Katika Sikukuu hii ya Watakatifu Wote tuwaombe Julius Nyerere, Benjamin Mkapa na John Magufuli waliombee taifa la Tanzania

Ndio maana nikakuambia uelewa wako mdogo sana.Kama hukijui hicho kitabu unadiriki vipi kujiona mkamilifu? Unaanzaje kujiita Mkristu eti unabishana na kichwani huna ufahamu wa kutosha! Uelewa wako bado mdogo sana!
Hiyo ni Biblia feki.
 
Mkapa kauwa melfu ya watu leo anaitwa mtakatifu Magufuli kaumiza mamia mamia ya watu leo anaitwa matakatifu Nyerere nae ni vivo hivyo mnategemea kuombewa na wafu wakati wao wenyewe kujiombea hawawezi.
 
Ni tarehe 01/11/2021

Basi tusisahau kumwomba Mwenye Heri Nyerere na wateule wengine wa Mungu yaani Mkapa na Magufuli waendelee kuliombea taifa la Tanzania liweze kupata kibali machoni pake Mungu.

Raha ya milele uwajalie ee Bwana na Nuru ya daima iwaangazie wastarehe katika amani wao ne wote waliofariki katika imani ya Yesu Kristo, amen!
Toa hizo takataka zingine abaki mwalimu tu!
 
Hivi ni kweli mzungu akifa anaweza kuwa mtakatifu ila mwafrika hata afanyeje atabaki mzimu ?
 
Back
Top Bottom