Expired subwooferHii katuni ya Gado inatafisiri ganiView attachment 1785339
Naamini yule bundi aliyeingia bungeni madhara yake ndiyo yanamuandama huyo NdugayeNdugai ni speaker iliyokwisha muda wake. Inatakiwa kuondolewa na kupatikana speaker mpya
Umoja na upendo Jiwe alisha unajibu na kuligawa taifa kwenye vipande vipande kwa manufaa yake mwenyewe.They team up together to topple the incumbent; by achieving the mission, they start to eliminate each other !!! Tumeyaona nchi jirani na nchi za ng'ambo. Sisi hapa kuna waandishi uchwara wanalazimisha scenerio hii tuvurugane; watashindwa sana na hao wanaowatuma, Tanzania itabaki moja ya umoja, amani na upendo.
Hivi rais hana uwezo kisheria wa kumuondoa huyo subwooferExpired subwoofer
Umenikumbusha kitu mkuu lakini tutafikaThey team up together to topple the incumbent; by achieving the mission, they start to eliminate each other !!! Tumeyaona nchi jirani na nchi za ng'ambo. Sisi hapa kuna waandishi uchwara wanalazimisha scenerio hii tuvurugane; watashindwa sana na hao wanaowatuma, Tanzania itabaki moja ya umoja, amani na upendo.
Tatizo mataga yamejazana mle ndaniHivi rais hana uwezo kisheria wa kumuondoa huyo subwoofer
Hamna jinsi nyinyi MATAGA wa Jiwe muda wenu ushapita.Umenikumbusha kitu mkuu lakini tutafika
Ndiyo tatizo la bunge la chama kimojaTatizo mataga yamejazana mle ndani
Tatizo la vijana wa Chadema ni kuwa kila siku lazima walalamike na kuchukia mtu anayepinga matakwa yao. Mnamchukia Ndugai kwa vile hajawafukuza akina Halima. Hili ni Tatizo kubwa na ni udikteta mkuu. Ndugai ameeleza Malaika wenu walipokosea ila hammsikilizi zaidi kutafuta huruma ya Samia ili amtimue kama Sabaya (ambalo si rahisi kama mnavyodhani na isitoshe ni mhimili unaojitegemea) au mwenyezi mungu amchukue. Siku Samia akitoka gizani mtaanza naye kumchukia kama mlivyokuwa na mnavyoendelea kumchukia JPM
Weee ndiye speaker iliyotoboka?They team up together to topple the incumbent; by achieving the mission, they start to eliminate each other !!! Tumeyaona nchi jirani na nchi za ng'ambo. Sisi hapa kuna waandishi uchwara wanalazimisha scenerio hii tuvurugane; watashindwa sana na hao wanaowatuma, Tanzania itabaki moja ya umoja, amani na upendo.
Jisikilize kwanza kabla ya kuandika. Jizikilize unataka kumuandika Mungu wa namna gani, au ndiyo unatawanya maharage!!?Mungu ni mkubwa anafanya yaliyo ndani ya uwezo wake.
Mungu ni mkubwa sanaJisikilize kwanza kabla ya kuandika. Jizikilize unataka kumuandika Mungu wa namna gani, au ndiyo unatawanya maharage!!?
Duh! (Katika lafudhi ya uandishi wa Paskali). Ha ha ahaaa!Weee ndiye speaker iliyotoboka?
Kama spika anambinyia mama jicho wakati huo spika yeye kiatu kimoja kishamtoka hajui
Anaweza kuchomoa betri?Kazi ya Mwenyekiti ya Chama, spika ni mbunge. Kumuondolea uspika akawe mbunge wa kawaida? Sidhani atamaliza uspika wake miaka 4 iliyobaki.