Huu upinde una maana gani kwenye katuni za Akili Akili?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Wakuu nimejaribu sana kufuatilia hizi katuni za akili akili nikaona kuna upinde wa hizo rangi una maana gani ktk hizi katuni? Kuna namna yoyote tunaweza kupata majibu ya hii kitu? Inafikirisha !!
IMG_4647.jpg

IMG_4646.jpg

IMG_4644.jpg

IMG_4645.jpg
 
Back
Top Bottom