglishi wanamwita matron. Pia watu wanazaliwa na kulelewa katika mazingira tofauti, inawezekana kutokana na malezi aliyoyapata huyu mke hapo juu, hakujifunza usafi na uchapakazi. Uvivu na uchafu maranyingi vinakuwa comp table, kama wewe hupendi uchafu, ukiwa na nafasi safisha nyumba na umwambie mke wako hivi ndiyo unapenda iwe.
Sasa nani apeleke kwa kungwi??
Wanawake wa siku hizi majanga tuu