Katu sitounga mkono CHADEMA

CHADEMA hatuwahitaji VICHWA MAJI kama wewe, kuungwa mkono na KUBWA JINGA kama wewe ni kuongeze idadi ya wajinga CDM kitu ambacho hakipewi nafasi kabisa CDM, si unaona wabunge wetu walivyo makini bungeni, pamoja na uchache wao wanawakilisha kwa sana, tofauti na hao wenu wajinga waliopo bungeni kulala na kupitisha siku. Tafadhali usitupende daima, hatutaki kupenda na WENDAWAZIMU.
 
kwakweli mkuu Mungu wa ninayemtumikia akubariki sana kwani umelijibu sawia hilo gamba kwani CDM hatutaki wapumbavu kama hilo gamba libaguzi.
 
Sitegemei kabisa kukiunga Mkono Chadema.
a)Wabaguzi
b)Wabunifu wa matukio kuliko uhalisia
c)Zaidi ni wanaharakati kuliko wanasiasa
Thanks

Mie katu siwezi hata kutaja jina la Chama chao.
wapika takwimu wakubwa, hawana maana tena.

Watanzania wamewachoka, ukitaka amini wajaribu kuitisha maandamano tena halafu waone ni akina nani wanaohudhuria.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom