Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,027
- 103,427
Huo ni utani tu wa JPM akiwa jukwaani. Kula za maoni lazima zipigwe. Acheni utoto.
Hamna cha utani wala nini, wakati hayo yote anayosema huwa tunaona yakitekelezwa.
Huo ni utani tu wa JPM akiwa jukwaani. Kula za maoni lazima zipigwe. Acheni utoto.
Usafi wa akiki na ueleea ni muhimu zaidi.Usafi wa kinywa na maneno
Kula za maoni lazima zifanyike.Hamna cha utani wala nini, wakati hayo yote anayosema huwa tunaona yakitekelezwa.
Nikiangalia kwenye keyboard, herufi mbili R na L haziko karibu na hivyo hakuna namna kosa unalolifanya linaweza likaitwa typo. Hivyo hivyo hakuna namna mtu makini anaweza kuchanganya nchi tatu za Libya, Kuwait na Iraq na kumhusisha marehemu Gadafi na nchi ya Iraq au Kuwait.Kula za maoni lazima zipigwe.
Kula za maoni lazima zifanyike.
Nikiangalia kwenye keyboard, herufi mbili R na L haziko karibu na hivyo hakuna namna kosa unalolifanya linaweza likaitwa typo. Hivyo hivyo hakuna namna mtu makini anaweza kuchanganya nchi mbili Libya, Kuwait na Iraq na kumhusisha marehemu Gadafi na nchi ya Iraq au Kuwait.
Idugunde, swali linalonisumbua ni hili, hivi tatizo la watu kama ninyi hadi kufikia kuwa na hitilafu ya uelewa katika mambo ya kawaida kabisa ni nini hasa? Naamini ni Watanzania na yawezekana ni wasomi wa kiwango kama mnavyodai kwenye vyeti, je shida yenu kubwa hasa ni nini?
Typing error ndio ulete maswali ya kipuuzi hivyo? Wewe umeshaelewa kuwa kura za maoni lazima zipigwe. Ndugai hapiti bila kupingwa si utaratibu. We shida yako nini?Nikiangalia kwenye keyboard, herufi mbili R na L haziko karibu na hivyo hakuna namna kosa unalolifanya linaweza likaitwa typo. Hivyo hivyo hakuna namna mtu makini anaweza kuchanganya nchi mbili Libya, Kuwait na Iraq na kumhusisha marehemu Gadafi na nchi ya Iraq au Kuwait.
Idugunde, swali linalonisumbua ni hili, hivi tatizo la watu kama ninyi hadi kufikia kuwa na hitilafu ya uelewa katika mambo ya kawaida kabisa ni nini hasa? Naamini ni Watanzania na yawezekana ni wasomi wa kiwango kama mnavyodai kwenye vyeti, je shida yenu kubwa hasa ni nini?
Huo Ni mtazamo wako tuHaya naona atateua wale wapiga miluzi wake
Kabla hatujaenda kwenye facts kajifunze kuandika kwanzaUsafi wa akiki na ueleea ni muhimu zaidi.
Let's argue facts.
Fact 1. Magufuli mshamba. Hata Kiswahiki hajui, seuze Kiingereza.
Fact 2. Magufuli ni mshenzi. Kasema atawapiga mpaka shangazi za wapinzani wake. Hii ni kauli ya kishenzi.
Lete facts tujadili.
Kauli ya hovyo hiiKiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.
Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
Huo ni utani tu wa JPM akiwa jukwaani. Kula za maoni lazima zipigwe. Acheni utoto.
Kuna kula za maigizo hapa Tanzania.?
Sema kula za maigizo lazima zipigwe
Tatizo lipo wapi kula za maoni lazima sifanyike kam kawaida. Asifanye utani mnakomaa kama manaharisha uhalo
Mmm...!Kula za maoni lazima zifanyike.
Haiwezekani ikawa ni typing error kwani hata katika matamshi ya majukwaani ni hivyo hivyo. Nadhani tatizo lenu kubwa ni ushamba, ulimbukeni na ushenzi kama alivyosema Kiranga, naunga mkono.Typing error ndio ulete maswali ya kipuuzi hivyo? Wewe umeshaelewa kuwa kura za maoni lazima zipigwe. Ndugai hapiti bila kupingwa si utaratibu. We shida yako nini?
Hakuna utani hapo ni ONYO kwa aliyepigwa rungu la kichwa na Ndugai. Twamfahamu Jiwe sieHuo ni utani tu wa JPM akiwa jukwaani. Kula za maoni lazima zipigwe. Acheni utoto.
HATUFAILa muhimu kwa sasa ni kuhakikisha haturudii kosa katika uchaguzi 2020. Magufuli has to be shown the door, period.
Uliishaitwa kutoa ushahidi? Kama bado nenda mwenyewe haraka ukiwa na vielelezoHuyo ni raisi ana mteua yeyote anae taka ambae si mwana demokrasia ni MBOWE hakupi nafasi ya kugombea ubunge mpaka uingie nae mkataba umlipe laki tano na Kama Ni viti maalumu umlipe 1.5 ml na na ngono juu
Tatizo siyo katiba, shida ni watu.matumizi mabaya ya madaraka.
hili halina kinga ya katiba baada ya 2020 au 2025.
tunasubiri kwa hamu muda huo ufike maana mahasimu wapo ndani na nje ya chama.
Sio adabu kumtamkia kiongozi wa nchi, inatoa taswira malezi yake utotoni kwenye msingi Kuna tatizo.Mkuu kunawanaa hapa hawachelewi kukusonteshea tcra