Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

Dogo watu wanajadili mambo ya msingi ya kitaifa wewe unaleta ngonjera...nakushauri nenda pale Makao Makuu ya Chadema Kinondoni Mtaa wa Ufipa kamuone mtu mmoja anaitwa Matola kampe hiyo kauli mbiu yako.
Kwani Mkuu Ritz wewe unawashwa nini, si ungoje huko huko usiamie CDM wakati huu uone cha moto its a WIND OF CHANGE NO BODY EVEN RITZ CAN STOP IT!!!!!

 
power-to-the-people.jpg
 
Mimi naongezea hapo, TIME FOR LIBERATION. CCM MUST GO! TUTENGENEZE NA T'SHIRTS KABISA!

hamia chadema.Movement for radical change....nilianza nayo mwaka jana.Hata hivyo kazi iliyoko mbele ni zaidi ya slogan
 
inafaa sana kwa rika zote hata watoto wataenda kuwaambia wazazi wao wahamie CHADEMA!
 
Dogo watu wanajadili mambo ya msingi ya kitaifa wewe unaleta ngonjera...nakushauri nenda pale Makao Makuu ya Chadema Kinondoni Mtaa wa Ufipa kamuone mtu mmoja anaitwa Matola kampe hiyo kauli mbiu yako.

Kwa upepo huu sijui kama mtastahimili mkuu!
 
M4C 4ROVER, Vua Gamba Vaa Gwanda, Achakua Nyoka Kua Kamanda. PipoZzzz PoweR.
 
Chama cha kigaidi chadema, muda wote wanahubiri machafuko siwapendi hata kidogo
 
pipoooooooz! powerrrrrrrrrrrrrrrrrr.. hii hata mtoto wangu mdogo 2yrs Angel anaijua, hiyo mpya ita-disturb her mind, she is built up 4 cdm.
 
Habari wana jf,napendekeza kauli mpya hii waitumie chadema,ninaimani itavuta sana watu kutoka pande zote za nchi.napendekeza chadema watembee nchi nzima kueneza kauli hii mpaka vijijini huku wakifungua matawi kwa fujo ninaamini tutapata wanachama wengi sana.badala ya hamia airtel napendekeza iwe hamia chadema,mnaonaje wana jf wenzangu? Weka mchango wako hapa.
Nami siko mbali sana na wewe kaka kuhusu kauli mbiu ya chadema,hali kadhalika iwe HAMIA CHADEMA,asante sana.
 
hamia chadema.Movement for radical change....nilianza nayo mwaka jana.Hata hivyo kazi iliyoko mbele ni zaidi ya slogan

heshima kamanda Ben! Ni kweli kauli mbiu ulikuwa ukiitumia since last yr kwenye uchaguzi wa BAVICHA but huwa najaribu kutathiminoi juu ya hiyo MOVT 4 RADICAL CHANGE lakini huwa nashindwa kupata jibu na maana ysahihi juu ya hii slogan yako so ingekuwa vyema kama leo ungefunguka humu jamvini kuielezea hii slogan yako huwa ina maana gani ili tuweze kuijua ili mwisho wa siku tusije tuna slogan kitu ambacho hatukijua au kumbe ni slogan hata ya freemasons.
FUNGUKA MKUU.
 
yawezekana AIRTEL waliiona hii slogan mapema nao waka copy na kuedit, let it be i n that way!
 
CDM hatuna kaul mbiu hyo ya hamia airtel nadhan niyakwako.our moto is peoples power.
 
Back
Top Bottom