Kauli mbiu valentile 2015

Kauli mbiu valentile 2015

Wana MMU.

Hizi ni kauli mbiu za valentine day 2015 zinatoa ujumbe gani, je ni kweli wanawake ndiyo wametoa kauli mbiu hizi au wanaume wameamua kuzitoa na kuzitawanya.Binafsi nimesikia mbili ,je wewe.

1) Mapenzi pesa,maua peleka kwa nyuki na kadi peleka klinic.

2) Tumechoshwa na kadi, kutolewa out na kuvaa nguo nyekundu.Tunahitaji mwaka 2015 mtoe posa na kutoa mahari.
Kazi kwenu,toeni mahari sasa.
nimeipenda safi saaaaana uwaendee wooote tupendanao.
 
Back
Top Bottom