war is arabic and premitive. Slavery ended long time. You arabs must go back to middle east. Leave tanzania for blacks
Hivi hamjui Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Tanzania ni nani?
Hakuna Mwanajeshi wa chini yake anaeweza kuliongelea taifa kisiasa bila amri na au idhini yake.
Nijuavyo mimi amiri jeshi mkuu hutamka au kuagiza jeshi kuingia vitani, lakini hili la Lowassa kusema jeshi letu liko tayari kwa vita haimaanishi kuwa ndio alitangaza vita, mbona katika sikukuu za Uhuru huwa jeshi linatuonesha silaha zake, hii huwa na maana gani kama si kutumbia kuwa wako "FIT", sasa EL amevunja katiba gani hapo, haya basi na mimi natamka "Jeshi letu liko Fit na tuko tayari kwa Vita, hao wa Maravi (Rays of Light) waje tu!
Kwani Sitta naye ana mamlaka gani na JWTZ? Mbona na yeye alipokuwa anakaimu nafasi ya pinda aliyasema kama hayo ya EL?
Ni heri lowassa kaonyesha njia kuliko huyo jk aliyechoka kaa goal la....sioni sababu gani mnahangaika na Lowassa badala ya ku deal na huyo JK nchi iliyomshinda,mnaongelea ungese tokeeni mwuikomboe nchi yenu msibaki mnakodoa macho na computers zenu, wengine mnatumia id siyo zenu kwa manufaa ya hao wanaowalipa kudiscuss upuuzi humu jamvini, kuanzai asubuhi mpaka jioni mtu anapost topic humu kazi anafanya saa ngap?KATIBA ya JMT haimtambui mtu huyu. Niliyasema haya kwenye ile thread ya Mwanakijiji aliokuwa akidadisi uwezo na utayari wetu kwa vita. Lowasa ameishi serikalini kwa muda mrefu. Alipaswa kulifahamu hili. Sio kukurupuka kutamka yale maneno eti kwa kuwa mahasimu wake akina Membe na Sitta wametangulia kuyasema!
huyo mwenye mamlaka yupo wp?
Kama ni kweli basi jeshi limejipenyeza kwenye makundi yanayohasimiana Magambani
Una hakika na unachokisema?Mi sioni tatizo kwa Mh. Lowasa kutoa kauli ile kwa nafasi aliyonayo, kwani hakukurupuka lazima amejadili na wajumbe wa kamati yake pamoja na waziri anayehusika lakini pia lazima ametoa kauli hiyo kwa ridhaa ya rais. Hivyo watanzania tunaamini kauli ile ni rais kupitia watendaji wake, sasa napata shida kuelewa kama ni kweli, kwanini Jwtz ihoji kauli hiyo? Kanuni inaruhusu hilo? Kwa kufanya hivyo hawajajihusisha na siasa? Sidhani kama sahihi kuwakosoa wakubwa wao hadharani.
Unataka kusema Lowassa, Sitta na Membe ni Waarabu primitive wanaopenda vita na kuendesha utumwa Tanzania?war is arabic and premitive. Slavery ended long time. You arabs must go back to middle east. Leave tanzania for blacks