Katuni ya Gado inatafisiri gani?

Katuni ya Gado inatafisiri gani?

Chige The Boss Pohamba hivi ni ipi namna bora ya kumtoa spika katika kiti chake.
Yaani hilo ni shipa... hatumbuliki labda kwa umafia! Hata ukimfukuza chama, Speaker sio lazima awe mwanachama wa chama cha kisiasa!!

Watu kama hao unawapelekea TISS, unamtajia maovu yake yote halafu unamlazimisha atangaze kujihudhuru within 24 hours, or else....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom