Katika hali kama hii ungefanyaje?


farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,463
Likes
6,755
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,463 6,755 280
Ningekufa kwa wahka hata sijafika chini....
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,185
Likes
40,630
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,185 40,630 280
Nasema yerewiiiiiiiiiiiiiii
Kama mbuthi wa mila una nguvu kuliko Yethu njooo uniokoe.
Mamndenyi we ungethemaje?
 
Last edited by a moderator:
sister

sister

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Messages
9,032
Likes
4,001
Points
280
sister

sister

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2011
9,032 4,001 280
Ningesema ee Mungu kama Yona aliweza kukaa tumboni mwa samaki nami naomba nikae tumboni mwa mamba na nitoka baada ya siku moja niwe mzima:amen:
 
Power to the People

Power to the People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2007
Messages
1,201
Likes
256
Points
180
Power to the People

Power to the People

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2007
1,201 256 180
Ningemuomba Mungu akibariki chakula cha hao wadosi waliopumzika pembeni
Unaweza ukakuta huyo jamaa ashakusha saa nyingi.
 
Master plan

Master plan

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Messages
3,401
Likes
1,150
Points
280
Master plan

Master plan

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2012
3,401 1,150 280
Nazama chini kabisa ya maji mamba hawezi winda huko kisha naogelea hadi upande wa pili halafu naibuka fasta "usiulize kuhusu pumzi"maana nitatumia hata kijambio kupumua
 

Forum statistics

Threads 1,274,090
Members 490,586
Posts 30,500,708