Katika hali kama hii ungefanyaje?

1422412_507299422702160_2136458357_n.jpg

Nafumba macho na imagine ni ndoto afu najifinya naamka najikuta niko kitandani kwangu.
 
Naona wachagiaji karibu woooote wanatamani kung'ang'ania kuishi duniani milele japo wanajua hapa tunapita kufanya mtihani ili ijulikane tutakuwa wa kuadhibiwa ama kustarehe huko peponi.

Katika hali hiyo hakuna cha zaidi, ni kutubu fasta maana umebahatika kuambiwa "SASA UNAKUFA" kuuomba muujiza si wakati sahihi.

Kwa maana Yesu alijibu akasema "usimjaribu bwana MUNGU wako"

ingekuwa heri mimba ya yule aliyekupa parachuti ingeharibika, maana tazama ametenda dhambi.
 
Hapo ni hatari tupu, Ni kuomba Neema ya Mungu hilo dubwashana likatue mbali nao, kinyume na hapo ni kusali sala ya toba ili walau ukastarehe kwa amani
 
Back
Top Bottom