Kauli hii inanikera, nifanyeje?

Nimepanga kwa pesa yangu, maana mie cna ndugu, sina mpenzi kwaiyo sina pa kuzipeleka pesa sasa ivi nipo off wiki mbili then niludi shimoni... Mie zangu njoooo...... Utanikuta na chukua type za kina Lara 1 na Ciello baby.....
haya umeongeza wamekuwa wawili na ile interview ya Ciello ilikusinda amekukubali kwa kigezo gani pesa ya barik au
 
Last edited by a moderator:
Una DHARAU wewe!

Dharau ya wapi?

Ukweli unauma Kaunga; habari ndo hiyo; ukubali ukatae ukweli unabaki pale pale. Akili za wanawake ni za ajabu sana.
Mwanaume akimkosea mwanamke - mwanamke ndo yuko kwenye dangerous zone,
Mwanamke akimkosea mwanaume - vile vile mwanamke ndo anakuwa kwenye dangerous zone;

Kwa kulitambua hilo ya nini mwanamke kujishaua?
 
Anamaanisha kuwa akili za wanawake ni ndogo ukilinganisha na za wanaume au hujaelewa ndg yangu.
Ndo maana kwa serikali ya Jamhuri ya Tannzania kuna wizara ya kushughulikia mambo ya wanawake na watoto.
no wonder mkeo anakujibu mbofu mbofu
 
dume la ukweli halitumii hizi lugha!
 
"nitawapisha wengine nao waje wajaribu, nina kwetu"

Kauli hiyo inatolewa na 'unhappy wife', ambaye amejaribu kila awezalo kufanya ndoa iWork na it seems ameshindwa au juhudi zake haziwi appreciated. Anataka aprove kuwa mwenye tatizo sio yeye "..waje wajaribu..." bali ni mumewe. Pia anajifariji kuwa hakutoka nowhere bali somewhere.

Mwanamke anayefurahia ndoa hawezi tamka kauli kama hiyo. Mwanamke anayefurahia ndoa yake, atafanya kila njia kuikeep ndoa.

Nini kina mfanyana asifurahie, that is for her to know and Tutor B to find out!
 
Last edited by a moderator:

Kaka; ikitokea akatishia kuondoka na wewe ukamruhusu achukue vitu vyake aende; akifika kule anadai umemfukuza (akili mbovu sana). Mkianza kubishana mbele ya wasuruhishi ndo mwanzo wa kuanika mambo ya ndani ya nyumbani kwako - sipendi kujadili mambo ya ndani kwangu na jopo la watu.
 
Anamaanisha kuwa akili za wanawake ni ndogo ukilinganisha na za wanaume au hujaelewa ndg yangu.
Ndo maana kwa serikali ya Jamhuri ya Tannzania kuna wizara ya kushughulikia mambo ya wanawake na watoto.

Huna adabu hata kidogo! Tena umejaa dharau! No wonder mkeo anakujibu anavyokujibu! Hata kama akiwaachia wengine wajaribu sidhani kama kuna atakayeweza kukuvumilia!
 
ila potezea maugomvi sio nzuri kwa kweli,
 
Kaunga; hapo umeongea kwa kweli; na je! over 10 years hajasema!!! nimueleweje?
 
Ungesema na matatizo yako ili tupime ni nini kinapelekea aseme hivyo, kwa mfano unalala nje bila taarifa unategemea aseme nini? unashangaa kauli tu ilihali kuna watu wanajinyonga???????
 
samahani sana kama umeoa mwanamke mwenye akili ndogo hyu ni mkeo wewe,wewe peke yako!wenzio waume zetu wanatuaminia mfano hakuna CHAPA MWENDO KULE!we mwenyewe kichwa kimejaa uji wa tope tu humo lazima uaone kila mtu ana akili kama zako!
 
Huna adabu hata kidogo! Tena umejaa dharau! No wonder mkeo anakujibu anavyokujibu! Hata kama akiwaachia wengine wajaribu sidhani kama kuna atakayeweza kukuvumilia!

Hacha asira wewe! Akumbuke kuwa Mwanaume ni kichwa cha familia; naweza amua la kuamua likamuathiri yeye; sijui wewe utamsaidiaje?
 
mi nashangaa madogo wanataka kuingiza matatizo chumbani.....kama unataka kuongeza stress na kupunguza mda wa kuishi + kupoteza marafiki basi oa
 
samahani sana kama umeoa mwanamke mwenye akili ndogo hyu ni mkeo wewe,wewe peke yako!wenzio waume zetu wanatuaminia mfano hakuna CHAPA MWENDO KULE!we mwenyewe kichwa kimejaa uji wa tope tu humo lazima uaone kila mtu ana akili kama zako!

uzi huu uziwe ugomvi wa WANAUME VS WANAWAKE, Kinachotakiwa hapa ni kubadilishana mawazo na uzoefu wa mahusiano ya kindoa, wengine wameishanitukana eti nina dharau; eti acha nijibiwe hivyo; powa tu! ila kumbuka mimi binafsi ninayo maamuzi ambayo naweza kuyasimamia; msione wasimbe wamejazana mitaani mkashindwa kujiuliza sababu ni zipi.
Kwanza viumbe wa kike mko wengi na growth rate yenu iko juu kuliko wanaume; mkilijua hilo itawabidi muweke heshima kwa wanaume wote, no matter ni mumeo au si mumeo.
 
Anamaanisha kuwa akili za wanawake ni ndogo ukilinganisha na za wanaume au hujaelewa ndg yangu.
Ndo maana kwa serikali ya Jamhuri ya Tannzania kuna wizara ya kushughulikia mambo ya wanawake na watoto.

wewe ni mwanaume mpumbavu na nyumba yako unaivunja mwenyewe!
 
Kaunga; hapo umeongea kwa kweli; na je! over 10 years hajasema!!! nimueleweje?

Ushamuelewa after all wanawake wana akili mbovu, anzisha familia na wanaume si wana vishimo nao!

Mnatudharau na yet mnatuhitaji, ningekuwa mimi mkeo ningeondoka mazima. Maana mpaka dakika hii pamoja na akili zako nyingi wewe mwanaume unahangaika na kutuliza homa kuliko kuchunguza infection ni nini! Very brilliant!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…