Kauli hii ya CHADEMA imenishangaza!!

Kauli hii ya CHADEMA imenishangaza!!

Hivi tunasababu ya kujadili hichi kilichowekwa hapa? Tunauhakika gani ni kauli ya cdm? Kwanza imezungumzwa na nani? Huyu aliyeiweka kaitoa wapi?

Kuendelea kujadili ni kupoteza muda!
 
Hivi tunasababu ya kujadili hichi kilichowekwa hapa? Tunauhakika gani ni kauli ya cdm? Kwanza imezungumzwa na nani? Huyu aliyeiweka kaitoa wapi?

Kuendelea kujadili ni kupoteza muda!
Nakumbuka kuyasoma hapa JF ktk majibu ya gazeti la mwananchi kuhusu Mbowe, Zitto na Dr.Slaa kugombea urais pia kama sikosei nilimsoma Dr Slaa ktk FB au Tweet yake..Sioni tatizo kujadili kitu kama hiki maana ni muhimu sana kwetu sisi wananchi na sidhani kama hata mfumo wa Chadema ni perfect bado kunahitajika marekebisho, lakini nadhani ni bora zaidi ya ule wa CCM.
 
Inaonesha uliandika usiku wa manane ukiwa umetoka kula majani.
 
Sioni haja ya kumshambulia kigarama hata kama hoja yake haipendezi kimpangilio....ukisoma signature yake utapata hekima fulani.

narudi kwa kunukuu sehemu hii ''Ni vyema hii dhana ya mtu kufuatwa na kuombwa, mara anapoonekana kuwa anafaa kuongoza, kulingana na mahitaji ya watu na sifa za nafasi hiyo, kama ambavyo imekuwa ikifanyika ndani ya CHADEMA, ikaenziwa na kufanywa kuwa ni namna bora ya kupata viongozi".

kwa nukuu hapo juu utaona Chadema inashauri kujikita katika kutizama mahitaji ya waongozwa na sio ubinafsi wa muongozaji na kushabihiana kwa sifa za muombwaji na mahitaji ya umma na sio muombaji kujikweza kua anafaa bali aonekane anafaa na anahitajika kuongoza jamii husika.

kwa mfano ukiuliza njia bora kwa wataalamu wa rasilimali watu watakuambia certainly ni ''Head Hunt" unafanya utafiti kwa kuzingatia vigezo sahihi na kuapproach the qualifying candidate for negotiation and employment at any reasonable cost
 
kigarama umejenga hoja nzito, nnakuhakikishia ni asilimia mbili tu ya wana jf ambao watakuelewa.
nawashauri wewe malaria sugu na wenzio wote mfikirie upya michango yenu hapa jf maana kila mtu yupo kinyume nanyi halafu hamshtuki ila mnaendelea kuleta uharo wenu.mtak msitake ccm imekwisha ila ulofa wenu mnajifanya hamjui.poleni sana wana magamba original!
 
Sioni hoja ya maana iliyoelezwa na mtoa hoja. wananchi wanapomuomba mtu kugombea wanamfahamu kuwa ni mwadilifu na anauwezo. Sitahili ya magamba ya kutumia pesa kutafuta uongozi ndo uliotufikisha hapa tulipo.nchi iko hoi kwa ufisadi
 
sijaelewa unataka nini kifanyike wakati hata hiyo katiba yao hujaisoma
:lol: Mkuu amekurupuka na ushabiki wa vyma utamuumiza. Hakuna hoja kwenye thread yake, kwlei, asome katiba ya CDM anaweza kupata la kumsaidia kujenga hoja.:A S 465:
 
Ningekushauri badala ya kurukia yasiyokuhusu,nenda kwa magamba wenzio waulize kwa nini katika awamu ya pili ya JK 2010 Makamba alipiga marufuku mwanachama yeyote kumpinga?
 
weka source ya data iliyokupa ukweli kwamba ni asilimia mbili tu ya wanaJF ambao hawajamuelewa' vinginevyo no research no data no talk' yaana kama huna data za uhakika kusubstantiate maneno yako jiepushe na generalized statements kama 'nakuhakikishia' na utatundea haki ukinyamaza, msahafu mmoja unasema kwamba hata mjinga akinyamaza kwake hiyo ni hekima.

Anamaanisha na magamba wenzie tu wataunga mkono huu upupu
 
Sioni haja ya kumshambulia kigarama hata kama hoja yake haipendezi kimpangilio....ukisoma signature yake utapata hekima fulani.

narudi kwa kunukuu sehemu hii ''Ni vyema hii dhana ya mtu kufuatwa na kuombwa, mara anapoonekana kuwa anafaa kuongoza, kulingana na mahitaji ya watu na sifa za nafasi hiyo, kama ambavyo imekuwa ikifanyika ndani ya CHADEMA, ikaenziwa na kufanywa kuwa ni namna bora ya kupata viongozi".

kwa nukuu hapo juu utaona Chadema inashauri kujikita katika kutizama mahitaji ya waongozwa na sio ubinafsi wa muongozaji na kushabihiana kwa sifa za muombwaji na mahitaji ya umma na sio muombaji kujikweza kua anafaa bali aonekane anafaa na anahitajika kuongoza jamii husika.

kwa mfano ukiuliza njia bora kwa wataalamu wa rasilimali watu watakuambia certainly ni ''Head Hunt" unafanya utafiti kwa kuzingatia vigezo sahihi na kuapproach the qualifying candidate for negotiation and employment at any reasonable cost

hekima gani ya kuleta upupu?
 
Kwa namna nilivyomuelewa Kigarama, ni kama vile anaona kunakuwa na ufinyu wa demokrasia kwa utaratibu huo wa kumuomba mtu agombee nafasi kutokana na mahitaji ya wananchi na chama. Nadhani hii inatokana na mazoea tuliyokuwa tunashuhudia kwa ccm, na kwa sehemu kubwa watanzania wengi wameathiriwa na kila kinachofanywa na ccm as if ndiyo guidelines.

Kwa upande wa chadema katika nafasi ya uraisi, kutokana na uzito na unyeti wa nafasi hiyo kwa Taifa na kwa kuzingatia uzoefu wa hapo kabla na nje ya chama kumekuwa na approach tofauti ambayo kwakweli 2010 imeonyesha mafanikio makubwa sana. Wanachama wenyewe kuanzia ngazi ya chini hupata fursa ya kumpendekeza mwanachama wanayedhani anafaa kuwania nafasi ya raisi kupitia chadema na hatimaye kamati kuu huratibu maoni ya wanachama na kufanya uteuzi. Utaratibu wa kila mtu anapojisikia anawania urais si mara zote hutoa viongozi mahiri na makini wanaokidhi matakwa ya jamii.

Kwa nafasi nyengine za ubunge, udiwani na serikali za mitaa na vijiji mwanachama yeyote anajitokeza kuchukua fomu na ngazi husika ya uongozi wa chama huchuja na kuteua mgombea.
 
tofauti ya ccm na cdm ni kwamba ccm ni chama tawala hali cdm ni chama cha upinzani,hivyo mifumo ya uendeshaji ya ccm ndio inayokubalika kwa wengi
 
Kama demokrasia inaheshimiwa basi mtu akionekana anafaa hapendekezwi bali ANASHAURIWA. Na ili mchakato uwe fair basi anashauriwa katika personal level siyo officially eg. Mbowe anaweza kumuita Zitto nyumbani kwake akamshauri agombee nafasi fulani kwa sababu anaamini kuwa anafaa na hilo likabaki kati ya Mbowe na Zitto.

Huu utaratibu wa kupendekezana ni utaratibu unaokumbatia insiders and status quo. Na utaratibu huu unakandamiza uwezekano wa kugundua watu wapya wenye vipaji vya kuongoza.

Kwa mtindo huo mtanzania anayeishi nje ya nchi hawezi kuwa kiongozi kupitia chama chenye utaratibu huo. Nani atampendekeza? nani anamjua? lakini ukimruhusu kugombea akaweka sera zake hadharani watu wanaweza kugundua kuwa anafaa na wakamchagua.
 
Tatizo la Chama kuongozwa na familia ya Mbowe na Mtei wanamaliza nyumbani kuamua wanae mtaka ndie atagombea
 
Huna Hoja wewe mpuuzi hujui hata unachokiandika sijui lini mtaacha kutumika na hao CCM waharibu nchi.
 
Tumbo joto linawasumbua nyie Magamba,na 2015 bado mpaka uharo uwatoke,kwanza hoja yako haina mashiko kijana rudi kwenye katiba ya CDM kajifunze namna taratibu za CDM zilivyo jinsi ya kupata viongozi sio nyie CC ya watu wachache wakisema flani awe hivi na inakua hvyo sie CDM hatupo hivyo so pole yako wewe Magamba
 
Back
Top Bottom