- Thread starter
- #61
Wewe unaonaje mkuu?Mnazani hiyo ni biashara ya nyanya ee
Wewe unaonaje mkuu?Mnazani hiyo ni biashara ya nyanya ee
Wewe ndo uta lose maana ni kama HUKUFURAHIA uamuzi aliouchukuwa Mh. rais Magufuli.**** argues!
Maana yake?Udictata ni kama Mimba Inatungwa unabebwa kwa muda kiumbe kinazaliwa kinakuzwa kinazeeka na kufa
Ahaa, vyeti vyangu vinahusiana na nini na hili? Acha nisijisifu maana haitanisaidia.How you rate me is none of my business.Wewe ni kilaza kweri. Kiongozi wa nchi kusimamia uchumi na kuwa dictator vinausiana vipi? Kukataa ufisadi na ubadhilifu unashauli lazima kwanza awe dictator? Namashaka na vyeti vyako kama sio feki basi elimuyako ni feki vyeti original. Nikwambie tu in advance. Kiongozi ambae anadhamila ya dhati kwa taifa lake kweli. Kitu cha kwanza kabisa analipa taifa lake misingi imara. Yani analipatia katiba ilio bora!!.yenye usawa kwa watu wote. Kisha anaimalisha utawala wa sheria. Dheni ayo mengine ni kama kusukuma mlevi tu.
Mkuu naheshimu mawazo yako. ILA kauli ni SHARP sana. Kum refer rais wako kama MADMAN hata kama KISIASA mnaweza kutofautiana, then office ya the PRESIDENCY iheshimiwe. Pasipo matusi.So how can you ensure that power is used wisely by a nadman like Magufuli?
Unafahamu Magufuli kashawahi kuwaambia polisi wavunje sheria wakati yeye kaapishwa kutetea utawala wa sheria?
Na hapo hujampa udikteta bado.
Sasa mtu kama huyu ukimoa udikteta akiamua kuua Watanzania fulani ili kusiwe na population explosion na mipangobya uchuminiende vizuri utamsimamishaje? Na udikteta ushampa.
Hapi hujampa udikteta kaisigina katiba mara saba mara sabini na saba. Ukimpa udikteta utajuaje kwamba hatageuka Mfalme Caligula?
Unataka kugeza tembo kunya kama Singapore wakati Magufuli ni gubegube hajui kwamba Saddam Hussein hakuwa rais wa Kuwait?
Safi sana.Mkuu;
Litakuwa bomu kama:
Serekali ilijua kuwa mchanga huo ulikuwa na hayo madini mengine yoote halafu ikaridhia. Tutaulizwa, nilificha nini zaidi?? Hayo madini mengine niliyopata huko, haya hapa sijawahi kuuza hata robo kilo.
Pili, Je, kama ikionekana kuwa kiasi walichokuwa wana declare ni cha chini, itakuwaje bomu?? Ndg, hii ndio opportunity yetu ya kuibadili mikataba yoote ya madini na mambo mengine kama Gas. Usiogope. Hata kama tumeleta figisu, watajua kuwa bado kidogo kutakucha kwetu. Nadhani, kutokana na hili, hata siri nyingine kule migodini zimewekwa wekwa wazi kidogo. Sales lazima zimeongezeka kidogo na mrahaba wetu umeongezeka kidogo. Ukichanganya na 10% iliyozibwa tena, mambo yatanyooka tu.
Tuone nini mkuu?Ngoja tuone
Hii mikataba ni ya kimataifa na tulisaini wenyewe, hapa busara inahitajika sana na siyo sifa, kweli Rais ana nia njema lakini anatakiwa apate washauri wazuri na siyo tu hao CCM wenzake ambao ndiyo wametufikisha hapa tulipo.Tuone nini mkuu?
Nakubaliana nawe katika hilo. Ndo maana alichagua KAMATI ya WATAALAMU ili baada ya yote WATOE USHAURI/MAPENDEKEZO yao.Hii mikataba ni ya kimataifa na tulisaini wenyewe, hapa busara inahitajika sana na siyo sifa, kweli Rais ana nia njema lakini anatakiwa apate washauri wazuri na siyo tu hao CCM wenzake ambao ndiyo wametufikisha hapa tulipo.
Nakubaliana nawe katika hilo. Ndo maana alichagua KAMATI ya WATAALAMU ili baada ya yote WATOE USHAURI/MAPENDEKEZO yao.
Na rais hakuangalia huyu ni wa CCM ama CHADEMA aliangalia kama huyu ni MTANZANIA.
Mkuu naheshimu comments zako maana ni kubadilishanan mawazo. una pointi.
Jibu ni kuwa Magufuli ameanzia na moja. Menginen yanafuata. Vumilia kidogo tu.Hebu mwenye kujua hitima ya hizi scandle mwisho wake ilikuwa nini
Na sasa makinikia ya Acacia
- Minofu ya samaki
- Mashamba ya Mkonge
- Richmond
- Epa
- Escrow & IPTL
mwisho ya hizi zote ilikuwa nini
Mkuu, Udikteta mzuri hautakaribia ule uliousema.Hay yawepo ili muradi:
(i) Sheria zifwatwe tusije ingizwa hasara za KiDowanzi,
(ii) Udikiteta usizidi ama kukaribia ule wa Hitla,
(iii) Maamuzi yasifanywe kutafuta zaidi SIFA.
(iv) Maoni ya WENGINE wenye mapenzi mwema na Nchi yasipuuzwe sababu tu wako "upande wa pili", nk. nk..
Imefika wakati watu katika mambo ya kimsingi na tija kwa taifa waache siasa siasa. Watanzania hawali siasa.Maoni kama ya zito? Nchi hii mnathamini siasa kuliko utendeji
Kamusi ya Oxford English Dictionary itakupa pia maana na utofauti wa hizi aina za udikteta mbiliKamusi gani na maneno gani?
Unaishi kwa kamusi wakati kamusi zote zilizochapushwa zishapitwa na wakati?
Nini kamusi, gazeti la keo tu lishapitwa na wakati, maana limechapishwa jana usiku na kuna mambo mapya yanatokea leo.
Acha kukariri.
Not necessarily. Jamaa wajanja. Na watu wetu wajifunze KUDADISI mambo bila ya kumwogopa mzungu.Utaratibu uliopo Dunia nzima, kabla ya mgodi kuchimbwa lazima kamouni husika itangaze kupitia Press release kwamba wamepata Madini nchi fulani na yapo ya kiwango fulani
Na nchi husika lazima wafahamishwe kuwa katika haya Madini tuliyoyapata kuna na mengine yapo yamechanganyika, HIVYO TANZANIA TULIKUWA TUNAJUA NDANI KUNA NINI ZAIDI YA DHAHABU
"Dikteta mzuri" ni oxymoron.Kamusi ya Oxford English Dictionary itakupa pia maana na utofauti wa hizi aina za udikteta mbili
Watu wengine uelewa wao na uzalendo ni mdogo sana.Kumbe kuna mashoga huku? Ndio umeandika nini hapo juu?.
USHINDWE PEPO MCHAFU WEWE