Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 637
- 1,488
Ni kweli mm nilioa mlokole..aiseeee nilijutaMara mia au anasali tu siyo wale wanajiita waowenyewe walokole
Ni kweli mm nilioa mlokole..aiseeee nilijutaMara mia au anasali tu siyo wale wanajiita waowenyewe walokole
Ndo hao kujifanya walokole.....wakikerwa hawana maamuzi mengine zaidi ya Kuua au kuniua eti mwende wote mbinguni🙄Ogopa pia mwanaume asiyekunywa hata wine.
Hizo takwimu zimewataja walokole na washirikina?
Yeah,very complicated....pole sanaNi kweli mm nilioa mlokole..aiseeee nilijuta
🪓Mwanaume au mwanamke mwenye Imani za kishirikina au mwanaume/mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana.Mara mia adui unaemfahamu kuliko usiyemfahamu.Sishangai takwimu za maambukizi ya VVU kupatikana Kwa kiwango kikubwa Kwa wanandoa kuliko waseja na mabachela NUKTA
😍Yes dear
Kumejaa waganga wa jadi🤣🤣🤣Kuna nini huko mkuu
Ndo ivo mkuuAiseee
Yaan hatarii....saivi wanawake wengi bila ndumba hawajiaminiKumejaa waganga wa jadi
Amina🙏ACHANA NA MAMBO YA DINI WEWE NI GASHO
Ujue mnajisumbuaga tu mwanaume malaya ni malaya tu kamwe huwezi kumzuiaYaan hatarii....saivi wanawake wengi bila ndumba hawajiamini
Kabisa kabisa mkuuUjue mnajisumbuaga tu mwanaume malaya ni malaya tu kamwe huwezi kumzuia
nakazia...mwanaume/mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana.
🤣🤣🤣🤣🤣 JamanMama mdogo😅😅😁😅
😅😁😅🤣🤣🤣🤣🤣 Jaman
utafaidika sana kuliko kuolewa na mlokole.[emoji23][emoji23][emoji23] Nasma kwahiyo unataka tuolewe na wapagani?!!