Katuni gani kwenye gazeti umeimisi sana?

6f773da7e83e684faf03090a6f7efcf8.jpg
ni nouma huyu jamaa
 
Nogesha Thread Kwa Kuweka Hizo Katuni Hapa Jf Tufurahi Pamoja Tunaelekea Ukingoni Mwa 2016
 
Lodilofa alikuwa na mikwara na dharau..kifombo cheza nayo nlkuwa napenda sana katuni yk
 
Yale majarida ya miaka ya 90 yalikuwa safi sana, sani, ambha, bongo, tabasamu nk.

Sokomoko akiwa anatafakari nzito kuhusu kuachana na pombe, anaamua kwenda kupooza koo kwanza na chupa moja ya ngumu ili akili ikae sawa.

Madenge naye Dailly ni mtafaruku na baba yake.

Baba ubaya ni mzee wa tafrani, hata muwe kijiji lazima mkae.

Siku ya mechi sasa bush stars na town,hayo masimango humo ndani utacheka ulie.
 
Back
Top Bottom