Katika Sikukuu hii ya Watakatifu Wote tuwaombe Julius Nyerere, Benjamin Mkapa na John Magufuli waliombee taifa la Tanzania

Kama hukijui hicho kitabu unadiriki vipi kujiona mkamilifu? Unaanzaje kujiita Mkristu eti unabishana na kichwani huna ufahamu wa kutosha! Uelewa wako bado mdogo sana!
kwa taarifa yako icho kitabu nakijua ila huwa sikiamini kwasababu ni contradictory na hakilandani na vitabu vingine vilivyoko kwenye Bible, wala matendo waliyoyafana mitume baada ya Yesu Kupaa. kaeni nacho tu ninyi, na kile cha enoch pia.
 
Knowledge ya mtu ambaye hata huifahamu Biblia itakuwa ni bure kubishana na mtu usiye na ufahamu
 
Knowledge ya mtu ambaye hata huifahamu Biblia itakuwa ni bure kubishana na mtu usiye na ufahamu
ngoja nikuache tu, ila huna uwezo wowote kubishana Bible na mimi, though najua mabishano hayanisaidii chochote. nimeisoma yote yote mwanzo hadi ufunuo. hivyo vitabu vyenu vya ajabu aminini ninyi tu, ila Yesu alisema yeye ndiye njia kweli na uzima mtu haji kwa Baba ila kwa kupitia yeye, na hata kwenye maombi alisema tukiomba kwa Jina lake ndipo tutapata, hajawahi kutuamuru tuombe kwa bikira mariamu wala kwa wafu. tupo agano jipya kumbuka.
 
Kwanza Katoliki sio dhehebu Pili uelewa wako ni mdogo kufahami haya.

2 Wamakabayo 12;44

Kama asingekuwa na imani kwamba wafu watafufuliwa, ingekuwa ni upumbavu na kazi bure kuwaombea marehemu. 45Lakini akiwa anatazamia tuzo nzuri waliowekewa waliokufa wakiwa waaminifu kwa Mungu, hilo lilikuwa wazo jema na takatifu. Kwa hiyo Yuda alitolea tambiko ya upatanisho ili watu wapate kuondolewa dhambi zao
Wamakabayo ndio kitabu gani hicho, unaona sasa ulivyo muongo.
 
Wamakabayo ndio kitabu gani hicho, unaona sasa ulivyo muongo.
Ndio maana nikakuambia uelewa wako mdogo sana.Kama hukijui hicho kitabu unadiriki vipi kujiona mkamilifu? Unaanzaje kujiita Mkristu eti unabishana na kichwani huna ufahamu wa kutosha! Uelewa wako bado mdogo sana!
 
Hahaaa
Ni tarehe 01/11/2021

Basi tusisahau kumwomba Mwenye Heri Nyerere na wateule wengine wa Mungu yaani Mkapa na Magufuli waendelee kuliombea taifa la Tanzania liweze kupata kibali machoni pake Mungu.

Raha ya milele uwajalie ee Bwana na Nuru ya daima iwaangazie wastarehe katika amani wao ne wote waliofariki katika imani ya Yesu Kristo, amen!
 
Mhuburi 9:5
Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa, lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Sawa kabisa aliyekufa hajui lolote ni kupoteza muda na nguvu kuwaombea hiyo roho anayosema ni pumzi ambayo Mungu alimpulizia mwanadamu wa kwanza Adam baada ya kumuumba ndo akawa nafsi hai Mwanzo 2:7, pumzi ya uhai ikitoweka/kifo, mwili unaobakia unarudia mavumbini,tuwaombee walio hai SIYO wafu,
 
Ndio maana nikakuambia uelewa wako mdogo sana.Kama hukijui hicho kitabu unadiriki vipi kujiona mkamilifu? Unaanzaje kujiita Mkristu eti unabishana na kichwani huna ufahamu wa kutosha! Uelewa wako bado mdogo sana!
Ktk biblia hakuna kitabu kinaitwa makabayo ukisoma toka mwanzo mpaka Ufunuo hakuna hicho kitabu, unless u have written your own Bible, stop misleading and misinterpreting Scriptures the way u like, Bible is holy and Inspired book,
 
Imagine mtu haufahamu vitabu vya Biblia na unajiita mkristu mkamilifu
 
tuwaombe hao uliowataja watuombee kwa Mungu kwani wamekaa kwenye kitu mbele za Mungu, tuna uhakika gani kwamba wapo mahali pema peponi, pia Biblia inasema tuombe kwa Jina la Yesu tu, hao unaotaka tuwaombee watusaidie nini wakati hawana uwezo wowote na hatuna uhakika kama walikufa na kwenda mbinguni au kuzimu? wakatoliki mtafunguka lini? mtaabudu wafu hadi lini? lini mtaokoka na akili zenu kufunguka? dunia imeshaisha hivyo mrudieni Muumba wenu acheni kuabudu sanamu maria na wafu, muokoke kabla giza halijawafikia.
Huwa nashangaa sana walokole wanapowashambulia wakatoliki kwa kipi hasa? Katoliki ndo Dini ya Kwanza iliyoanzishwa kwa mfumo wa ukiristo, hizo dhehebu zingine zilifata kwa kupunguza vipengele kwenye biblia ya katoliki nakuanza kutumia masomo machache kwa kutumia nguvu ya kujitangaza mpaka Sasa tulipofikia manabii na mitume badala ya zamani wachungaji ndo waliongoza kundi na huko mbele sijui wapi watafuata ila hao katoliki wamejijenga kwenye misingi yao hiyo hiyo, hata mleta mada yupo sawa maana mtu aliyetoka kwenye mwili nakuwa katika roho ananguvu sana za kuwasiliana na roho kuu kwa vile ni Roho na wanaomwabudu wanatakiwa kuwa katika roho ila tu wafe katika utakatifu.
 
Ni tarehe 01/11/2021

Basi tusisahau kumwomba Mwenye Heri Nyerere na wateule wengine wa Mungu yaani Mkapa na Magufuli waendelee kuliombea taifa la Tanzania liweze kupata kibali machoni pake Mungu.

Raha ya milele uwajalie ee Bwana na Nuru ya daima iwaangazie wastarehe katika amani wao ne wote waliofariki katika imani ya Yesu Kristo, amen!
Ulianza vizuri uzi wako. Ulipo wekq hapo jina la Magu umeharibu. Kamwe Magu hatakaa aonje pepo. Matendo yake ni hasira mbele za Mungu.
 
Back
Top Bottom