Mpigania haki
Member
- Apr 10, 2011
- 53
- 16
Habari wana jf,napendekeza kauli mpya hii waitumie chadema,ninaimani itavuta sana watu kutoka pande zote za nchi.napendekeza chadema watembee nchi nzima kueneza kauli hii mpaka vijijini huku wakifungua matawi kwa fujo ninaamini tutapata wanachama wengi sana.badala ya hamia airtel napendekeza iwe hamia chadema,mnaonaje wana jf wenzangu? Weka mchango wako hapa.
Dogo watu wanajadili mambo ya msingi ya kitaifa wewe unaleta ngonjera...nakushauri nenda pale Makao Makuu ya Chadema Kinondoni Mtaa wa Ufipa kamuone mtu mmoja anaitwa Matola kampe hiyo kauli mbiu yako.
Habari wana jf,napendekeza kauli mpya hii waitumie chadema,ninaimani itavuta sana watu kutoka pande zote za nchi.napendekeza chadema watembee nchi nzima kueneza kauli hii mpaka vijijini huku wakifungua matawi kwa fujo ninaamini tutapata wanachama wengi sana.badala ya hamia airtel napendekeza iwe hamia chadema,mnaonaje wana jf wenzangu? Weka mchango wako hapa.
Hakuna mbadala wa:Habari wana jf,napendekeza kauli mpya hii waitumie chadema,ninaimani itavuta sana watu kutoka pande zote za nchi.napendekeza chadema watembee nchi nzima kueneza kauli hii mpaka vijijini huku wakifungua matawi kwa fujo ninaamini tutapata wanachama wengi sana.badala ya hamia airtel napendekeza iwe hamia chadema,mnaonaje wana jf wenzangu? Weka mchango wako hapa.
hamia chadema.Movement for radical change....nilianza nayo mwaka jana.Hata hivyo kazi iliyoko mbele ni zaidi ya slogan
"Chadema nambari wani"