NDILO DHEHEBU LINALOLUHUSU KUNYWA POMBE ,KUANZIA VIONGOZI HADI WAUMINI NI WALEVI
Mkuu tuwe makini kwa hili: tusipoteze akili tukajikuta hata maswali controvercial tunajibu km polisi wetu huwa hawapendi kufikiri.
-Ndilo dhehebu linalorushu ila sio dhebebu pekee watu wa kada zote wanakunywa pombe. Kuna waliokatazwa ila kuanzia viongozi hadi waumini wanakunywa na kulewa kuliko mzee wa upako.Hapa wakatoliki wanakuwa wakweli zaidi kuhusu nature ya binadamu
-makasisi wa katoliki ndio wanaonyimwa kufanya ngono au kuoana, wengine wanarushiwa ila sio pekee hawafanyi ngono.Hapa katoliki wanavunja sheria zao wenyewe na za mungu kwa kudanganya.na kutokuwa wakweli ktk uvumilivu wa mtu binafsi.
-Pombe kama chakula ukizidisha ni dhambi na mbaya kwa mwili.mara nyingi vitu vingi vinakuwa dhambi km unafanya ulafi au tamaa.
- Yapo madhehebu wanahimiza Bibli kuliko wakatoliki na wanashika sana mistrari,ila issue za uzinzi, kulogana, kuporana madaraka, na makanisa,hata kutishiana kuuana ni kukubwa kuliko catholic. Na wapo akatolic Biblia husomea kanisani kwa kufuata syllabus yao Misale.Ila ni watiifu na hawana makuu kuhusu Mungu ila i watiifu ktk mengi,na wanasaidia wengine,wanafanya kazi halali,na sio upatu na maombi ya kuomba magari, kuomba wanaume na wanawake wengine waliofanikiwa ili maisha yawe rahisi.
-Yapo makanisa yanaongea empty words na kushinda kutwa kupingana na katoliki km akana act na wnegine dhidi ya chadema.Wakati chadema wanakata mbuga.Dunia sehemu nyigi sana utakuta dispensari, kituo cha yatima, chanzo pekee cha umeme, kivuko pekee, kito pekee cha kuundisha mikate na ufundi kjiji hapo kilicholetwa na kuendeshwa na padri wa katolic.Wazungu wengi wakiandika safari zao utasikia walitua kwa hostel ya katolic, walipewa huduma ya dharura ktk kituo pekee eneo hilo inayotolewa na catholic.