CHA kushangaza kuhusu washabiki wa CHADEMA wanaokuja jamii forum ni kwamba uzushi wowote unaoandikwa na magazeti kuhusu SHIBUDA hata bila ya kuthibitishwa wanauamini haraka, mbona magazeti yalivyoandika MBOWE kadanganya kuhusu kurudisha gari; bado anatumia gari alilopewa kama kiongozi wa upinzani, hili hamkuling'ang'ania. Mbona magazeti yalivyoandika wabunge wa CHADEMA wanafiki wanapinga posho wakati posho hizo zimehusishwa katika mahesabu ya mikopo waliochukuwa, hamkuamini haraka. Na ndio ubaguzi huu unaoonyesha ukanda. Ni ubaguzi huu ndio unaonyesha washabiki wa CHADEMA hapa jamii forum ni wachaga wanaokuja na majina ya uongo kujifanya wao ni watu wa kabila nyingine ili kuendeleza ukanda. Sio siri TANZANIA nzima kabila linaloendekeza ukabila sana ni wachaga. KILA MCHAGA NI CHADEMA HATA WALE WALIOPO CCM WANASAIDIA KUPELEKA SIRI CHADEMA, SASA KAMA SIO UKABILA NI NINI? Kama BAVICHA wangewaandama hao wengine kwa vitendo vyao na kauli zao kama walivyomuandama SHIBUDA basi kungekuwa na usawa. Nasari kauli yake ya kaskazini wajitenge ni ya hatari kwa CHADEMA kuliko kauli ya SHIBUDA ya kutangaza nia ya kugombea urais lakini hakuandamwa na mtu yoyote. LAKINI UKWELI NI KWAMBA SHIBUDA KAZUNGUMZIA MGOMBEA BINAFSI SIO KUGOMBEA KUPITIA CHADEMA, NA VIONGOZI WA CHADEMA HILI WANALIJUWA, ILA HAWATASEMA UKWELI KWASABABU WANAFURAHIA SHIBUDA ANAVYOCHAFULIWA . SHIBUDA haitaji kutoa siri kuthibitisha ubaguzi, tabia ya BAVICHA inaonyesha wazi.