Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Unalia lia nini sasa?! Hiyo ni ilimu islamu...taja hata moja ambalo halipo kwenye rejea yenu mlio achiwa Quran, Hadith, na miratul rasul nakushangaa sana halafu Unajiita muislamu
Wewe acha ukichaa wako bwege. Kaa kimya kama mbwa koko shenzy type!
 
sasa hao washenzi watakuaje waadilifu bila wewe kuwalingania ili watoke ushenzini?
Wewe umelinganiwa mara ngapi lakini umeendelea kuposti ujinga na utumbo wa Nguruwe?
 
Wewe umelinganiwa mara ngapi lakini umeendelea kuposti ujinga na utumbo wa Nguruwe?
Daawa haijaniingia naona tu Mara uniambie, mpumbavu, shenzy, una..Fi... shoga...ndio uisilamu huo.. tuendelee na darsa...nifundishe hapa allah walikutana wapi na Muhammad na kumtuma
 
Daawa haijaniingia naona tu Mara uniambie, mpumbavu, shenzy, una..Fi... shoga...ndio uisilamu huo.. tuendelee na darsa...nifundishe hapa allah walikutana wapi na Muhammad na kumtuma
Anza na Mussa. Alikutana wapi na Mungu mpaka akamtuma? Pia Yesu alikutana wapi na Mungu mpaka akamtuma akawakomboe makabila 12 ya wana wa Israel. Anzio huko ukishaelewa njia hizohizo ulizozigundua kwa hao Mungu alizotumia kuwapa utume basi hata kwa Muhammad itakuwa ni hiihizo.
 
acha ghazab aulizaye ataka kujua hutaki na mie niwe muislamu nikafaidi mahulu.72 sardaus? acha kijiba cha Roho malyenge
Utakuja kutubana peponi bure. Wewe kaa hukohuko na nyama zako za Nguruwe.
 
Kanisa Katolike ni Kasa la Majeshi, kama Mungu aitwavyo Mungu wa Majeshi. Katika Historia ya kanisa katoliki, vita vilishawahi kuanzishwa na viongozi wake. Pia amani ilishalindwa na viongozi wa kanisa katoliki. Hata kwa nyakati tulizonazo ni ukweli usiopingika kuwa Kanisa katoliki limehifadhi amani ya dunia. Bila uongozi dhabiti wa kanisa katoliki amani ya dunia ingekuwa imetikiswa vibaya kuliko ilivyotikiswa na vita vikuu vya dunia. Kiongozi wa kaniza Papa Mtakatifu ana nguvu nyingi na ambazo wengi hawazifahamu, zingine zikiwa ni siri kuu.

Mbali na yaho kanisa katoliki ndilo pioneer mkubwa wa elimu na afya duniani. Kanisa katoliki kwa enzi na enzi limekuwa likitoa elimu kwa jamii, tena elimu bora kabisa. Limejenga mashule na vyuo. shule zingine zilikabidhiwa kwa serikali za nchi husika. Pia Kanisa katoliki limesaidia katiaka huduma za kijamii hasa afya kila lilipopita. zahanati na hospitali nyingi zilijengwa na kanisa, na hadi leo kuna hostpitali na zahanati zinazotoa huduma nzuri na za kutegemewa, zote zimejengwa na kanisa katoliki. Mengine ni maji, na barabara kwa baadhi ya maeneo.

Historia inalibeba kanisa hili. Ni kanisa la kwanza kabisa kuasisiwa na jamii ya kikristo ilyoanzishwa miaka takribani 50 baada ya Yesu kuzaliwa. Mtume Petro ndiye kiongozi wake mkuu wa kwanza. Alikuwa Papa wa kanisa katoliki baada ya kufika Roma na kuliasisi kanisa kama Yesu alivyomuahidi. Makanisa yote ya kikristo yameanzia katika kanisa katoliki baada ya kuasi na mengine kujitenga.

Kanisa Katoliki ndio kanisa kongwe zaidi duniani. Kila mtu analionea husuda zaidi ya anavyoonea husuda dini yake.
Waroma ndio waliona ujuzi wa madawa
 
Anza na Mussa. Alikutana wapi na Mungu mpaka akamtuma? Pia Yesu alikutana wapi na Mungu mpaka akamtuma akawakomboe makabila 12 ya wana wa Israel. Anzio huko ukishaelewa njia hizohizo ulizozigundua kwa hao Mungu alizotumia kuwapa utume basi hata kwa Muhammad itakuwa ni hiihizo.
Hivi kunifundisha unaona nitafuzu nikunyang'anye mahulu sardaus?
 
Hivi kunifundisha unaona nitafuzu nikunyang'anye mahulu sardaus?
Nikikufundisha inakusaidia nini. Wewe unatakiwa kuacha kupost picha za nyama ya Nguruwe humu. Hatutaki! Na mawazo ya kipumbafu na kujifanya zuzu pia acha hata kama huupendi uislam. Usidanganye watu kuhusu uislam. Haiwezekani Mungu hata kama ni fake kiasi gani akawa na maandiko ya kipumbafu namna hiyo kama unayorushaga humu bila uhakika au unafanyaga makusudi. Acha ujinga MGENI utakuja umizwa bure kisha ukatesa familia.
 
Ni hapa Kwajeima alipomdhihaki Cardinal Pango hizikuisha wiki 2 akawa hoi kitandani nusu apumulie mashine.
 
Umesema ndio dhehebu pekee viongozi wao wanaweza kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika KWA MUDA WAUTAKAO WAO...??? Ni kweli anytime..?? Kwahyo ratiba za prezidaa huwa hazina maana kwa hao wakatoliki..??

Ulimaanisha kwa nchi ya rais anayeomba kuombewa kila wakati ndo wanaweza kumuona anytime au kwa rais wa nchi yoyote..??

ACHA UJINGA WEWE NENDA KOTE DUNIAN WAKATOLIKI NI ZAIDI YA UWAJUAVYO ANZA NA PK HAPA RWANDA ALITAKA KUWANYANG'ANYA ENEO ALIAMBWA NINI NA ASKOFU WA KIGALI KAULIZE NA NINI ALIFANYA PAMOJA NA UBABE WAKE, KENYA , UGANDA NA KWINGNEKO SIYO HAPA KWAKO TZ NENDA NJE YA TZ UTAJUA KANISA KATOLIKI NI KITU GANI JAMAA ANAKUAMBIA NINI NA SIYO USHABKI WAKO WA KITOTO ULIZA PA MAJESUIT NI AKINA NANI DUNIANI USIKURUPUKE.
 
Nikikufundisha inakusaidia nini. Wewe unatakiwa kuacha kupost picha za nyama ya Nguruwe humu. Hatutaki! Na mawazo ya kipumbafu na kujifanya zuzu pia acha hata kama huupendi uislam. Usidanganye watu kuhusu uislam. Haiwezekani Mungu hata kama ni fake kiasi gani akawa na maandiko ya kipumbafu namna hiyo kama unayorushaga humu bila uhakika au unafanyaga makusudi. Acha ujinga MGENI utakuja umizwa bure kisha ukatesa familia.
Kuishi ni KRISTO kufa Faida
 
Kuishi ni KRISTO kufa Faida
Tangaza ukristo wako tu wala hakuna anayekukataza. Lakini kukashfu uislam wakati hauujui na ni chuki zako tu hiyo haikubaliki. Utaumia kwa kujeruhiwa bure. Jiheshimu....
 
Tangaza ukristo wako tu wala hakuna anayekukataza. Lakini kukashfu uislam wakati hauujui na ni chuki zako tu hiyo haikubaliki. Utaumia kwa kujeruhiwa bure. Jiheshimu....
Kwani wewe unapohubiri Yesu si Mungu unaona raha eeh? Muhubiri isa wako uone kama kuna Mkristo atajali, lakini unapo Mtaja Yesu ndipo utajua Ukristo una wenyewe na Injili Inachoma
 
Back
Top Bottom