Katoro Geita, yapata uhaba wa mafuta

MC44

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
2,170
3,269
Siku ya nne leo tangu vituo vya kuuzia mafuta ya vyombo vya usafiri kufungwa mafuta yamekuwa adimu kulingana na mahitaji.
Vituo hivyo vilifungwa kukiwa na tetesi za uchakachuaji wa vipimo.

Adha tunazopata.
Foleni kubwa kwa baadhi ya vinavyofanya kazi.

Kupangiwa kiasi cha mafuta
Pikipiki inapewa mafuta ya sh 5,000tu.
Gari ndogo linapewa mafuta ya sh 10,000tu.

Usiku hakuna kituo kinachohusika

Wauzaji wa rejareja hawauziwi tena ukienda na dumu lako hupati mafuta
 
Hivi huko bandarini mafuta yameisha au dizain kama hali inaanza kuwa silias
 
Tatizo Mbona Linakuwa Kubwa Sana
Halafu Wakurugenzi Wamekamatwa
Wanaleta Uhaba Wa Mafuta
 
Back
Top Bottom