Masikini kina Esther Matiko na Esther BulayaNi kuwaonea sana!
Yani mabint waliokeketwa wanapitia changamoto kibao ktk maisha yao ya mapenzi;
1, Hawafeel sex kwa 100%
2, Wakisex wanaumia
3, Hawako huru kitandani wanajifichajificha mara zima taa mara mchana no sex
4, They are not sweety at all coz their virgina is very wide and open as a result of cutting of labia majora and manora
5, Wakijifungua wanapoteza damu nyingi sana kwasababu wanachanika sehemu zilizokatwa/makovu badala ya kutanuka.
Kisa.
Nimekutana na mabinti wawili tofauti mmoja wa Kimasai na mwingine Mkuria in Dar and they are bellow 30 but wamekeketwa kumbe bado hii inafanyika aisee.
Wote wanapitia changamoto moja japokuwa kimionekana they are very beautfull.
KUMKEKETA BINTI YAKO NI KUMKOSEA SANA AISEE HEBU TUACHENI MILA ZA KIPUMBAVU.
Nakubali mkuu.
Sidhani kama ushauri wako una maana. Laana anayo yule anayedhani ana busara wakati akwatusi anaowaona hawafai badala ya kuwaelewesha.Basi katoe kizazi ili ukatishe laana na upunguze suffering hapa Duniani, ...
[emoji2][emoji2][emoji2] kupanga ni kuchagua.Hata mwanaume kutahiri huenda ni kosa! Hiyo ngozi Mungu kaweka kwa kusudi maalumu! Unaondoa ya nini? Piga tu usafi wa kutosha ubaki mzima kama ulivyoumbwa.
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Waambie hao kisimi ni kila kitu wanaume wanafikiria chomeka chomoa ni mapenzi kumbe wanawake Hawa mind hyoKisimi ndio kila kitu na ndio maana wanakitoa hicho,
Au hujui sababu zipi zinawafanya wawakekete hao watoto?
Duh sijui nitukaneee ? Ila kusema kweli kama ni hivyo ni ukatili over limitView attachment 1646303
Kuna aina nne za ukeketaji
1. Wanaoondoa kisimi pekee (kuna baadhi ya makabila ya Dodoma ambayo hutumia hii)
2. Wanaoondoa kisimi na labia ndogo (baadhi ya makabila ya kaskazini - Mara, Arusha, Manyara)
3. Wanaoondoa kisimi, labia kubwa na ndogo
4. Wanaoondoa kisimi, labia kubwa na ndogo, kisha kushona uke. (Haya zaidi ni makabila ya Somalia na Ethiopia)
Aina zote hizi zina madhara mbalimbali na kwa viwango tofauti. Hiyo ya nne, uke hufunguliwa pindi utakapofanya tendo la ndoa kwa mara ya kwanza na mumewe. Ukiwa na mume katili, anaruhusiwa kushona tena akienda safari ambayo atakaa muda mrefu.
Usitune ndugu yangu. Ila elewa tu kuna watu wanapitia maumivu makali kisa wamezaliwa kwenye jamii fulani tu. Ikiwa hatutakemea hili, bado kuna watoto wa kike kila siku wanazaliwa kwenye jamii hizi na wako hatarini kufanyiwa ukatili huu. Hiyo ndio hali halisi.Duh sijui nitukaneee ? Ila kusema kweli kama ni hivyo ni ukatili over limit
Mkuu amini usiamini hili jambo lina mwisho wake. Watu sasahv wanaelimika na wanakuwa watu wazima wenye familia. Sidhani kama mtu mwenye utimamu anaweza kupinga hili kisha akamfanyia mwanae. Na kwa jamii za wakurya hakuna mtoto mdogo anafanyiwa tohara, mpaka akue. Sasa wakati anakua shangazi yuko dar au mwanza (sehemu ambazo hakuna tohara) akikulia huko hata hawazi mambo ya kukatwa.Usitune ndugu yangu. Ila elewa tu kuna watu wanapitia maumivu makali kisa wamezaliwa kwenye jamii fulani tu. Ikiwa hatutakemea hili, bado kuna watoto wa kike kila siku wanazaliwa kwenye jamii hizi na wako hatarini kufanyiwa ukatili huu. Hiyo ndio hali halisi.
Ya zaman nilikuwa nikiiona tu nadindaSasa mbona mnanivuruga jamani..kati ya ile na hii ipi iko mwake ?
Haya mkuu nilipe hela tafadhaliYa zaman nilikuwa nikiiona tu nadinda
OA tu Mkuu...Kama Unaweza Kwanini uisoe..fanya liwezekanalo uoe haraka Sana...Wanawake wanataka staraTena niko mbioni kukamilisha hesabu kuongeza wa nne.
Wanawake kando huwa tunawaonea aibu.
Swadakta. Umesema kweli bibie.OA tu Mkuu...Kama Unaweza Kwanini uisoe..fanya liwezekanalo uoe haraka Sana...Wanawake wanataka stara
Atiiiiii [emoji85]Ashakum si matusi, Nimeenda hadi kujichungulia nitafute kitu mnaongelea hapa...
Kuna clit, ndio kiharage sio?
Labia minora ' ndio kama ulivyoielezea hapo.
Labia majora ' mashavu ya uke
Sasa wakitoa labia minora panabaki vipi jamani? Ni ukatili somehow hata kama ndio mila zao.