- Thread starter
- #21
Asante sana š„Sidhani kama kweli. Pole yaliyokukuta.. Binadamu ndio walivyo. Njoo PM nikupe ushauri wa kisaikolojia
Asante sana š„Sidhani kama kweli. Pole yaliyokukuta.. Binadamu ndio walivyo. Njoo PM nikupe ushauri wa kisaikolojia
NAKAZIA KWA MALLET HAMMER
Salama nimeshafanikiwa kupata mchumba weeknijayo naja kumtambukisha kwako umthaminishe sjui nae atakua mshirikina sjui mlokolešš šNambie mwanangu mzuri....
kaongea ukweli mtupu, ngoma inachezwa sana ndoani kuliko huku kwa kina mie[emoji23][emoji23][emoji23] umefurahi mwenyewe
Oa ila usimsahau mama yako home plzzSalama nimeshafanikiwa kupata mchumba weeknijayo naja kumtambukisha kwako umthaminishe sjui nae atakua mshirikina sjui mlokolešš š
Ndo ukweli škaongea ukweli mtupu, ngoma inachezwa sana ndoani kuliko huku kwa kina mie
Usijali. Picha picha huenda ndio ya kukupeleka mahala salama. Jipe moyo mkuuAsante sana š„
Amina,Mungu mwemaUsijali. Picha picha huenda ndio ya kukupeleka mahala salama. Jipe moyo mkuu
Kama hutojali, jioni nikutoe out ndugu yangu. Tubasirishana mawazo mawili matatu. Hayo mapito tu kwenye maishaAmina,Mungu mwema
Hapana Babu mlokole šKama hutojali, jioni nikutoe out ndugu yangu. Tubasirishana mawazo mawili matatu. Hayo mapito tu kwenye maisha
Sawa ndugu yangu. Jitie nguvu kila kitu kitakuwa sawaHapana Babu mlokole š
OkMwanaume au mwanamke mwenye Imani za kishirikina au mwanaume/mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana.Mara mia adui unaemfahamu kuliko usiyemfahamu.Sishangai takwimu za maambukizi ya VVU kupatikana Kwa kiwango kikubwa Kwa wanandoa kuliko waseja na mabachela NUKTA
Sishangai takwimu za maambukizi ya VVU kupatikana Kwa kiwango kikubwa Kwa wanandoa kuliko waseja na mabachela NUKTA
šš Dua zenu mama siwezi msahauOa ila usimsahau mama yako home plzz
Aminašš Dua zenu mama siwezi msahau
Asante sanaSawa ndugu yangu. Jitie nguvu kila kitu kitakuwa sawa
š¤£š¤£š¤£Kuna nini huko mkuuKwa wakazi wa Dar mke wako akishaanza safari za Bagamoyo, Kawe Tanganyika packers au Kimara Temboni na kote huko hamna ndugu wala jamaa ujue utaahira unamnyemelea na ujiandae kumpeleka Milembe